October 2012 | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
[ New Posts ] : Habari Mpya Zote - HAPA CHINI!!!
Labels :

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20

Written By Mike Ntobi on Wednesday, October 31, 2012 | 11:51 PM

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20

Link to Wavuti Updates

Taarifa ya habari, Oktoba 31, 2012

Posted: 31 Oct 2012 01:42 PM PDT




...click the title/link to read more.

Mwanza: Jiwe laporomoka mlimani, Lawaangukia watu, Lamwua mtoto

Posted: 31 Oct 2012 01:16 PM PDT


Habari, picha na video via GSengo blog Watu watatu akiwemo mtoto mdogo wameumizwa vibaya mara baada ya kuangukiwa na ukuta wa nyumba kwaa jiwe lililoporomoka kutoka mlimani jijini Mwanza.  Waliokumbwa na ajali hiyo ni Bw. Msalam Husein ambaye ni  dereva (30) na mkewe Bi. Nadia Grecian ambaye ni mama wa nyumbani (25) pamoja na...

...click the title/link to read more.

TGNP inalaani Mkuu wa Wilaya kuwakamata wasichana wenye ujauzito

Posted: 31 Oct 2012 01:03 PM PDT


TGNP Yalaani  Vitendo Vya Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mhe. Muhingo Rweyemamu  Vya Kuwakamata Wasichana Waliopata Ujauzito Taarifa kwa vyombo vya habari Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Shirika linalofanya kazi za kutetea  masuala ya kijinsia, haki za wanawake na wasichana ikiwemo haki ya uzazi salama tumeshtushwa na kusikitishwa na kauli...

...click the title/link to read more.

Maandamano ya ‘Waislam’ Dar: Mkuu wa Mkoa atoa tamko

Posted: 31 Oct 2012 12:48 PM PDT


MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM SAID MECK SADIKI ATOA TAMKO KALI KUHUSU MAANDAMANO YA WAISLAM YALIYOPANGWA KUFANYIKA SIKU YA IJUMAA MARA BAADA YA SWALA Habari imeandikwa na Adrophina Ndyeikiza-Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam 31/11/2012. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki ametoa tamko kali la kuwataka Waislam kuacha mara moja...

...click the title/link to read more.

Broadband Satellite Internet lands in Tanzania

Posted: 31 Oct 2012 12:41 PM PDT


Product - YahClick Satellite Dish "Infinity Africa's move towards broadband satellite internet via the YahClick service is set to provide Tanzania with cost effective, high performance, wide reaching, and reliable internet connectivity via aerial infrastructure that utilizes the Ka-Band frequency. The most significant feature of satellite...

...click the title/link to read more.

Ujasiriamali ni ajira rasmi Duniani - Tunu Pinda 

Posted: 31 Oct 2012 12:37 PM PDT


Mama Tunu Pinda akikata utepe kuzindua Mradi wa Uwezeshaji Kiuchumi wa Maendeleo ya Wanawake Wajasiriamali (WEDEE) Ulio chini ya Shirika la Kazi Duniani (WEDEE) wakati wa ufunguzi wa Maonyesho ya Wanawake wajasiriamali ya MOWE yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Mke wa Waziri Mkuu Mana Tunu Pinda akitoa hotuba...

...click the title/link to read more.

Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu akamatwa kwa tuhuma za rushwa

Posted: 31 Oct 2012 12:31 PM PDT


Habari kutoka TBC1 zinahabarisha kuwa Mbunge wa Jimbo la Ilala, Dar es Salaam, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mussa Hassan Zungu na watu wengine watatu wamekamatwa kwa tuhuma za kujihusisha na rushwa katika Uchaguzi wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM unaofanyika huko Dodoma. Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa...

...click the title/link to read more.

Ziara ya Rais Kikwete, Kilimanjaro: Afungua barabara Rombo, Hai

Posted: 31 Oct 2012 12:24 PM PDT




...click the title/link to read more.

Ligi kuu ya Vodacom sasa kuonekana kwenye mtandao

Posted: 31 Oct 2012 11:19 AM PDT


·        Wateja kupata taarifa kupitia SMS, Facebook na Twitter. ·        Yatoa pongezi kwa vyombo vya habari na timu. Mdhamini  Mkuu wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara, kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, imewekeza katika kuwawezesha mashabiki wa soka kupata taarifa na matukio ya mechi zote za ligi hiyo kupitia njia ya simu za...

...click the title/link to read more.

Doc: The Tanzania Natural Gas Policy Draft -1 kutoka MEM

Posted: 31 Oct 2012 11:07 AM PDT


Shukurani ya nakala @ZittoKabwe

...click the title/link to read more.

This posting includes an audio/video/photo media file: Download Now

Bodi ya Wakurugenzi TANESCO yamwachisha kazi William G. Mhando

Posted: 31 Oct 2012 10:58 AM PDT




...click the title/link to read more.

Arsenal 7:5 Reading - Goals highlights

Posted: 31 Oct 2012 03:58 AM PDT




...click the title/link to read more.

Sasa hapa @MasoudKipanya nd’o Kuna DaSlam; Kuna na Tangunyika!

Posted: 31 Oct 2012 03:27 AM PDT


Kama zikinaniliu...                                   I mean yaani, zikinanilii hapo kati...                                                                               Ungana, enhee, ungana. Ndiyo zinaunda DarNganyika                                                                                                                              ...

...click the title/link to read more.

Watoto wa wakubwa kujazana Idara ya Afya, Jiji la Dar : Upendeleo (?)

Posted: 31 Oct 2012 03:06 AM PDT


Habari hii imenukuliwa kutoka kwenye gazeti la Jamhuri Siku chache baada ya kuibuka mjadala wa kuwapo watoto wengi wa vigogo ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), hali kama hiyo imejitokeza tena kwenye Idara ya Afya katika Jiji la Dar es Salaam na manispaa zake tatu za Temeke, Ilala na Kinondoni, JAMHURI imebaini. Baadhi ya wafanyakazi wa Idara...

...click the title/link to read more.

Fao la Kujitoa: Kauli ya Serikali iliyotamkwa Bungeni leo

Posted: 31 Oct 2012 02:40 AM PDT


Bofya kifute cha pleya kusikia Kauli ya Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akisoma Bungeni leo katika kikao chake cha asubuhi, Kauli ya Serikali kuhusu Fao la Kujitoa (Withdraw Benefit) kuhusu Mifuko ya Jamii.

...click the title/link to read more.

NFP Fellowships available: Organised farmers as partners in agribusiness; Optimising the performance of producers' organisation 2013

Posted: 31 Oct 2012 02:10 AM PDT


Organised farmers as partners in agribusiness; Optimising the performance of producers' organisation 2013 CRM:0018384 Optimising the performance of producers' organisation  Organised farmers as partners in agribusiness 16 – 27 September, The Netherlands, Wageningen   -      NFP Fellowships available – apply before 05 February 2013   -   Dear...

...click the title/link to read more.

Kupungua samaki na Athari za kufungwa Bwawa la Nyumba ya Mungu - Rodrick Mushi

Posted: 31 Oct 2012 02:25 AM PDT


Rodrick Mushi Makala hii imeandikwa na Rodrick Mushi, 0764785065/0652893938 Email: rodrickmushi@yahoo.com Kupungua kwa samaki katika Bwawa la Nyumba ya Mungu kumefanya maisha ya wakazi hao kuwa magumu kutokana na kutegemea bwawa hilo kujiingizia kipato ambacho kinawasaidia kujikimu kimaisha. Mkazi wa Kijiji cha Njia Panda Wilayani Mwanga  Peter...

...click the title/link to read more.

Hamad Rashid (Mb) aonja kero ya kukaa kwenye foleni ya mafuta saa 4!

Posted: 31 Oct 2012 01:28 AM PDT


Francis Godwin (kofia nyekundu) akihojiana na Mhe. Hamad huko Iringa jana. Uhaba  wa mafuta  ya petroli na dizeli ambao  umeendelea  kuukumba mji  wa Iringa kwa  zaidi ya  siku tano  sasa, umeendelea  kuwatesa  wananchi  wa kada mbalimbali ambapo jana, Mbunge  wa  jimbo la Wawi katika  Serikali ya Mapinduzi  ya  Zanzibar, Hamad Rashid...

...click the title/link to read more.

Tuma Maoni kuhusu Mabadiliko ya Katiba kwa simu ‘SMS’

Posted: 31 Oct 2012 01:16 AM PDT


Taarifa hii imenukuliwa kutoka kwenye blogu ya ZanziNews Tume ya Mabadiliko ya Katiba imetangaza namba nne (04) za simu za mkononi ambazo wananchi kwa sasa wanaweza kuzitumia kutuma ujumbe mfupi wa maandishi ('sms') kutoa maoni yao kuhusu Katiba Mpya. Kwa mujibu wa taarifa ya Tume hiyo kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo (Jumatano, Oktoba 31,...

...click the title/link to read more.

Mkuu wa Mkoa Arusha aamuru wanafunzi waswekwe mahabusu

Posted: 31 Oct 2012 01:09 AM PDT


Mwanafunzi wa Sekondari ya Kimnyaki, Arumeru, Ezekiel Memiri, alivyoshikiliwa na Askari Polisi Peter Mvula, Mkuu wa Operesheni wa Mkoa baada baada kuamuru akamatwe kwa kosa la kushinikiza maandamano ya Wanafunzi wenzake hadi Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa. Mkuu wa Mkoa, Magesa Mulongo akiongea na wanafunzi na kutoa onyo kali kwa wanafunzi...

...click the title/link to read more.
Get our toolbar!Get our toolbar!
  • Alexaporn - XXX (+18) Search!Alexaporn - XXX (+18) Search!
 
Sell Your Products At TripleClicks!Share Links Earn Money!
cafepress.com/nicemike
Sale Online!
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger