"BIKINI ZIMENIFANYA NIWE NA MIBONYEO KWENYE MAKALIO YANGU".....AUNT LULU | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
Labels :
Home » » "BIKINI ZIMENIFANYA NIWE NA MIBONYEO KWENYE MAKALIO YANGU".....AUNT LULU

"BIKINI ZIMENIFANYA NIWE NA MIBONYEO KWENYE MAKALIO YANGU".....AUNT LULU

Written By Mike Ntobi on Saturday, November 17, 2012 | 1:59 AM


MSANII asiyeishiwa na matukio, Lulu Mathias ‘Aunt Lulu’ amefunguka kwamba kuharibika kwa mwili wake hasa kwenye makalio kumetokana na kuvaa nguo za ndani aina ya ‘bikini’ ambazo zimechimba mistari. 

Akizungumzia tabia ya mastaa wengi kutokuvaa  nguo za ndaniwanapokuwa kwenye mitoko, Aunty Lulu alisema kuwa, hiyo inatokana na jinsi zinavyowaathiri sehemu zao ‘muhimu’ na kwamba yeye ni mmoja wa waathirika.




“Kwa kweli hizi nguo za ndani hasa bikini zinatuharibu sana hasa sisi tuliojaaliwa  kuwa na maumbile makubwa,nilikuwa navaa lakini kwa kweli zimenichimba sana kiasi cha kuniharibu na kupoteza mvuto wangu, sivai tena…nitaangalia ustaarabu mwingine,” alisema msanii huyo.


Share this article :

Related Posts :

Post a Comment

 
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger