NI USALITI HUU....!!! JACK PATRICK AKITESA NA MARTIN KADINDA... MUMEWE FUNDIKIRA AKISOTA JELA. | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
Labels :
Home » » NI USALITI HUU....!!! JACK PATRICK AKITESA NA MARTIN KADINDA... MUMEWE FUNDIKIRA AKISOTA JELA.

NI USALITI HUU....!!! JACK PATRICK AKITESA NA MARTIN KADINDA... MUMEWE FUNDIKIRA AKISOTA JELA.

Written By Mike Ntobi on Saturday, November 17, 2012 | 3:09 AM


MATENDO anayofanya mwanamitindo Jackline Patrick wakati mumewe Abdullatif Fundikira akiteseka gerezani, yametajwa kuwa ni usaliti wa asilimia miamoja na kwamba kama hatajirekebisha, mwisho wake utakuwa mbaya.



 Hayo yamekuja kufuatia hivi karibuni kupatikana kwa picha zinazomuonesha mwanadada huyo akiwa kimahaba zaidi na modo mwenzake wa kiume, Martin Kadinda  huku mume wake akisota nyuma ya  nondo.

Picha hizo zinawaonesha wawili hao wakiwa wamekumbatiana na kufanyiana mambo yasiyostahili kufanyika mbele za watu pale walipokuwa wakiogelea kwenye moja ya fukwe zilizopo jijini Dar na nyingine wakijiachia klabu.

Jack Pat akisakata Rhumba kama hana akili nzuri
wakati mumewe yuko Lupango, ...Duuh...!!!
MUME WAKE JACK, ABDULLATIF FUNDIKIRA, AKIPELEKWA GEREZANI

 HUYU  NDO JACK  AMBAYE NI  "MKE WA MTU"  AKILA  BATA 
NA  MWANAUME MWINGINE AMBAYE NI MARTINE KADINDA
Share this article :

Related Posts :

Post a Comment

 
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger