AIBU: TABIA YA KUPIGA PICHA ZA UTUPU YAENDELEA KUWATAFUNA AKINA DADA...! | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
Labels :
Home » , » AIBU: TABIA YA KUPIGA PICHA ZA UTUPU YAENDELEA KUWATAFUNA AKINA DADA...!

AIBU: TABIA YA KUPIGA PICHA ZA UTUPU YAENDELEA KUWATAFUNA AKINA DADA...!

Written By Mike Ntobi on Sunday, December 30, 2012 | 12:40 PM


AIBU.....AIBU.......

Tabia  ya  kupiga picha  chafu  za utupu  imeendela kuwatafuna  akina  dada  hapa  nchini.....

Tabia hii  ilianzia  kwa  wasanii maarufu kama  WEMA SEPETU,  JACK  WA  CHUZ,  LULU MICHAEL  RAYUU na sasa  imeingia  kwa  warembo wa  kawaida ......





Pamoja na jitihada za kuwaanika watu  hawa, tabia hii  imeendelea kuota mizizi kila kukicha.Wahusika wakuu wa  uchafu  huu ni akina dada.......

Iko haja kwa  akina  dada  kujitathmini.....Kwa  nini  kila siku ni wao tu???  Kwa nini  ukubali  kupigwa  ukiwa  mtupu  tena  na  mtu ambaye  mmekutana  na kupeana  penzi tu????....



Pengine ni  tamaa ya pesa.Nadhani hii ni biashara.Nashawishika  kuamini kuwa hawa  watu hupiga hizi picha kwa makubaliano maalum ya fungu flani la pesa.....



Nasema hivi maana  ni ngumu sana kwa mtu mwenye  akili zake  kukubali  kuaibika kisa  PENZI.

Na kama  ni tamaa  ya pesa, basi  haya  ndo matunda yake  maana  KILA  MTU HUVUNA  APANDALO.... 
--------------------------------------------------------------
NB:

Kuna  baadhi  ya  watu  wanalaum  kwamba hatujatenda  haki.Kabla  ya kulaumu jiulize yafuatayo:

1.Wasanii  wakikosea kila kitu huwekwa  hadharani  na hao  hao wanaolaum hushangilia.

2. Jiulize picha zimesambaa vipi?   wao ndo  waliozisambaza kwa sababu wakati  wa  starehe zao  walikuwa wawili tu chumbani.

3.Wema Sepetu akijiachia  wote  humponda kwa  kila aina  ya  tusi au neno baya.Tuache ushabiki.Haya  mambo hayafai
Share this article :

Related Posts :

Post a Comment

 
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger