10/14/12 | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
[ New Posts ] : Habari Mpya Zote - HAPA CHINI!!!
Labels :

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 15

Written By Mike Ntobi on Sunday, October 14, 2012 | 11:19 PM

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 15

Link to Wavuti Updates

Taarifa ya habari Oktoba 14, 2012

Posted: 14 Oct 2012 12:21 PM PDT




...click the title/link to read more.

Giving up and Moving on, are different

Posted: 14 Oct 2012 12:16 PM PDT


There is a difference between giving up and knowing when you have had enough.   It doesn't make sense to hold onto something that's no longer there.   Accepting what is, letting go, and moving on are skills that you must learn when facing the realities of life.   Some relationships and situations just can't be fixed. If you try to force...

...click the title/link to read more.

Machweo ya jua kutoka Mloka, Rufiji, Tanzania

Posted: 14 Oct 2012 11:55 AM PDT


Wale walevi wenzangu wa picha za mawio na machweo ya jua, ndiyo msuuzike hadi roho zenu zikome kwa raha. Mdau wa tembeatz.blogspot.com, Rajab wa Wildness Safaris Tanzania aliyekuwa safarini huko Selous Game Reserve kawaletea picha za machweo ambazo alizipiga akiwa huko. Picha hizi zimepigwa pembezoni ya mto Rufiji, nje ya pori la akiba la...

...click the title/link to read more.

Tabasamu: Maongezi ya Mtoto na Baba'ke

Posted: 14 Oct 2012 11:52 AM PDT


Baba: We mtoto hebu niletee soda... Mtoto: Cola au Pepsi? Baba: Pepsi. Mtoto: Kopo au Chupa? Baba: Kopo. Mtoto: Baridi au moto? baba: Baridi. Mtoto: Ndogo au Bonge? Baba: Aaa! Basi niletee tu maji. Mtoto: Ya bombani au dukani? Baba: We mtoto nitakupiga? Mtoto: Na mti au chelewa? Baba: N'takuua nakwambia! Mtoto: Kwa kudu au bunduki? Baba:...

...click the title/link to read more.

Ujenzi wa kituo cha mabasi yaendayo haraka - Kimara Mwisho

Posted: 14 Oct 2012 09:55 AM PDT


Shukurani zimwendee Wenger Rubaya mmiliki wa picha zote hizi

...click the title/link to read more.

Call for applications: Master Program in Vaccinology and Pharmaceutical Clinical Development

Posted: 14 Oct 2012 06:02 AM PDT


University of Siena and Novartis Vaccines Academy Goal: Capacity building in vaccinology and vaccine development in developing countries; To prepare students for a career in academia, public health and research and development in public and private vaccine institutes in developing countries. Concept: To  provide  graduates  in Medicine with ...

...click the title/link to read more.

Call for applications: Bill & Melinda Gates Foundation - Grand Challenges in Global Health Exploration Round 10

Posted: 14 Oct 2012 05:59 AM PDT


Grand Challenges Explorations, an initiative to encourage innovative and unconventional global health and development solutions, is now accepting grant proposals for its latest application round. Applicants can be at any experience level; in any discipline; and from any organization, including colleges and universities, government laboratories,...

...click the title/link to read more.

Taarifa ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika Oktoba 13, 2012

Posted: 14 Oct 2012 05:03 AM PDT


Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika tarehe 13/10/2012 pamoja na mambo mengine kilipanga ratiba ya Mkutano Mkuu wa Taifa iwe kama ifuatavyo:- Mkutano Mkuu wa Nane wa Kawaida wa CCM utafanyika tarehe 10 – 12 Novemba, 2012 .   Kwa kawaida Mikutano Mikuu ya CCM imekuwa ikifanyika kwa siku mbili.  Lakini safari hii CCM...

...click the title/link to read more.

Tanzania following suit: Fake mobile phones to be blocked

Posted: 14 Oct 2012 03:54 AM PDT


TANZANIA will join her neighbour Kenya in getting rid of counterfeit telephone handsets in the country by switching them off. Speaking to "Sunday News' the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) Acting Corporate Communication Manager Mr Semu Mwakyanjala said the regulatory authority is first planning to educate the public on the need...

...click the title/link to read more.

Mwalimu Nyerere na Mradi wa Ujenzi wa Umoja wa Kitaifa...

Posted: 14 Oct 2012 12:49 AM PDT


Ndugu zangu,  Leo ni siku ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere. Asubuhi hii hapa Iringa najiandaa kwenda kwenye mjadala ulioandaliwa na Kigoda Cha Mwalimu pale Chuo Kikuu cha Mkwawa. Hapo kuna mada yenye kuhusisha suala la Muungano kwenye uandikaji wa Katiba Mpya. Nimeambiwa, kuwa kutakuwa na wazungumzaji mahiri, akina Zitto Kabwe, January Makamba na...

...click the title/link to read more.

...and there's still going to be somebody who hates peaches.

Posted: 14 Oct 2012 12:37 AM PDT


You can be the ripest, juiciest peach in the world,  and there's still going to be somebody who hates peaches. —Dita Von Teese.

...click the title/link to read more.

Nyerere’s militancy benefited Africa

Posted: 14 Oct 2012 12:09 AM PDT


Article by Mobhare Matinyi "with an eagle's eye" (matinyi@hotmail.com) via The Citizen -- On January 26, 1996, Mwalimu Julius Nyerere, became the first recipient of the Mahatma Gandhi International Peace Prize awarded by the Government of India for the year 1995. Since then three prominent black icons have followed suit, Nelson Mandela in 2000,...

...click the title/link to read more.

Mambo ya TEHAMA: Huenda siku zijazo sala zikaendeshwa hivi

Posted: 13 Oct 2012 10:03 PM PDT


MCHUNGAJI: Bwana asifiweeeee! WAUMINI: Ameeeeeeeeeni! MCHUNGAJI: Tafadhalini washarika sasa tuchukue iPad, tablet PC, simu na kindle zetu ili tufungue 1 Wakorintho 13:13. Pia washeni bluetooth zenu ili muweze kupokea mahubiri. Mnaotumia facebook, twitter, BBM na Whatsapp mnaweza kuendelea kupokea mahubiri haya. Tafadhalini washarika mnaweza...

...click the title/link to read more.

Nyerere alikuwa Mgomvi

Posted: 13 Oct 2012 10:02 PM PDT




...click the title/link to read more.

Habari zaidi kuhusu kifo cha Kamanda Liberatus Barlow

Posted: 13 Oct 2012 09:25 PM PDT


Tetesi zinaeleza kwamba, tukio la kuuawa kwa Kamanda huyo huenda limesababishwa na uhasama na watu mbali mbali katika maeneo ya kazi alikowahi kufanyia, na kwamba hilo ni tukio linalotia shaka iwapo kama imetokea kwa bahati mbaya. Baadhi ya watu wanalihusisha tukio hilo na mahusiano ya kimapenzi, misimamo yake mikali ya kupambana na majambazi,...

...click the title/link to read more.
Get our toolbar!Get our toolbar!
  • Alexaporn - XXX (+18) Search!Alexaporn - XXX (+18) Search!
 
Sell Your Products At TripleClicks!Share Links Earn Money!
cafepress.com/nicemike
Sale Online!
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger