10/16/12 | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
[ New Posts ] : Habari Mpya Zote - HAPA CHINI!!!
Labels :

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 18

Written By Mike Ntobi on Tuesday, October 16, 2012 | 11:40 PM

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 18

Link to Wavuti Updates

LIVE! online: Watch the second 2012 U.S Presidential Debate

Posted: 16 Oct 2012 01:42 PM PDT


Live! Watch the second 2012 Presidential Debate. Tonight at 9 pm ET.

...click the title/link to read more.

Anthony Diallo achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM Mwanza

Posted: 16 Oct 2012 01:05 PM PDT


picha via GSengo blog WAZIRI wa zamani wa Maliasili na Utalii, na mbunge wa zamani wa Jimbo la Ilemela jijini Mwanza, Anthony Mwandu Diallo, ameibuka mshindi kwa kura 611 katika wa nafasi ya uenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, kisha kumgalagaza aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Clement Gregory Mabina. Katika uchaguzi huo uliofanyika kwenye...

...click the title/link to read more.

Taarifa ya habari Oktoba 16, 2012

Posted: 16 Oct 2012 12:23 PM PDT




...click the title/link to read more.

Serikali ya Tanzania yasaka takwimu za Diaspora kujua mchango wao Kitaifa

Posted: 16 Oct 2012 04:54 AM PDT


Commissioner for Finance and Administration of the Tanzania Immigration Department, who is also the Chair of the National Consultative Committee of the African, Caribbean and Pacific Observatory on Migration, (ACP), Piniel Mgonja, (L), responds to the questions from the BBC Correspondent, Famao on the workshop and related issues on migration and...

...click the title/link to read more.

Kanisa jingine lachomwa moto Tanzania

Posted: 16 Oct 2012 04:36 AM PDT


Saa chache baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwasihi viongozi na waumini wa dini za Kikiristo na Kiislamu nchini kuwa wavulilivu na kujiepusha na vitendo vya kulipiza visasi, Kanisa la la Pentekoste (MMPT) lililopo Buronge katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji limechomwa moto na kutetekezwa kabisa na watu wasiojulikana. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma,...

...click the title/link to read more.

Marehemu Kamanda Barlow: Walimu waelezea uhusiano wake na Dorothy

Posted: 16 Oct 2012 04:30 AM PDT


Baadhi ya walimu wa Shule ya Msingi Nyamagana wamevunja ukimya na kueleza kile kinachodaiwa ni mahusiano kati ya aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, Leberatus Barlow, na mwalimu mwenzao, Dorothy Moses. Wakizungumza na NIPASHE shuleni hapo jana, pia walielezea kusikitishwa kwao na jinsi tukio hilo la mauaji ya RPC lilivyotokea mbele ya...

...click the title/link to read more.

Alimwendea Mganga kutaka ‘dawa ya kurudisha penzi’, akaingiliwa kingono

Posted: 16 Oct 2012 03:59 AM PDT


Masuala ya uchawi na ushirikina Tanzania, binti anaelezea katika kipindi cha 'Heka heka' cha redio CloudsFM alivyokwenda kwa mganga katika harakati za kutafuta 'limbwata' kwa ajili ya kurejesha mapenzi ya mpenzi wake! Alichoambulia ni kubakwa mara mbili na kupoteza shilingi milioni na ushee... bado hasira, muda na...!

...click the title/link to read more.

Halafu ajali ikitokea... ‘ni mapenzi ya mungu’ au ‘amelogwa’

Posted: 16 Oct 2012 03:11 AM PDT


Wahenga walisema, "Kinga ni bora kuliko tiba" na "Jihadhari kabla ya hatari" Mkazi wa Dar es Salaam akiwa amelala juu ya shehena ya ndizi zilizopakiwa kwenye pikipiki ya matairi matatu jambo ambalo linaweza kuhatarisha usalama wake kama alivyokutwa mwishoni mwa wiki jijini. (picha, maelezo via blogu ya Ziro & Tina)

...click the title/link to read more.

Women: Growing facial hair, Gaining weight, Difficult conceiving, WHY?

Posted: 16 Oct 2012 02:42 AM PDT


POLYCYSTIC OVARIAN SYNDROME A disease condition that every woman should know By Dr Fredirick L Mashili, MD. When it comes to appearance, women are often times more concerned with their looks than men. Abnormalities in a woman's body appearance and overall look may require more serious attention, considering the fact that some of...

...click the title/link to read more.

Morogoro: Mwanafunzi wa Darasa la Pili awachoma wenzie kwa kisu

Posted: 16 Oct 2012 01:11 AM PDT


RAIA wa Kata ya Mafiga mjini hapa wamewatupia lawama walimu wa Shule ya Msingi ya Mafiga 'B' kwa kuzembea na kusababisha mwanafunzi wa darasa la pili kuingia darasani na kisu kila siku kisha kuwachoma wenzake. Uchunguzi wa mwahabari wetu ulibaini kuwa kufuatia kitendo hicho, wazazi wenye watoto wanaosoma shuleni hapo wanakusudia kuitisha kikao...

...click the title/link to read more.

Ha ha haaa! Ziro ana akili iliyopitiliza!

Posted: 16 Oct 2012 12:33 AM PDT




...click the title/link to read more.

Wanne wakamatwa na vifaa vilivyoporwa katika vurugu za Mbagala

Posted: 16 Oct 2012 12:28 AM PDT


WATU wanne zaidi wamekamatwa na polisi wakiwa na kompyuta na meza zilizoporwa katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Mbagala, Dar es Salaam. Kukamatwa kwa watu hao kunafanya idadi ya waliokamatwa kutokana na vurugu zilizotokea Ijumaa wiki iliyopita kufikia 126. Vurugu hizo zilambatana nwa baadhi ya watu kuharibu mali,...

...click the title/link to read more.

Maombi ya kujiunga na Mpango wa Kazi Nje Nje yanakaribishwa

Posted: 16 Oct 2012 12:00 AM PDT


BAADA YA MAFANIKIO MAKUBWA YALIYOPATIKANA KATIKA MPANGO WA KAZI NJE NJE 2011, SHIRIKA LA KAZI DUNIANI KITENGO CHA UJASIRIAMALI (YOUTH ENTREPRENEURSHIP FACILITY) KWA KUSHIRIKIANA NA KITUO CHA TEHAMA  CHA TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM (DIT) LINAKARIBISHA MAOMBI KUTOKA KWA VIJANA WAHITIMU WA VYUO VIKUU WENYE NDOTO NA MALENGO YA KUJIAJIRI KAMA...

...click the title/link to read more.

Picha za Mkutano wa Viongozi wa CHADEMA Tanzania na U.K.

Posted: 15 Oct 2012 11:40 PM PDT


Picha na maelezo, kutoka kwa Jestina @ jestina-george.com, bofya linki kutizama picha zaidi.

...click the title/link to read more.

Waziri Mkuu, Pinda kusemezana na Watanzania wa London leo

Posted: 15 Oct 2012 11:28 PM PDT


Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda (Mtoto wa Mkulima) leo Alasiri ya Jumanne tarehe 16 Oktoba, 2012 anatarajiwa kuunguruma Jijini London katika mkutano wake na Watanzania waishio hapa Uingereza. Mheshimiwa Pinda ambaye yuko katika ziara fupi ya kibinafsi hapa London amerudia utaratibu wa  kupenda kusemezana na Watanzania hata anapokuwa...

...click the title/link to read more.

SkyLight Band yazidi kuongeza mashabiki Thai Village, Masaki, Dar

Posted: 15 Oct 2012 10:15 PM PDT




...click the title/link to read more.

Ashikwa na mfadhaiko na kumdhalilisha mwanafunzi katika msiba wa Barlow

Posted: 15 Oct 2012 09:47 PM PDT


WAKATI vilio, simanzi na huzuni jana vikighubika jiji la Mwanza wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Liberatus Barlow, mwanafunzi wa darasa la tano amedhalilishwa kingono na mtu asiyefahamika. Mwanafunzi huyo alijikuta akifanyiwa udhalilishaji huo kwenye maungo yake sehemu ya makalio ambapo...

...click the title/link to read more.

TBC - Taarifa ya habari; BBC - Aliyezusha Balozi Tsere kafukuzwa, akamatwa na Polisi

Posted: 15 Oct 2012 12:59 PM PDT


Bofya kifute cha pleya kusikiliza taarifa hiyo ya habari. Mwishoni mwa wiki iliyopita, kulikuwa na taarifa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mhe. Patrick L. Tsere amepewa barua na Serikali ya Malawi inayomtaka kuondoka nchini humo ndani ya saa 48 kutokana na maoni yanayohusiana na mipaka ya Ziwa Nyasa/Malawi aliyoyatoa redioni alipokuwa...

...click the title/link to read more.
Get our toolbar!Get our toolbar!
  • Alexaporn - XXX (+18) Search!Alexaporn - XXX (+18) Search!
 
Sell Your Products At TripleClicks!Share Links Earn Money!
cafepress.com/nicemike
Sale Online!
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger