11/05/12 | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
[ New Posts ] : Habari Mpya Zote - HAPA CHINI!!!
Labels :

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20

Written By Mike Ntobi on Monday, November 05, 2012 | 11:13 PM

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20

Link to Wavuti Updates

Taarifa ya habari Novemba 5, 2012

Posted: 05 Nov 2012 09:44 AM PST




...click the title/link to read more.

Prof. Lipumba huifahamu sheria, acha ichukue mkondo wake! - Happiness Katabazi

Posted: 05 Nov 2012 09:38 AM PST


Happiness Katabazi Makala ifuatayo meandikwa na HAPPINESS KATABAZI KWA mara ya pili sasa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Professa Ibrahim Lipumba  amekuwa akiitisha mikutano na waandishi wa habari kuzungumzia vurugu za kidini zilizotokea hapa nchini hususani jijini Dar es Salaam. Profesa Lipumba pamoja na mambo mengine amekuwa akisema...

...click the title/link to read more.

Mwanachuo wa Musoma Utalii achomwa kisu kwa wivu wa mapenzi

Posted: 05 Nov 2012 09:23 AM PST


Habari hii imeandikwa na Pascal Michael, Musoma, na imeshirikishwa kwetu na Magiri Paul wa wotepamoja.com Mwanachuo wa Musoma Utalii aitwaye Rose Kanyambo  (21), alishambuliwa kwa visu mgongoni na ubavuni na mtu anayedaiwa  kuwa ni mpenzi wake ambaye pia ni mwanachuo, baada ya kukataliwa kuendeleza urafiki. Mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa...

...click the title/link to read more.

Rais Kikwete azindua mradi wa barabara ya Manyoni-Itigi Chaya na Issuna-Manyoni

Posted: 05 Nov 2012 08:34 AM PST


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi barabara ya Issuna-Manyoni akiwa na viongozi wa serikali na wa TANROADS pamoja na wabunge wa mkoa wa Singida (picha: IKULU) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa Barabara ya Manyoni-Itigi-Chaya mkoani Singida leo (picha: IKULU) Rais...

...click the title/link to read more.

PhD Candidate in Epidemiology @ Swiss Paraplegic Group

Posted: 05 Nov 2012 07:35 AM PST


Location: Switzerland Nottwil Discipline: Epidemiology Employment Type: Permanent Full-time Description Swiss Paraplegic Research (SPF) is an affiliate of the Swiss Paraplegic Foundation. The mission of SPF is sustainably improving the situation of people with spinal cord injury (SCI) through clinical and interdisciplinary research on a...

...click the title/link to read more.

Call for applications: EnPe – NORAD´s Master Programme within the Energy and Petroleum sector

Posted: 05 Nov 2012 06:59 AM PST


EnPe – NORAD´s Master Programme within the Energy and Petroleum sector (ANTHEI – Angolan Norwegian Tanzanian Higher Education Initiative) Background The University of Dar es Salaam (UDSM), specifically the Department of Chemical and Mining Engineering and Nowrwegian University of Science and Technology (NTNU) of Norway have had initial...

...click the title/link to read more.

Mwanahabari Charles Ndagula almanusura auawe akifuatilia magendo ya sukari

Posted: 05 Nov 2012 05:55 AM PST


Mwandishi wa habari Charles Ndagula akiwa amelazwa hospitali ya St Joseph iliyoko mjini moshi kwa ajili ya matatibabu baad ya kugongwa kwa makusudi na wafanyabiashara wanaosafirisha magendo ya sukari kwenda Kenya. (picha Rodrick Mushi) Habari imeandikwa na Rodrick Mushi Mwandishi wa habari wa gazeti la Tanzania Daima Mkoani Kilimanjaro,Charles...

...click the title/link to read more.

Prof. Lipumba azungumza na Rais Kikwete kuhusu vurugu nchini

Posted: 05 Nov 2012 05:53 AM PST


MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kwamba amezungumza na Rais Jakaya Kikwete kuhusu mwenendo wa vurugu za kidini zinazotokea nchini.  Pamoja na hayo, Profesa Lipumba amesema, bado atatafuta njia nyingine ya kuonana ana kwa ana na Rais Kikwete, ili kuzungumzia vurugu hizo za kidini. Profesa Lipumba, aliyasema...

...click the title/link to read more.

picha: Upatikanaji mafuta Mbeya, inakatisha tamaa. Athari kiuchumi?

Posted: 05 Nov 2012 02:37 AM PST


Nawaza, nishati ya mafuta inapokosekana, ina maana: Wanaotegemea mafuta kufanya shughuli za kujiingizia kipato ili kumudu gharama za maisha na kuchangia pato la nchi kiuchumi kama vile waendesha vyombo vya moto vya usafiri, vinu, mashine za viwandani, magari ya kilimo,  n.k. wanakwama, kwa hivyo uzalishaji unashuka. Watu hawafanyi kazi kwa kuwa...

...click the title/link to read more.

The most competitive States in the U.S Presidential Election 2012 - Obama v/s Romney

Posted: 05 Nov 2012 01:54 AM PST


A member of the congregation prays for President Barack Obama to be successful in his bid for re-election during a service at the St. Richard Catholic Church in Kogelo, western Kenya, Nov. 4. Kogelo village is the home of Sarah Obama, the step-grandmother of the U.S. President, and many Kenyans consider Obama, with a mother from Kansas and a...

...click the title/link to read more.

Madiwani Manyara, Mpwapwa wawatimua kazi Wakuu wa Idara kadhaa

Posted: 05 Nov 2012 01:38 AM PST


Habari hii imenukuliwa kutoka Libeneke la Kaskazini blog BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara limetoa maamuzi magumu kwa kuwaondoa kwenye nafasi zao wakuu wanne wa idara tofauti za Wilaya hiyo kwa kukiuka miiko ya kazi zao. Walioondolewa kwenye nafasi hizo ni Ofisa Elimu Msingi wa wilaya hiyo Jackson Mbise;...

...click the title/link to read more.

Jinsi ya kuomba Scholarship: Mwongozo wa @Kapongola, @Makulilo

Posted: 05 Nov 2012 01:20 AM PST


Majibu haya yanatokana na maswali yaliyoulizwa na Nafikile Mwangomile, ambaye aliwasilisha ujumbe kwa Chambi, ujumbe ambao umesaidia kupata majibu kutoka kwa Kapongola na Makulilo. Imekuwa vyema kuweka majibu haya upenuni ili kuwasaidia wengi zaidi watakaohitaji.                                                                                    ...

...click the title/link to read more.

Ndoa za kimila ziondolewe kabisa - Nyangwine (Mb)

Posted: 05 Nov 2012 12:47 AM PST


Chacha Nyambari Nyangwine Imeandikwa na Eric Anthony, Dodoma via HabariLeo MBUNGE wa Tarime, Nyambari Nyangwine (CCM), ameitaka Katiba ijayo izikatae kabisa ndoa za kimila, akisema zinadhalilisha. Alitolea mfano kuwa mkoani Mara wanawake wengi wamekuwa wakidhalilishwa kwa sababu ya mila alizoziita zimepitwa na wakati, "Hapa naomba niwatetee wale...

...click the title/link to read more.

Makatibu Wakuu Wazee wamwomba Rais “mwaka” (ili wavune?)

Posted: 05 Nov 2012 12:35 AM PST


KAULI ya Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue kuwataka Makatibu Wakuu wa Wizara wenye umri wa zaidi ya  miaka 60 waachie ngazi  imewatetemesha wahusika huku wengine wakidaiwa kukimbilia Ikulu kuomba waongezewe muda wa mwaka mmoja. Hivi karibuni Ombeni alinukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari akisema makatibu wakuu wenye umri mkubwa waondoke...

...click the title/link to read more.

Wanawake tunavuliwa nguo kiwandani 

Posted: 05 Nov 2012 12:29 AM PST


Imeandikwa na Grace Chilongola, Mwanza via HabariLeo ZAIDI wanawake 50 wanaofanya kazi katika kiwanda cha kukausha mabondo ya samaki cha Ilemela jijini Mwanza, wameandamana hadi kwa Mwenyekiti wa Mtaa wa Bukwenga kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwamo kuvuliwa nguo wakati wanapokaguliwa. Kwa mujibu wa wanawake hao, vitendo hivyo ya...

...click the title/link to read more.

CHADEMA na CUF ziungane ili kushinda Tanzania - Abbas Salum Kitogo

Posted: 05 Nov 2012 12:18 AM PST


TUONGEe SIASA KIDOGO:  Ni ukweli usiopingika kwamba CDM ndio chama kikuu pinzani Tanzania Bara; na CUF kikuu pinzani Zanzibar.  Kwamba nafasi ya CDM kutwaa madaraka ZENJI ni ndoto, na nafasi ya CUF kutwaa hatamu BARA ni ndoto - kwa vipimo vyangu vya ki-uzoefu.  Vile vile kuna ile dhana (siipendi dhana hii lakini labda wanaoidhani wana sababu...

...click the title/link to read more.

Taarifa muhimu kwa waliomaliza Chuo cha Uhazili Tabora

Posted: 04 Nov 2012 11:22 PM PST


Wanachuo wote waliomaliza chuo cha UHAZILI Tabora mwaka 1989, mnaombwa kukutana JOLLY CLUB siku ya IJUMAA tarehe 16/11/2012 saa 11.00 jioni kuna jambo muhimu la kuzungumza, usomapo taarifa hii mjulishe na mwenzako. Wasiliana na wafuatao kwa maelezo zaidi na kuthibitisha kushiriki wako.  KARIBUNI SANA 1. Grace Mwanambilimbi Mwesi 0784 351620 2....

...click the title/link to read more.

Meshack Maganga: Kwenye Ujasiriamali, ng’ombe wa Masikini huzaa - I

Posted: 04 Nov 2012 10:34 PM PST


Meshack Maganga (meshackmaganga@gmail.com) Makala hii imeandikwa na Meshack Maganga - Iringa Katika makala zangu zilizo tangulia nilipoandika kuhusu ujasiriamali nilipata mwitikio kwa kiwango kikubwa kutoka kwa wasomaji wengi. Baadhi walinitafuta kutaka ushauri wa mazungumzo ya ana kwa ana kuhusu dhana hii tunayoiita ujasiria mali. Baadhi ya...

...click the title/link to read more.

Uamuzi wa pingamizi la kesi ya Ubunge wa Godbless Lema kutolewa Novemba 8

Posted: 04 Nov 2012 10:13 PM PST


Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi za awali wa kesi ya rufaa iliyofunguliwa na aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, (CHADEMA), umepangwa kutolewa Novemba 8, mwaka huu. Habari za uhakika kutoka ya Mahakama ya Rufaa inayosikiliza kesi hiyo, zilisema kuwa uamuzi huo utatolewa jijini Dar es Salaam ambapo shauri hilo linasikilizwa na...

...click the title/link to read more.

Anonymous group threaten to take down Facebook and Zynga TODAY

Posted: 04 Nov 2012 10:06 PM PST




...click the title/link to read more.
Get our toolbar!Get our toolbar!
  • Alexaporn - XXX (+18) Search!Alexaporn - XXX (+18) Search!
 
Sell Your Products At TripleClicks!Share Links Earn Money!
cafepress.com/nicemike
Sale Online!
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger