11/25/12 | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
[ New Posts ] : Habari Mpya Zote - HAPA CHINI!!!
Labels :

NNACHEKA TU.., LAKINI MUME HUYU UTATA, "ANASAKWA NA POLISI, KISA UNGA..!?&#$%"

Written By Mike Ntobi on Sunday, November 25, 2012 | 8:16 PM

Aunty Ezekiel na Mumewe Sunday baada ya Harusi huko Dubai.

BAADA ya ile harusi ya msanii maarufu wa filamu bongo Aunty Ezekiel kufungwa huku mastaa wakimsapoti shangwe, ishu nzito imeanza kujitokeza kuwa mume wa msanii huyo hawezi kuonekana kwenye ardhi ya bongo siku za usoni, kwa madai kuwa anatafutwa na jeshi la Polisi.

Upekuzi uliofanywa na mwandishi wetu wa kutaka kubaini kwa nini bwana harusi hakutaka kumaliza ishu hiyo mwenywe, ndipo taarifa hizo zilipobainika kuwa jamaa huyo kuna ishu nzito aliyoifanya bongo na ndiyo sababu kubwa ilimfanya asije hata kuonekana kwa wakwe zake.

Chanzo cha habari kilichozungumza namtandao huu kimedai kuwa awali kabisa kabla ndoa haijafungwa jamaa alitakiwa kuja nnchini lakini hakuweza kukubali kwa kujua kuwa anatafutwa na polisi na endapo akionekana atakuwa kwenye matatizo.

Mtu huyo aliongeza kuwa kuna uwezekana hata wanafamilia wa msanii huyo wakashindwa kumuona kabisa mwanaume huyo kwani ishu inayoendelea ni kwamba jamaa ameshatoa taarifa kuwa hawezi kuja nchini na mtu anayemtaka basi ni lazima apange safari amfuate.

AUNTY EZEKIEL AALIKWA LUNCH NYUMBANI KWA BI SALMA MGIDO, AKIWA NA MUMEWE SUNDAY DEMONTE.

Maharusi Mr & Mrs Sunday Demonte wakiwa katika pose 
nyumbani kwa Salma Mgido mapema leo kwaajili ya chakula
cha mchana.

Aunty akiwa amepakata mtoto Seif wa da Katija Mashallah.

UKATA NI TATIZO LINALOFANYA STUDENTS WA UDOM KUFANYA UCHANGU LIVE..!


Taarifa ya habari ya Star tv ya saa mbili usiku ya tarehe 23/11/2012 imeeleza kuwa wanafunzi wa kike katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wanadaiwa kufanya biashara ya ukahaba katika maeneo mbalimbali ya starehe mjini Dodoma!

Habari hii inasikitisha hasa ukizingatia umuhimu wa wasomi hawa katika Tanzania na hatari inayoweza kuwapata kama taarifa hii ina ukweli.

Kama jamii tujiulize, tatizo ni nini mpaka mtu wa level kama hiyo kuamua kuvaa vichupi na kujiuza kwenye clubs na sehemu zingine??
Get our toolbar!Get our toolbar!
  • Alexaporn - XXX (+18) Search!Alexaporn - XXX (+18) Search!
 
Sell Your Products At TripleClicks!Share Links Earn Money!
cafepress.com/nicemike
Sale Online!
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger