ROBIN VAN PERSIE
Siku Van Persie alipotangazwa kujiunga na Man U, Reaction
ilikuwa tafauti kwa wengi. Siku kifaa kinachowaumiza vichwa
machampion wa Soccer huko Ulaya, Robin Van Persie
kilipoamua kuvaa Jessie ya Man U, huku Wenger akibaki
mdomo wazi haamini kuwa ni kweli AMEMUUZA mshambuliaji
wake...! Kumbe hata majuu wanahusudisha mkwanja kama
ilivyo Bongo. Lakini, wenzetu sasa mkwaja wao ni wa uhakika sio
sisi vijisenti tu, mchezaji kauzwa....! |
Pages
▼
Thursday, August 16, 2012
Welcome to Man U..., VAN PERSIE.. Bye Arsenal...!
Ajali Mbaya... "Sababu UZEMBE WA DEREVA", Hadi lini Jamani?
![]() |
Mama mmoja akishangaa Ajali ya Gari Dogo lilivyopondeka vibaya. |
![]() |
Mtu mwingine akishangaa ajali hiyohiyo. |
AJALI HII IMETOKEA JUMAPILI ILIYOPITA, 12th AUGUST, Msata. WALIKUA WATU
WATATU, WAKITOKEA TANGA KWENDA DAR-ES-SALAAM KWENYE SEND-OFF YA
FIANCEE WA KAKA YAO, MMOJA KAUMIA KICHWA, MKEWE KAVUNJIKA MKONO MARA
TATU.
Kaka mwingine kaumia kichwa..., ajali ilivyotokea ni kwamba basi lilikua linakata kona
upande wao (GARI DOGO)..., dereva wa basi akashindwa kurudisha basi line yake
matokeo yake ndo akagongana na ilo gari dogo...!!!