AUNT EZEKIEL BADALA YA KUOLEWA, ATAENDELEA KUWA SISTER DUU TU.
Baada ya kufakamia mi-pombe ya kutosha, Aunt Ezekiel ambaye anatarajiwa kuolewa mwezi Sep 2012, alitokezea katika sherehe moja jijini Dar akiwa nusu uchi stejini. Baada ya kugundua picha zake zimeenea mtandaoni, na wala hakuulizwa, akajifanya kujibu kuwa:
“Loh!, Picha nimeziona kwa kweli ni picha ambazo zinaonesha umbo langu lakini nachoweza kusema kwa sasa ni kwamba nInaomba msamaha mashabiki wangu wote kwani kilichotokea ni kwa sababu ya pombe na nimejifunza kutokana na makosa,” alisema Aunty.