Pages

Sunday, January 27, 2013

WISDOM: "The Nicest PEOPLE always get treated like SHIT"


Martin Luther King (Snr & Jnr) with Grandson.

Wachungaji wa-3 walikuwa wakielezana matatizo yao ili waombeane:

1. Wa kwanza: Tatizo langu kila nikitoka kwenye ibada lazima niibe SADAKA na ZAKA naomba mniombee niache hii tabia.

2. Wa pili: Napenda wanawake kila mwanamke natamani nilale nae,nishalala na wanakwaya karibu wote,niombeeni niache tabia hii.

3. Wa tatu: Akaanza kulia wenzake wakamuuliza wewe vipi mbona unalia?akawaambia tatizo langu ni umbea yaani mliyosema hapa yote lazima nikasimulie kanisani niombeeni niache umbea,hahahhaa. 

NAWATAKIA SIKU NJEMA.