Pages

Saturday, November 17, 2012

NI USALITI HUU....!!! JACK PATRICK AKITESA NA MARTIN KADINDA... MUMEWE FUNDIKIRA AKISOTA JELA.


MATENDO anayofanya mwanamitindo Jackline Patrick wakati mumewe Abdullatif Fundikira akiteseka gerezani, yametajwa kuwa ni usaliti wa asilimia miamoja na kwamba kama hatajirekebisha, mwisho wake utakuwa mbaya.



 Hayo yamekuja kufuatia hivi karibuni kupatikana kwa picha zinazomuonesha mwanadada huyo akiwa kimahaba zaidi na modo mwenzake wa kiume, Martin Kadinda  huku mume wake akisota nyuma ya  nondo.

Picha hizo zinawaonesha wawili hao wakiwa wamekumbatiana na kufanyiana mambo yasiyostahili kufanyika mbele za watu pale walipokuwa wakiogelea kwenye moja ya fukwe zilizopo jijini Dar na nyingine wakijiachia klabu.

Jack Pat akisakata Rhumba kama hana akili nzuri
wakati mumewe yuko Lupango, ...Duuh...!!!
MUME WAKE JACK, ABDULLATIF FUNDIKIRA, AKIPELEKWA GEREZANI

 HUYU  NDO JACK  AMBAYE NI  "MKE WA MTU"  AKILA  BATA 
NA  MWANAUME MWINGINE AMBAYE NI MARTINE KADINDA

No comments:

Post a Comment