Pages

Sunday, May 04, 2014

Hivi Aunt.. Huyo ni Sunday AU!? Maana.. Duh!






Aunt Ezekiel afata nyayo za Wema Sepetu na Diamond the Platnumz, ni jana tu tuliona Diamond the Platnumz na Wema Sepetu waliamua kuachia picha ikionyesha huku wakinyonyana ndimi, basi na aunt yake akaona isiwe shida, na yeye huko alipo Dubai akaamua kufanya yake kwa kufanya mapenzi na mpenzi wake, na baada ya hapo akaamua kufotoa picha huku wakinyonyana ndimi na kuficha sura ya mwanaume wake. 

  

Kasura ka mwanaume hapo kushoto kanafanana na ka Sunday kidogo... ila ndo inasemekana yuko Lupango nchi za watu.  Au ni picha ya zamani hiyo unatuzuga tu? Eh! watajua wenyeweee....! 

1 comment: