HEMED Phd AFUNGA NDOA YA SIRI NA BINTI WA KIZAMBIA!!...?! | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
Labels :
Home » , , » HEMED Phd AFUNGA NDOA YA SIRI NA BINTI WA KIZAMBIA!!...?!

HEMED Phd AFUNGA NDOA YA SIRI NA BINTI WA KIZAMBIA!!...?!

Written By Mike Ntobi on Sunday, December 22, 2013 | 9:14 AM

Hemed na mkewe siku ya ndoa yao huko 
Lusaka, Zambia

               Kuona picha zaidi za yaliyojiri siku wawili hao waliposema 'I DO'.

Video fupi ya tukio hili la kufurahisha itakujia hivi punde endelea kuperuzi blog hii inayokupa habari za kipekee kabisa ambazo huwezi pata sehemu nyingine!!!! 













 Ushahidi wa picha za Hemed Phd akiwa ma mkewe binti wa ki-Zambia Cassie siku ya ndoa yao!!! 

Ooh! Ghosh, kumbe in FILAMU, aaagh!......?

Hii ni filamu mpya kutoka Zambia itakayoitwa Tangled Mess aka Guilt,ni filamu nzuri sana sio ya kukosa.Nitawajulisha mara tu itakapokuwa tayari.
Share this article :

Related Posts :

Post a Comment

 
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger