wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 17 |
- Taarifa ya habari - Bodi ya Mafuta yavunjwa; Zungu akana taarifa za rushwa
- Jeshi lafanya Mabadiliko kwa baadhi ya Polisi wa Mikoa na Vikosi
- Gari ilipakiwa pembezoni, likasererekea mraroni
- TANAPA yafanya mabadiliko ya safu ya Watendaji
- Researchers say drug subsidies led to overtreatment of Malaria in Africa
- @JJMnyika: Mhando na Wenzie wafikishwe Mahakamani, la sivyo nita...
- Mama Rehema Chalamila ‘Ray C’ anaomba msaada wako kwa mwanaye
- Kampuni ya Bima ya Afya ya Resolution yazinduliwa Dar es Salaam
- Zanzibar says oil revenue deal with Tanzania will advance exploration
- Job opportunity: TPN Program Officer cum Office Manager
- Treni ya Dar = Utalii wa ndani. Sawasawaaa? Sawa sawa!
- CNN: High peaks and wildlife put Tanzania on the tourist map
- Mhariri wa gazeti la Business Times apigwa risasi
- WB says: Tanzania maintains solid growth but poverty remains widespread
- Papa la Wazazi limemeza chambo ya TAKOKURU nini?
- 18 foreign nationals rescued from Somali pirates arrive in Dar es Salaam
- Rais Kikwete “aliteka” Jiji la Arusha
Taarifa ya habari - Bodi ya Mafuta yavunjwa; Zungu akana taarifa za rushwa Posted: 02 Nov 2012 12:02 PM PDT Serikali imevunja bodi ya wafanyabiashara wanaoagiza mafuta na kuunda bodi nyingine ambayo itakuwa na wawakilishi kutoka EWURA, wizara ya nishati, TRA na mamlaka ya bandari huku kampuni zilizopewa leseni na kukaa nazo bila kuagiza mafuta zikifungiwa kufanya biashara hapa nchini. Vurugu kati ya watu wanaodaiwa kuwa ni waumini wa dini ya Kiislam na... ...click the title/link to read more. |
Jeshi lafanya Mabadiliko kwa baadhi ya Polisi wa Mikoa na Vikosi Posted: 02 Nov 2012 11:55 AM PDT |
Gari ilipakiwa pembezoni, likasererekea mraroni Posted: 02 Nov 2012 11:54 AM PDT |
TANAPA yafanya mabadiliko ya safu ya Watendaji Posted: 02 Nov 2012 11:36 AM PDT Imeandikwa John Mhala, Arusha via HabariLeo SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limefanya mabadiliko kwa watendaji wake ikiwa ni moja ya kutaka lifanye kazi zake kwa ufanisi mkubwa. Mabadiliko hayo ni kutokana na kikao cha Bodi ya TANAPA cha hivi karibuni yakilenga kuongeza utoaji wa huduma bora na kuongeza ufanisi katika majukumu ya kila siku... ...click the title/link to read more. |
Researchers say drug subsidies led to overtreatment of Malaria in Africa Posted: 02 Nov 2012 03:28 AM PDT The map shows the estimated proportion of people who tested positive for malaria before treatment. The bigger the number, the better. (photo: Courtesy of Justin Cohen via NPR.org) By MICHAELEEN DOUCLEFF via NPR.org (copyright of.) Blood samples dry during malaria screening. Public health workers call for more malaria testing in Africa to stop... ...click the title/link to read more. |
@JJMnyika: Mhando na Wenzie wafikishwe Mahakamani, la sivyo nita... Posted: 02 Nov 2012 03:14 AM PDT Waziri Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika, amesema hatua ya kufukuzwa kazi pekee kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), William Mhando, haitoshelezi, bali yeye na wenzake alioshirikiana nao wanapaswa kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazowakabili. Mnyika, ambaye pia ni Mbunge wa Ubungo (CHADEMA), alisema hayo... ...click the title/link to read more. |
Mama Rehema Chalamila ‘Ray C’ anaomba msaada wako kwa mwanaye Posted: 02 Nov 2012 03:00 AM PDT Timu ya MoBlog imezunzumgumza na Mama Mzazi wa mwanamuziki Rehema Chalamila al maaruf Ray C na hii ni taarifa yake: Mwanamuziki wa kike Rehema Chalamila maarufu kama Ray C kwasasa anaishi maisha magumu baada ya kuathiriwa na kinachosemekana kuwa ni matumizi ya madawa ya kulevya kwa muda mrefu. Mwanadada huyo maarufu kama kiuno bila mfupa hivi... ...click the title/link to read more. |
Kampuni ya Bima ya Afya ya Resolution yazinduliwa Dar es Salaam Posted: 02 Nov 2012 02:46 AM PDT |
Zanzibar says oil revenue deal with Tanzania will advance exploration Posted: 02 Nov 2012 12:48 AM PDT The Zanzibar government has reached a deal on the sharing of future oil and gas revenue with mainland Tanzania, overcoming a long-running dispute in a move that will spur exploration activities on the semi-autonomous archipelago. Tanzanian President Jakaya Kikwete and his Zanzibar counterpart Ali Muhamed Shein struck a deal last week, allowing... ...click the title/link to read more. |
Job opportunity: TPN Program Officer cum Office Manager Posted: 01 Nov 2012 10:46 PM PDT ADVERTISEMENT FOR THE POSITION OF TPN PROGRAM OFFICER CUM OFFICE MANAGER Job Title: Program Officer cum Office Manager Location: Dar Es Salaam Start date: Immediately (ASAP) Reporting to: Secretary General About TPN: Tanzania Professionals Network (TPN) is a Non-Governmental Organization which brings together Professional Tanzanians and... ...click the title/link to read more. |
Treni ya Dar = Utalii wa ndani. Sawasawaaa? Sawa sawa! Posted: 01 Nov 2012 10:55 PM PDT |
CNN: High peaks and wildlife put Tanzania on the tourist map Posted: 01 Nov 2012 10:54 PM PDT Article by Catriona Davies, for CNN (CNN) -- Home to Africa's highest mountain and one of its most famous wildlife parks, Serengeti, Tanzania is one of the continent's most popular tourist destinations. It was recently listed by the New York Times as its number one place to go in Africa, with 783,000 visitors in 2010, according to a... ...click the title/link to read more. |
Mhariri wa gazeti la Business Times apigwa risasi Posted: 01 Nov 2012 10:51 PM PDT UPDATE: Kwa niaba ya Kampuni ya Business Times Limited, napenda kuwataarifu kwamba kikao cha kujadili hali na mwenendo mzima wa Mhariri mwenzetu Mnaku Mbani ndio kimekwisha na kuahidi kutoa taarifa maalumu kwa vyombo vya habari ili kuelezea uhalisia wa tukio zima na nini kinaendelea kwa faida ya vyombo vyote vya habari pamoja na msimamo mzima... ...click the title/link to read more. |
WB says: Tanzania maintains solid growth but poverty remains widespread Posted: 01 Nov 2012 09:55 PM PDT Country maintains excellent macroeconomic management but rural poor yet to experience benefits of growth DAR ES SALAAM, November 1, 2012 – The Tanzanian economy continued to post impressive growth with a rate of more than 6 per cent over the past year in addition to a marked reduction in its fiscal deficit, despite a difficult external... ...click the title/link to read more. |
Papa la Wazazi limemeza chambo ya TAKOKURU nini? Posted: 01 Nov 2012 06:11 PM PDT |
18 foreign nationals rescued from Somali pirates arrive in Dar es Salaam Posted: 01 Nov 2012 03:28 PM PDT cross-posting this from TheCitizen, story by Abela Msikula, The Citizen Correspondent, Dar es Salaam. Eighteen foreign nationals who were rescued from Somali pirates were handed back to their embassies after arriving in Dar es Salaam in a Dutch navy vessel. The 17 Iranians and two Pakistanis were taken hostage by four Somali pirates off the... ...click the title/link to read more. |
Rais Kikwete “aliteka” Jiji la Arusha Posted: 01 Nov 2012 03:21 PM PDT Zifuatazo ni picha kutoka IKULU za Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika shamrashamra za kulizindua rasmi jiji la Arusha siku ya Alhamisi, Novemba Mosi, 2012 ambapo maelfu ya wakaazi wa jiji hilo walijitokeza kumlaki katika hafla hiyo iliyoambatana na hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa barabara za jiji hilo. Sherehe hizo za kihistoria zilifanyika katika... ...click the title/link to read more. |
You are subscribed to email updates from Wavuti Updates To stop receiving these emails, you may unsubscribe now. | Email delivery powered by Google |
Google Inc., 20 West Kinzie, Chicago IL USA 60610 |