wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 19 |
- Rais Kikwete akutana na ujumbe kutoka Kenya leo Ikulu Dar es Salaam
- JWTZ: Sasa tutaingilia maandamano; Prof. Safari: JWTZ imefuata nini mtaani?
- “kufungwa gazeti la Mwanahalisi ni maamuzi ya Kikwete akishawishiwa na...” - Dkt. Slaa
- Taarifa habari, Oktoba 21, 2012
- Jua lilee literemke mamaa, aiya iyaa-iya-iya maama! Sun setting in Arusha
- Kitabibu, Mwalimu Nyerere alifariki kabla ya Oktoba 14, 1999
- Botswana deports Tanzanian ‘abortionist’ Medical Doctor
- Ilani kuhusu ujumbe wa simu unaozunguka kuhusu mabomu
- Simba na ‘droo’ zake...
- Tuzo za Nobeli: Je! Mwalimu Nyerere anahujumiwa?
- Sheikh Godigodi aionya Serikali
- Udini kwenye kamba inayotuunganisha Watanzania, ndipo ulipo ubovu - Maggid Mjengwa
- How safe if your PIN? - Infographic
- Hawa ndiyo maadui wa Waisalam na Uislam @MohamediMtoi
- Mawazo ya Ziro aliposikia kumetokea ‘machafuko’ Dar
- Jeshi la Polisi lakanusha taarifa za kumteka Ust. Farid
- 4 tons of ivory caught in Hong Kong; Containers came from Tanzania, Kenya
- video: Hon. Philipo Mulugo speaking at ‘Innovation Africa 2012’
- Government says: Iran oil tankers signal wrong Tanzania-Zanzibar flag
Rais Kikwete akutana na ujumbe kutoka Kenya leo Ikulu Dar es Salaam Posted: 21 Oct 2012 12:39 PM PDT TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametaka wananchi wa Kenya wapewe nafasi ya kuamua ni viongozi gani wanawataka katika Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Machi mwakani. Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa wananchi wa Kenya... ...click the title/link to read more. |
JWTZ: Sasa tutaingilia maandamano; Prof. Safari: JWTZ imefuata nini mtaani? Posted: 21 Oct 2012 11:43 AM PDT Sasa tutaingilia maandamano yoyote ya kuhatarisha amani (gazeti la Habari Leo) Msemaji wa JWTZ, Kanali Kapambala Mgawe (picha ya maktaba kutoka kwenye blog ya Mdimuz) JESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limewataka wananchi kulinda amani iliyopo na kuepuka vurugu zinazohatarisha usalama wa nchi. Kauli hiyo, imekuja siku moja baada ya... ...click the title/link to read more. |
“kufungwa gazeti la Mwanahalisi ni maamuzi ya Kikwete akishawishiwa na...” - Dkt. Slaa Posted: 21 Oct 2012 11:38 AM PDT |
Taarifa habari, Oktoba 21, 2012 Posted: 21 Oct 2012 11:26 AM PDT |
Jua lilee literemke mamaa, aiya iyaa-iya-iya maama! Sun setting in Arusha Posted: 21 Oct 2012 09:41 AM PDT |
Kitabibu, Mwalimu Nyerere alifariki kabla ya Oktoba 14, 1999 Posted: 21 Oct 2012 09:22 AM PDT Nyerere, Julius Kambarage (picha: panafricanmovement.ug) AKIWA hana fahamu kwa siku tano mfululizo katika Hospitali ya Mtakatifu Thomas, jijini London Uingereza, matumaini ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, kupona hadi kufikia Oktoba 13, siku moja kabla ya kifo chake hayakuwapo, taarifa mbalimbali zinabainisha. Taarifa hizo ni pamoja na... ...click the title/link to read more. |
Botswana deports Tanzanian ‘abortionist’ Medical Doctor Posted: 21 Oct 2012 09:07 AM PDT CALISTUS KOLANTSHO CORRESPONDENT SELEBI-PHIKWE: A general medical practitioner who was based in Mmadinare has been deported on allegations that he effected illegal abortions. Secret service agents arrested Dr Hamdun Abubakar Mtiro at his clinic on Tuesday for allegedly terminating pregnancies. Dr Mtiro is the second doctor to be deported from... ...click the title/link to read more. |
Ilani kuhusu ujumbe wa simu unaozunguka kuhusu mabomu Posted: 21 Oct 2012 08:54 AM PDT Kuna taarifa kwenye mitandao ya simu inayoendelea kutolewa kwenye message za simu kwamba kuna Mabomu zaidi ya 30 yenye uzito usiopungua tani 100 na kuwataka wananchi katika mikoa ya Tanzania iliyo jirani na Malawi kuwa waangalifu. Taarifa hiyo imetaka wenye wasiwasi kuhusu taarifa hiyo wapige simu 0756000042. Taarifa hiyo imedai kwamba... ...click the title/link to read more. |
Posted: 21 Oct 2012 05:42 AM PDT |
Tuzo za Nobeli: Je! Mwalimu Nyerere anahujumiwa? Posted: 21 Oct 2012 05:38 AM PDT picha: sowetanlive.co.za UTOAJI wa Tuzo za maarufu na muhimu za Nobeli kwa watu mashuhuri na wenye mafanikio ya kipekee katika maendeleo na amani ya dunia umeanza kutiliwa shaka na baadhi ya wasomi barani Afrika, na hususan wanazuoni katika baadhi ya vyuo vikuu Kusini mwa Jangwa la Sahara, Raia Mwema, imebaini. Mijadala ya chini chini imeanza... ...click the title/link to read more. |
Sheikh Godigodi aionya Serikali Posted: 21 Oct 2012 12:34 AM PDT SERIKALI imetakiwa kuwa makini katika usajili wa Taasisi mbalimbali hususan zinazohusiana na masuala ya dini ikiwa ni pamoja na kufuatilia huduma za taasisi zilizosajiliwa nchini ili kudhibiti taasisi zinazojisajili tofauti na kazi wanazofanya. Aidha, imetakiwa kuchunguza taasisi zote zinazofanya huduma na zile zisizosajiliwa wasifanye shughuli... ...click the title/link to read more. |
Udini kwenye kamba inayotuunganisha Watanzania, ndipo ulipo ubovu - Maggid Mjengwa Posted: 20 Oct 2012 11:37 PM PDT Ndugu zangu, Wahenga walisema; Kamba hukatikia pabovu. Na siku zote, uzoefu ni mwalimu mzuri sana. Mathalan, uzoefu unatufundisha, kuwa kuwasha moto ni jambo jepesi sana, lakini, kuuzima moto, yaweza kuwa ni kazi ngumu sana. Ona, moto ulioanza kwenye nyumba moja ya nyasi kijijini, waweza kusambaa haraka na hata kuteketeza kijiji kizima. Na... ...click the title/link to read more. |
How safe if your PIN? - Infographic Posted: 20 Oct 2012 11:31 PM PDT |
Hawa ndiyo maadui wa Waisalam na Uislam @MohamediMtoi Posted: 20 Oct 2012 10:46 PM PDT Ndugu zangu. Tunapokuwa tunajiuliza mhemuko wa udini unatoka wapi au nani wameusababisha na kuuasisi, si vibaya tukajua maadui wakuu kwa upande wetu Waislamu. Ukimjua adui ni rahisi kupambana naye na ni nusu ya ushindi kwenye vita ya kutafuta haki au usawa au kuondoa tunao uita unyanyasaji kwa waislamu au mfumo kristo kama wengine wanavyopenda... ...click the title/link to read more. |
Mawazo ya Ziro aliposikia kumetokea ‘machafuko’ Dar Posted: 20 Oct 2012 09:48 PM PDT |
Jeshi la Polisi lakanusha taarifa za kumteka Ust. Farid Posted: 20 Oct 2012 08:36 PM PDT JESHI la Polisi Zanzibar limesema halihusiki ka kupotea kwa kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho, Farid Hadi Ahmed ambaye alionekana usiku juzi majira ya saa 2.15 na kuonana na familia yake hapo Mbuyuni. Akizungumza na waandishi wa habari hapo Ziwani Mjini, Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa alisema jeshi lake halihusiki kwa namna... ...click the title/link to read more. |
4 tons of ivory caught in Hong Kong; Containers came from Tanzania, Kenya Posted: 20 Oct 2012 01:38 PM PDT Hong Kong Customs seized ivory tusks and ornaments weighing about 8,406 pounds inside two containers. (photo: CNN) (Hong Kong) (CNN) -- Hong Kong authorities confiscated $26.7 million worth of ivory found in two shipping containers this week. The illegal goods weighed more than 8,000 pounds, making it one of the biggest seizures of ivory in... ...click the title/link to read more. |
video: Hon. Philipo Mulugo speaking at ‘Innovation Africa 2012’ Posted: 20 Oct 2012 01:37 PM PDT Honorable Philipo Augustino Mulugo -- Deputy Minister of Education and Vocational Training, Tanzania, speaking on Education for Employment, Developing Skills for Vocation at the Innovation Africa Summit - 5th-7th October 2012 at the Westin Hotel, Cape Town, South Africa. Supported by the Government of South Africa, co-hosted by AfricanBrains and... ...click the title/link to read more. |
Government says: Iran oil tankers signal wrong Tanzania-Zanzibar flag Posted: 20 Oct 2012 01:33 PM PDT Iranian oil tankers are mistakenly signaling their flag state as Tanzania-Zanzibar and no such registration took place, according to a government official from the east African territory. The 14 ships, previously registered in the Pacific island of Tuvalu, transmitted data from Sept. 24 to Oct. 13 to show they changed their names and were flying... ...click the title/link to read more. |
You are subscribed to email updates from Wavuti Updates To stop receiving these emails, you may unsubscribe now. | Email delivery powered by Google |
Google Inc., 20 West Kinzie, Chicago IL USA 60610 |