wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 19 |
- Taarifa ya habari Oktoba 18, 2012
- Alivyosema Nyerere, sijui Wabongo ndo tushakula....?
- Zanzibar: Wawakilishi wa CCM walaani machafuko yaliyotukia
- Sikiliza: Radio Kwizera - Ngara, Tanzania
- Sikiliza: Radio Kheri - Tanzania
- Sikiliza: Upendo FM Radio - Dar es salaam, Tanzania
- Taarifa ya Ikulu: Serikali ya Oman kutuma Ujumbe Tanzania wa kutathmini maeneo ya uwezekzaji; President Kikwete's speech in the Oman Business Forum
- Salamu za Maaskofu wa KKKT kuhusiana na uchomwaji moto Makanisa
- Dkt. Kigwangalla: 2025 nitagombea Urais; Story ya bastola? Uongo mtupu!
- Maggid Mjengwa: Ya Mbagala na Bedui aliyekojoa Msikitini...
- Taarifa za kuchomwa moto kwa Kanisa huko Yombo, Dar es Salaam
- Taarifa ya habari TBC saa 7 mchana: Askari Zanzibar auawa; Basi la Sumry latekwa; Sheikh Ponda asomewa mashitaka
- Wiki ya UN: UNICEF Tanzania yatoa wito kwa Serikali kutoa Sera Mpya ya Elimu
- Mtoto, Wazazi wakitofautiana husababisha matatizo - Meshack Maganga
- Rais Kikwete amteua Prof. Mwajabu Possi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TBC
- House for rent in Mbezi Luis, Dar es Salaam
- University of Dar es Salaam Student hangs himself to death
- Picha za Maziko ya Marehemu Kamanda Liberatus Barlow Lyimo
- Wanafunzi MUHAS wapinga kufukuzwa, waiomba Mahakama iingilie
Taarifa ya habari Oktoba 18, 2012 Posted: 18 Oct 2012 12:31 PM PDT |
Alivyosema Nyerere, sijui Wabongo ndo tushakula....? Posted: 18 Oct 2012 12:27 PM PDT |
Zanzibar: Wawakilishi wa CCM walaani machafuko yaliyotukia Posted: 18 Oct 2012 12:24 PM PDT Mwakilishi wa Jimbo la Kwamtipura Hamza Hassan CCM akifafanua jambo katika Kikao kilichofanywa na Wawakilishi wa CCM kutoa kauli ya kulaani machafuko yanayoendelea ambayo yamesababisha kuchomwa moto maskani ya CCM ya Kisonge Mjini Zanzibar. PICHA NA - MAKAME MSHENGA -MAELEZO ZANZIBAR Maskani ya Kisonge ya CCM mjini Unguja, Zanzibar ikiunguwa... ...click the title/link to read more. |
Sikiliza: Radio Kwizera - Ngara, Tanzania Posted: 18 Sep 2012 10:35 AM PDT |
Sikiliza: Radio Kheri - Tanzania Posted: 18 Sep 2012 10:15 AM PDT |
Sikiliza: Upendo FM Radio - Dar es salaam, Tanzania Posted: 18 Oct 2012 09:54 AM PDT Upendo FM Radio is a religious (Christian) Radio operated by the Eastern and Coastal Diocese of the Evangelical Lutheran Church in Tanzania, established in July 7 2004 and inaugurated on August 29, 2004. Frequency: Broadcasting at frequency No. 107.7 MHz. Broadcasting hours: 24 Hours. Target group: Every people. Acts 10:34,35 Then Peter opened... ...click the title/link to read more. |
Posted: 18 Oct 2012 08:00 AM PDT The Minister for Foreign Affairs and International Cooperation Bernard Membe and Oman Ministry of Financial Affairs Secretary General, Sultan bin Salim Al Habsi sign and exchange legal instruments on the Agreement on Promotion and Protection of Investment. Witnessing the signing in President Jakaya Kikwete. (photo: State House) ... ...click the title/link to read more. |
Salamu za Maaskofu wa KKKT kuhusiana na uchomwaji moto Makanisa Posted: 18 Oct 2012 06:39 AM PDT SALAMU ZA MAASKOFU WA KKKT KWA WATANZANIA WOTE KUHUSIANA NA MATUKIO YA KUCHOMA MOTO MAKANISA YA KIKRISTO ENEO LA MBAGALA – DSM. Wapendwa Katika Bwana, Waumini wa KKKT, Wakristo Wote na Watanzania kwa Ujumla. Neema na Iwe kwenu na amani itokayo kwa Mungu Baba na Bwana wetu Yesu Kristo, Amina. Sisi maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri... ...click the title/link to read more. |
Dkt. Kigwangalla: 2025 nitagombea Urais; Story ya bastola? Uongo mtupu! Posted: 18 Oct 2012 06:00 AM PDT Akiwahutubia wananchi wa Nzega siku chache zilizopita Mbunge wa jimbo la Nzega kupitia tiketi ya CCM Dkt Hamisi Kigwangalla ametangaza kuwa na ndoto za kuwania Urais 2025! Dkt. Kigwangalla alisema: "Kwa hakika dunia inakuwa mahala pabaya pa kuishi, si kwa sababu ya watu wabaya, bali kwa sababu ya ukimya wa watu wazuri. Watu safi na wazuri kama... ...click the title/link to read more. |
Maggid Mjengwa: Ya Mbagala na Bedui aliyekojoa Msikitini... Posted: 18 Oct 2012 05:39 AM PDT Ndugu zangu, Moja ya hadithi za Mtume Muhammad S.A. W ni pale Mtume Muhammad alipokuwa msikitini na maswahaba wake. Mara akaingia msikitini mtu wa kabila la Mabedui na kuanza kukojoa. Maswahaba wa Mtume wakasimama kwa hamaki kutaka kumwadhibu Bedui yule. Mtume akawasihi maswahaba wake wasifanye jambo lolote litakalomdhuru Bedui yule. Hapo... ...click the title/link to read more. |
Taarifa za kuchomwa moto kwa Kanisa huko Yombo, Dar es Salaam Posted: 18 Oct 2012 05:33 AM PDT UPDATE: Imeripotiwa katika vyombo vya habari kwa njia ya sauti (DW Ujerumani) pamoja na video (Capital Tv Tz) kuwa ulitokea uporaji katika kanisa jingine la Kiinjili la Yombo lililopo eneo la Buza ambapo vyombo vya muziki vilichomwa moto na kusababisha hasara ya jumla ya shilingi milioni 5.8. ... ...click the title/link to read more. |
Posted: 18 Oct 2012 04:27 AM PDT Beda Msimbe aliyepo safarini Mpanda, katika blogu yake ya Lukwangule asubuhi ya leo ameandika: "Naamka alfajiri na habari ndio hii: Basi la Sumry lililokuwa linatoka Sumbawanga kuja Mpanda limetekwa usiku wa majira ya saa sita na watatu wamejeruhiwa. Basi hilo linalotakiwa kuondoka Sumbawanga majira ya saa saba mchana na kufika Mpanda saa... ...click the title/link to read more. |
Wiki ya UN: UNICEF Tanzania yatoa wito kwa Serikali kutoa Sera Mpya ya Elimu Posted: 18 Oct 2012 04:23 AM PDT Mtaalamu wa Elimu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto –UNICEF Zubeida Tumbo-Masabo akitoa ufafanuzi kuhusiana na umuhimu wa kuwa na sera madhubuti za elimu zitakazopelekea kuboresha kiwango cha elimu kuanzia ngazi za chini hadi za juu. Habari imeandikwa na Mwandishi wa MoBlog Team, Serikali ya Tanzania imeshauriwa kuwa na sera ya... ...click the title/link to read more. |
Mtoto, Wazazi wakitofautiana husababisha matatizo - Meshack Maganga Posted: 18 Oct 2012 04:18 AM PDT Serikali ya Tanzania kupitia Sera ya Elimu ya mwaka 1995, iliruhusu watu binafsi, mashirika na taasisi mbalimbali kuanzisha shule zake. Marekebisho katika sera hii yamewanufaisha wengi mathalani kwa kuongeza ajira, idadi ya shule, nafasi za elimu na kuinua kiwango cha elimu nchini. Pia ushindani katika kutoa elimu umeongezeka na hivyo... ...click the title/link to read more. |
Rais Kikwete amteua Prof. Mwajabu Possi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TBC Posted: 18 Oct 2012 03:51 AM PDT |
House for rent in Mbezi Luis, Dar es Salaam Posted: 18 Oct 2012 03:51 AM PDT We are renting our house situated at Mbezi Mwisho. It is brand new. It has electricity, water and water heaters. It's a 3 bedrooms and one master. Pleas see the pictures below. Rent is Tsh. 500,000 per month (negotiable). It is suitable for people working in Kibaha and surrounding areas. If interested,... ...click the title/link to read more. |
University of Dar es Salaam Student hangs himself to death Posted: 18 Oct 2012 03:41 AM PDT Huyu ni mwanafunzi wa pili aliyechaguliwa kujiunga Chuo Kikuu, anajinyonga hadi kufa. Mwingine ilikuwa Kigoma. --- By Elisha Magolanga, The Citizen Correspondent, Dar es Salaam. A first-year University of Dar es Salaam (UDSM) student has committed suicide by hanging himself with his shirt in a guest house in the city. Kinondoni Regional... ...click the title/link to read more. |
Picha za Maziko ya Marehemu Kamanda Liberatus Barlow Lyimo Posted: 17 Oct 2012 05:01 PM PDT Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow amezikwa kijijini kwao Kilema-Kyou,Wilaya ya Moshi Vijini Mkoani Kilimanjaro siku ya Jumatano, Oktoba 17, 2012. Zifuatazo ni picha za maziko hayo yaliyohudhuriwa na mamia ya wakazi wa mji huo, viongozi mbalimbali wa Serikali, Viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama, Viongozi wa... ...click the title/link to read more. |
Wanafunzi MUHAS wapinga kufukuzwa, waiomba Mahakama iingilie Posted: 17 Oct 2012 05:01 PM PDT ALIYEKUWA Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Afya na Tiba cha Muhimbili (MUHAS), Gervas Shayo na mwenzake Charles Jackson, wameomba Mahakama Kuu Dar es Salaam, iingigilie kati sakata la kufukuzwa kwao. Shayo na wenzake walifukuzwa chuoni hapo Juni 21, mwaka jana kufuatia mgomo wa wanafunzi wa udaktari chuoni hapo,... ...click the title/link to read more. |
You are subscribed to email updates from Wavuti Updates To stop receiving these emails, you may unsubscribe now. | Email delivery powered by Google |
Google Inc., 20 West Kinzie, Chicago IL USA 60610 |