wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 15 |
- Taarifa ya habari Oktoba 14, 2012
- Giving up and Moving on, are different
- Machweo ya jua kutoka Mloka, Rufiji, Tanzania
- Tabasamu: Maongezi ya Mtoto na Baba'ke
- Ujenzi wa kituo cha mabasi yaendayo haraka - Kimara Mwisho
- Call for applications: Master Program in Vaccinology and Pharmaceutical Clinical Development
- Call for applications: Bill & Melinda Gates Foundation - Grand Challenges in Global Health Exploration Round 10
- Taarifa ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika Oktoba 13, 2012
- Tanzania following suit: Fake mobile phones to be blocked
- Mwalimu Nyerere na Mradi wa Ujenzi wa Umoja wa Kitaifa...
- ...and there's still going to be somebody who hates peaches.
- Nyerere’s militancy benefited Africa
- Mambo ya TEHAMA: Huenda siku zijazo sala zikaendeshwa hivi
- Nyerere alikuwa Mgomvi
- Habari zaidi kuhusu kifo cha Kamanda Liberatus Barlow
Taarifa ya habari Oktoba 14, 2012 Posted: 14 Oct 2012 12:21 PM PDT |
Giving up and Moving on, are different Posted: 14 Oct 2012 12:16 PM PDT There is a difference between giving up and knowing when you have had enough. It doesn't make sense to hold onto something that's no longer there. Accepting what is, letting go, and moving on are skills that you must learn when facing the realities of life. Some relationships and situations just can't be fixed. If you try to force... ...click the title/link to read more. |
Machweo ya jua kutoka Mloka, Rufiji, Tanzania Posted: 14 Oct 2012 11:55 AM PDT Wale walevi wenzangu wa picha za mawio na machweo ya jua, ndiyo msuuzike hadi roho zenu zikome kwa raha. Mdau wa tembeatz.blogspot.com, Rajab wa Wildness Safaris Tanzania aliyekuwa safarini huko Selous Game Reserve kawaletea picha za machweo ambazo alizipiga akiwa huko. Picha hizi zimepigwa pembezoni ya mto Rufiji, nje ya pori la akiba la... ...click the title/link to read more. |
Tabasamu: Maongezi ya Mtoto na Baba'ke Posted: 14 Oct 2012 11:52 AM PDT Baba: We mtoto hebu niletee soda... Mtoto: Cola au Pepsi? Baba: Pepsi. Mtoto: Kopo au Chupa? Baba: Kopo. Mtoto: Baridi au moto? baba: Baridi. Mtoto: Ndogo au Bonge? Baba: Aaa! Basi niletee tu maji. Mtoto: Ya bombani au dukani? Baba: We mtoto nitakupiga? Mtoto: Na mti au chelewa? Baba: N'takuua nakwambia! Mtoto: Kwa kudu au bunduki? Baba:... ...click the title/link to read more. |
Ujenzi wa kituo cha mabasi yaendayo haraka - Kimara Mwisho Posted: 14 Oct 2012 09:55 AM PDT |
Call for applications: Master Program in Vaccinology and Pharmaceutical Clinical Development Posted: 14 Oct 2012 06:02 AM PDT University of Siena and Novartis Vaccines Academy Goal: Capacity building in vaccinology and vaccine development in developing countries; To prepare students for a career in academia, public health and research and development in public and private vaccine institutes in developing countries. Concept: To provide graduates in Medicine with ... ...click the title/link to read more. |
Posted: 14 Oct 2012 05:59 AM PDT Grand Challenges Explorations, an initiative to encourage innovative and unconventional global health and development solutions, is now accepting grant proposals for its latest application round. Applicants can be at any experience level; in any discipline; and from any organization, including colleges and universities, government laboratories,... ...click the title/link to read more. |
Taarifa ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika Oktoba 13, 2012 Posted: 14 Oct 2012 05:03 AM PDT Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika tarehe 13/10/2012 pamoja na mambo mengine kilipanga ratiba ya Mkutano Mkuu wa Taifa iwe kama ifuatavyo:- Mkutano Mkuu wa Nane wa Kawaida wa CCM utafanyika tarehe 10 – 12 Novemba, 2012 . Kwa kawaida Mikutano Mikuu ya CCM imekuwa ikifanyika kwa siku mbili. Lakini safari hii CCM... ...click the title/link to read more. |
Tanzania following suit: Fake mobile phones to be blocked Posted: 14 Oct 2012 03:54 AM PDT TANZANIA will join her neighbour Kenya in getting rid of counterfeit telephone handsets in the country by switching them off. Speaking to "Sunday News' the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) Acting Corporate Communication Manager Mr Semu Mwakyanjala said the regulatory authority is first planning to educate the public on the need... ...click the title/link to read more. |
Mwalimu Nyerere na Mradi wa Ujenzi wa Umoja wa Kitaifa... Posted: 14 Oct 2012 12:49 AM PDT Ndugu zangu, Leo ni siku ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere. Asubuhi hii hapa Iringa najiandaa kwenda kwenye mjadala ulioandaliwa na Kigoda Cha Mwalimu pale Chuo Kikuu cha Mkwawa. Hapo kuna mada yenye kuhusisha suala la Muungano kwenye uandikaji wa Katiba Mpya. Nimeambiwa, kuwa kutakuwa na wazungumzaji mahiri, akina Zitto Kabwe, January Makamba na... ...click the title/link to read more. |
...and there's still going to be somebody who hates peaches. Posted: 14 Oct 2012 12:37 AM PDT |
Nyerere’s militancy benefited Africa Posted: 14 Oct 2012 12:09 AM PDT Article by Mobhare Matinyi "with an eagle's eye" (matinyi@hotmail.com) via The Citizen -- On January 26, 1996, Mwalimu Julius Nyerere, became the first recipient of the Mahatma Gandhi International Peace Prize awarded by the Government of India for the year 1995. Since then three prominent black icons have followed suit, Nelson Mandela in 2000,... ...click the title/link to read more. |
Mambo ya TEHAMA: Huenda siku zijazo sala zikaendeshwa hivi Posted: 13 Oct 2012 10:03 PM PDT MCHUNGAJI: Bwana asifiweeeee! WAUMINI: Ameeeeeeeeeni! MCHUNGAJI: Tafadhalini washarika sasa tuchukue iPad, tablet PC, simu na kindle zetu ili tufungue 1 Wakorintho 13:13. Pia washeni bluetooth zenu ili muweze kupokea mahubiri. Mnaotumia facebook, twitter, BBM na Whatsapp mnaweza kuendelea kupokea mahubiri haya. Tafadhalini washarika mnaweza... ...click the title/link to read more. |
Posted: 13 Oct 2012 10:02 PM PDT |
Habari zaidi kuhusu kifo cha Kamanda Liberatus Barlow Posted: 13 Oct 2012 09:25 PM PDT Tetesi zinaeleza kwamba, tukio la kuuawa kwa Kamanda huyo huenda limesababishwa na uhasama na watu mbali mbali katika maeneo ya kazi alikowahi kufanyia, na kwamba hilo ni tukio linalotia shaka iwapo kama imetokea kwa bahati mbaya. Baadhi ya watu wanalihusisha tukio hilo na mahusiano ya kimapenzi, misimamo yake mikali ya kupambana na majambazi,... ...click the title/link to read more. |
You are subscribed to email updates from Wavuti Updates To stop receiving these emails, you may unsubscribe now. | Email delivery powered by Google |
Google Inc., 20 West Kinzie, Chicago IL USA 60610 |