08/04/12 | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
[ New Posts ] : Habari Mpya Zote - HAPA CHINI!!!
Labels :

ARMOURED RECOINNAISSANCE VITZ

Written By Mike Ntobi on Saturday, August 04, 2012 | 2:23 PM

An Armoured Recoinnaissance VITZ Car, 
katika maonesho ya gari hiyo England. 
Hayo ndio maendeleo ya kweli, lakini vile 
vile ni Burudani pia.
Hayo ndio maendeleo ya kweli, na sio Bongo kuzinguana...! 
Yaani hata, ka-NYUMBU ketu ka-long time kugundulika tunashindwa hata kukaendeleza. Tumekalia Majungu, Ufisadi, Uonevu kwa Jamii isiyo na hatia na Unafiki tu. Wenzetu wa majuu (Nchi za Dunia ya 1st) wanaondoka kwa kasi ya ajabu. 
Pichani hapo juu, ni gari aina VITZ, lakini imefanyiwa ukarabati na marekebisho hadi kuonekana ilivyo. Ni toleo jipya kabisa la magari ya kisasa, ila mbunifu akaona ni bora ajaribu kuingiza jina lake katika maajabu ya Dunia, na pengine hata kwenye kitabu cha "World Guiness Book" of Inventors. 
 Je, ni nini sisi kama Watanzania tumefanya na cha Kujivunia? Au hata kwa kupitia migongo ya watu wengine? 
Maana hata mbuga za wanyama tunazo za kumwaga tu, cha ajabu Wakenya wanatafuna hela kupitia vivutio vyetu, Wazungu wa majuu ndo usiseme kwani wanajikusanyia mihela kwa kutangaza Rasilimali zetu kuwa ni zao kwani wamesha chukua wanyama wadogo wadogo kibao na kuwapeleka kwao kuwafuga.
Hivi sasa, wana zoo (mbuga) kadhaa zenye wanyama wa kila aina huko kwao, ukiuliza wanyama wamewapata wapi utaambiwa ni hapahapa BONGO COUNTRY.

UDHAIFU WA AKILI NA MWILI, VINAPOPINGANA NA KIAPO CHA UTII

SALAAAM YA HESHIMA....., ???
MAAACCCHHHOOOOOO........, KULIA! ???
Ni kawaida kwa Binadamu kuvutika kihisia kutokana na maumbile halisi ya mwili na asili (nature) ya binadamu. Ukiona PAJA tu, matatizo...! Ukiona TITI tu, tabu huanza na udenda kuporomoka mdomoni utadhani TEJA. 
Hapo juu pichani, Maafande hawa ilishindana kuendelea kutumikia kiapo chao cha utii, pale walipopuuzia AMRI ya mkuu wao alipowataka watoe heshima kulia, NA SI ZAIDI YA KULIA, yaani karibia kuangalia nyuma kabisa. 
Sasa kama kuna Amri ya Heshima Nyuma, HAAYAAAA...!!

AUNTY EZEKIEL KUFUNGA NDOA OCTOBER MWAKA HUU

Nyonyo hiyo mnyonye, Hiloo...!

Mwanadada kutoka Bongo Movie, Aunty Ezekiel anatarajia kufuka ndoa mwaka huu na mpenzi wake mtanzania anayeishi Dubai ambako ndiyo atakapoenda kuishi baada ya ndoa. 
Get our toolbar!Get our toolbar!
  • Alexaporn - XXX (+18) Search!Alexaporn - XXX (+18) Search!
 
Sell Your Products At TripleClicks!Share Links Earn Money!
cafepress.com/nicemike
Sale Online!
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger