11/04/12 | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
[ New Posts ] : Habari Mpya Zote - HAPA CHINI!!!
Labels :

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 12

Written By Mike Ntobi on Sunday, November 04, 2012 | 11:18 PM

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 12

Link to Wavuti Updates

Lake Nyasa/Malawi dispute: Tanzania is legally and morally wrong

Posted: 04 Nov 2012 10:33 AM PST


One of the participants commenting during the meeting. Photo by Francis Mphweya/Mana ( NyasaTimes.com) Article cross-posted from NyasaTimes.com Traditional and religious leaders in  the southern Lower Shire Valley have demanded explanation from government on what it is doing to make neighbouring Tanzania pay over its claims over Lake...

...click the title/link to read more.

Simba yaacha bahari Dar kushangaa bwawa la Mindu, ilipogutuka, ishalishwa pingili mbili za Miwa! Kwisha khabari yake! Yanga waleee...

Posted: 04 Nov 2012 10:15 AM PST


Mechi ya Yanga vs Azam (picha: Bin Zubeiry blog) Kutoka mjini Morogoro Simba ya jijini Dar es Salaam leo imejikuta ikiangukia pua baada ya kuchapwa bao 2-0 na Mtibwa Sugar, mchezo litawaliwa na rabsha za mara kwa mara kutoka kwa mashabiki wa Simba waliokuwa na hasira wakidai mwamuzi Judith Gamba, alikuwa hawatendei haki. Mtibwa ilijipatia bao...

...click the title/link to read more.

Jenipher Msigwa anaishi na vipande vya mabomu ya Gongo la Mboto

Posted: 04 Nov 2012 09:48 AM PST


Jenipher Msigwa anaishi na vipande vya mabomu ya Gongo la Mboto 2009 kama miaka miwili sasa hospitali zote Tanzania kushindwa kutoa vipande hivyo vya mabomu mwilini wake na hivyo kuacha mwili wake umepooza.  Hivi Serikali ya Tanzania unajua hili kuwa mlipuko wa mabomu ulioshindwa kuuzia Mbagala na Gongo la Mboto inawaathiri na kugharimu maisha ya...

...click the title/link to read more.

video: Warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2012 wakiserebuka na show yao

Posted: 04 Nov 2012 07:40 AM PST


Imeredokiwa & uploaded na Othman Michuzi

...click the title/link to read more.

Justin Timberlake & Jessica Biel Honeymoon in Grumeti, Tanzania

Posted: 04 Nov 2012 02:50 AM PST


Newlyweds Jessica Biel and Justin Timberlake can be seen getting on a private plane at the Kilimanjaro International airport in Tanzania on October 21, 2012. Credit: Splash News Cross-posting this (story & photos) from The USMagazine.com (simila story also @DailyMail.co.uk) -- After tying the knot in an intimate, luxurious...

...click the title/link to read more.

Kamanda Mpinga afunga mafunzo ya Waendesha pikipiki katika Chuo cha Ufundi Stadi VETA-Chang’ombe, Dar es Salaam

Posted: 04 Nov 2012 02:37 AM PST


Mgeni rasmi, Kamanda wa Polisi kikosi cha usalama barabarani Tanzania, SACP Mohamed Mpinga akikmkabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu ya mafunzo ya waendesha piki piki yaliyofanyika chuo cha ufundi stadi-VETA Chang'ombe jijini jana.Vijana wapatao 301 kutoka Temeke walipewa vyeti Kamanda Mpinga akiongea na wahitimu, (L to R) ACP Missime...

...click the title/link to read more.

Jinsi elimu duni inavyohatarisha amani - Madaraka Nyerere

Posted: 04 Nov 2012 02:24 AM PST


Madaraka Nyerere Nimewahi kuuliza waandishi wa habari wawili, mmoja toka Kenya na mwingine Mtanzania, swali moja: raia wanaamini yuko kiongozi ambaye si mwizi? Mkenya alisema Wakenya wote wanaamini kuwa viongozi wao siyo waaminifu. Mtanzania naye alisema Watanzania wengi zaidi nao wanaamini kuwa viongozi wetu siyo waaminifu. Madhumuni ya msingi...

...click the title/link to read more.

Bwana Shamba v/s Mkulima: Mekshua unapanda mbegu bora...

Posted: 04 Nov 2012 02:24 AM PST




...click the title/link to read more.

Huduma za CRDB Mpesa feki, hakuna sheria ya kuwashitaki?

Posted: 04 Nov 2012 01:09 AM PST


Kero hii ameiwasilisha Lemburis Kivuyo kwenye kundi la WanaMabadiliko. --- Kila nikiingiza pesa kwenye akaunti yangu saa nyingine huingizwa manually baada ya siku 5, nini maana ya huduma hii sasa. Na mara nyingine mpaka ufuatilie benki kwa miguu ndipo wakuingizie.  Hivi hawa watu wanaziingiza hizi teknolojia bila kujiandaa au wanafanya makusudi...

...click the title/link to read more.

Hii ni kwa wale ambao hawakuelewa TENESCO iliposema hakuna mgawo

Posted: 04 Nov 2012 01:02 AM PDT




...click the title/link to read more.

Maalim Seif azungumzia vurugu za Zanzibar

Posted: 03 Nov 2012 11:22 PM PDT


Habari imeandikwa na Hassan Hamad OMKR via ZanziNews Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad ameelezea kuchukizwa kwake na vitendo vya vurugu na uvunjifu wa amani vilivyotokea hivi karibuni visiwani Zanzibar. Amesema vitendo hivyo vimeigharimu Zanzibar katika Nyanja mbali mbali zikiwemo za kiuchumi, kisiasa na kijamii,...

...click the title/link to read more.

picha: Redd's Miss Taznania 2012 - Brigitte Alfred

Posted: 03 Nov 2012 10:51 PM PDT


HATIMAYE kile kitendawili cha muda mrefu cha nani ata twaa taji la Redds Miss Tanzania 2012, kimeteguliwa usiku wa Novemba 3, 2012, baada ya mrembo kutoka Kitongoji cha Sinza na Kanda ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Brigitte Alfred kutwaa taji hilo. Brigitte ambaye nyota yake katika mashindano hayo ya urembo nchini ilianza kung'aa tangu...

...click the title/link to read more.
Get our toolbar!Get our toolbar!
  • Alexaporn - XXX (+18) Search!Alexaporn - XXX (+18) Search!
 
Sell Your Products At TripleClicks!Share Links Earn Money!
cafepress.com/nicemike
Sale Online!
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger