wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 17 |
- Taarifa ya habari TBC, ITV - Oktoba 209, 2012
- Singida: Mtoto wa miezi 4 afariki baada ya kukeketwa
- Skylight Band katika Sikukuu ya Eil El-Hajj @Thai Village
- Zanzibar: “Walimchukua mzima, sasa waniambia nikachukue maiti”
- Ujumbe wa Mch. Lwakatare kwenye maombi ya kuliombea Taifa
- Wanajeshi Wastaafu Mbeya watoa tamko
- Wananchi wachekelea kuanza kwa usafiri wa treni Dar
- Nassari (Mb) Hakufyatua risasi kwenye uchaguzi mdogo wa Daraja Mbili - Polisi
- ARVs bandia: TFDA pia inastahili kuchukuliwa hatua
- Hii ndiyo ‘fact check’ sahihi na ya wazi kwako Wilbroad Slaa
- Ziro, Je! Kuna tofauti kati ya Mvua za Masika na Vuli?
- Dovutwa asema: Rais Kikwete ajiuzulu, TAKUKURU ifutwe
- Mulugo aagiza Shule zisizosajliwa zifungwe kabla hajachukua hatua
- video: “Ndoa haina mwenyewe!” “Mapenzi hayana usomi” Uongo?
- Taarifa za matokeo ya Chaguzi mbalimbali za Udiwani Oktoba 2012
- Taarifa ya Wanaharakati juu ya Gazeti la MwanaHalisi
- Mababu wambaka mjukuu wao wa miaka 11; Ndugu watishia kumgeuzia Mama kesi; Watuhumiwa wapo huru; Mgambo atiwa ndani!
Taarifa ya habari TBC, ITV - Oktoba 209, 2012 Posted: 29 Oct 2012 01:15 PM PDT Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu watano wanaodhaniwa ni majambazi ambao walihusika na mauaji ya aliyekuwa kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza marehemu Liberatus Barlow. Vile vile jeshi hilo linawashikilia watuhumiwa raia wa Kenya kwa kukamatwa na nyara za Serikali ambapo walificha meno ya tembo kwenye jeneza na kisha... ...click the title/link to read more. |
Singida: Mtoto wa miezi 4 afariki baada ya kukeketwa Posted: 29 Oct 2012 01:01 PM PDT Habari imeandikwa na Nathaniel Limu via DewjiBlog Mtoto mmoja mwenye umri wa miezi minne amepoteza maisha baada ya kukeketwa, akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake tarehe 28/10/2012, kamanda wa polisi mkoa wa Singida, Linus Sizumwa, alimtaja mtoto huyo wa kike aliyefariki dunia baada ya kukeketwa, kuwa ni Shamila Saidi. Alisema tukio... ...click the title/link to read more. |
Skylight Band katika Sikukuu ya Eil El-Hajj @Thai Village Posted: 29 Oct 2012 01:01 PM PDT Wadau wa ML8. Kundi zima la SKYLIGHT Band likitoa burudani ya kukata na shoka katika kusheherekea Sikukuu ya Eid El Hajj katika kiota cha Thai Village- Masaki jijini Dar es Salaam. Wema Sepetu na marafiki zake. Yohana na Bishosti wake. Benjamin na washikaji. Aneth Kushaba AK 47 sambasamba na Mary Lukas... ...click the title/link to read more. |
Zanzibar: “Walimchukua mzima, sasa waniambia nikachukue maiti” Posted: 29 Oct 2012 01:00 PM PDT Visiwani Zanzibar operesheni ya kuwasaka wale wanaovuruga amani bado linaendelea. Wakati jeshi la Polisi visiwani Zanzibar likiendelea kuwasaka wahalifu, baadhi ya wananchi wamejitokeza kulalamikia juu ya operesheni hiyo ikiwemo ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na jeshi hilo uliosababisha kifo cha kijana mmoja akiwa mikononi mwa polisi.... ...click the title/link to read more. |
Ujumbe wa Mch. Lwakatare kwenye maombi ya kuliombea Taifa Posted: 29 Oct 2012 12:17 PM PDT Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni Mhe. Dkt. Getrude Rwakatare ametoa Ujumbe kwa Watanzania waliohudhiria Ibada Maalum ya Kuliombea Taifa ambapo ametaka watu kutobaguana kwa misingi ya Dini, Ukabila wala Siasa na kusema pamoja na Utawala Bora pia tunahitaji maombezi ili tuweze kufikia malengo yaliyokusudiwa kulipeleka Taifa... ...click the title/link to read more. |
Wanajeshi Wastaafu Mbeya watoa tamko Posted: 29 Oct 2012 12:05 PM PDT Habari imeandikwa na Gordon Kalulunga, Mbeya via blog WANAJESHI wastaafu kupitia Muungano wao Tanzania tawi la Mbeya (MUWAWATA) wametoa tamko la kuendelea kumtambua Mwenyekiti wao wa Taifa SSGT Ased Mayungi anayedaiwa kung'olewa na baadhi yao Octoba mwaka huu. Wakitoa tamko hilo mbele ya waandishi wa habari, wanajeshi hao ambao waliketi katika... ...click the title/link to read more. |
Wananchi wachekelea kuanza kwa usafiri wa treni Dar Posted: 29 Oct 2012 12:03 PM PDT (picha: Straika Mkali blog) (picha: Lukwangule blog) Hatimaye ile ahadi ya Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe kuhusiana na kuanzishwa kwa usafiri wa daladala za treni jijini Dar es Salaam utakaoanza Oktoba mwaka huu, imeanza kutekelezwa leo asubuhi na wananchi mbalimbali wakanufaika na huduma hiyo kwa usafiri kati ya Ubungo Maziwa... ...click the title/link to read more. |
Nassari (Mb) Hakufyatua risasi kwenye uchaguzi mdogo wa Daraja Mbili - Polisi Posted: 29 Oct 2012 11:18 AM PDT Awali, blogu na vyombo mbalimbali vilinukuliwa (bofya hapa kurejea: Taarifa za matokeo ya Chaguzi mbalimbali za Udiwani Oktoba 2012) vikiripoti kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, alifyatua risasi wakati wa uchaguzi wa Kata ya Daraja Mbili huko Arusha. Habari ifuatayo iliyonukuliwa kwenye gazeti la gazeti la Habari Leo inaripoti... ...click the title/link to read more. |
ARVs bandia: TFDA pia inastahili kuchukuliwa hatua Posted: 29 Oct 2012 12:44 AM PDT MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) imewekwa matatani ikielezwa kuwa nayo inastahiki kuchukuliwa hatua kutokana na kuzembea katika ukaguzi wa dawa na hivyo kusababisha dawa bandia za kupunguza makali ya ukimwi (ARV's) kusambazwa. Sakata hilo linakuja wiki chache tangu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Hussein Mwinyi, kumsimamisha kazi... ...click the title/link to read more. |
Hii ndiyo ‘fact check’ sahihi na ya wazi kwako Wilbroad Slaa Posted: 29 Oct 2012 12:35 AM PDT Habari ifuatayo imetumwa na Abunuwasi Alinacha (email: a...a...@gmail.com): --- Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Wilbroad Slaa majuzi, Ijumaa, kule Sikonge, Tabora amezua na kutunga jipya. Amedai kuwa Julai 2, mwaka huu, 2012, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alisafiri... ...click the title/link to read more. |
Ziro, Je! Kuna tofauti kati ya Mvua za Masika na Vuli? Posted: 29 Oct 2012 12:31 AM PDT |
Dovutwa asema: Rais Kikwete ajiuzulu, TAKUKURU ifutwe Posted: 29 Oct 2012 12:17 AM PDT Imenukuliwa kutoka kwenye gazeti la MTANZANIA MWENYEKITI wa Chama cha United Peoples' Democratic (UPDP), Fahmi Dovutwa, ametoa kauli yenye ukakasi kwa Rais Jakaya Kikwete, akimshauri ajiuzulu urais. Dovutwa alisema, Rais Kikwete hana sababu za kuendelea kubaki tena madarakani, kwa madai kuwa ameshindwa kumaliza tatizo la rushwa nchini. "Mh.... ...click the title/link to read more. |
Mulugo aagiza Shule zisizosajliwa zifungwe kabla hajachukua hatua Posted: 28 Oct 2012 11:54 PM PDT Habari imeandikwa na Theopista Nsanzugwanko, Bagamoyo - HabariLeo NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo amewaagiza maofisa nchini kuzifungia shule na vituo vyote feki vinavyotoa elimu bila kujisajili kabla wao hawajachukuliwa hatua. Aidha, alisema wakuu wa shule binafsi wanaokiuka taratibu za nyaraka kwa kuwatoa wanafunzi... ...click the title/link to read more. |
video: “Ndoa haina mwenyewe!” “Mapenzi hayana usomi” Uongo? Posted: 28 Oct 2012 11:42 PM PDT |
Taarifa za matokeo ya Chaguzi mbalimbali za Udiwani Oktoba 2012 Posted: 28 Oct 2012 10:46 PM PDT UCHAGUZI MDOGO WA KATA KADHAA NCHINI. Tarehe 28/10/2012 kumefanyika uchaguzi mdogo katika kata 29 kwenye mikoa mbalimbali nchini. Kata hizi zilikuwa wazi kwa sababu mbalimbali, hivyo kwa mujibu wa sheria ililazimika kufanya uchaguzi mdogo kujaza nafasi wazi. Ukiacha matukio kadhaa ya vurugu, maeneo mengi uchaguzi umeenda kwa utulivu. Chama Cha... ...click the title/link to read more. |
Taarifa ya Wanaharakati juu ya Gazeti la MwanaHalisi Posted: 28 Oct 2012 10:26 PM PDT TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HATIMA YA MWANAHALISI 28 Oktoba 2012 Mtandao wa Watetezi wa Haki za Bidamu (THRD-Coalition), wadau wanaounda mtandao huu na mwanachama mwanzilishi wa Mtandao likiwa ni shirika lenye majukumu ya ya kutetea uhuru wa habari kusini mwa Afrika (MISA-Tan) tunaendelea kwa pamoja kuonyesha kusikitishwa kwetu kwa... ...click the title/link to read more. |
Posted: 28 Oct 2012 10:12 PM PDT Habari hii imenukuliwa kutoka kwenye tovuti ya HabariLeo Mtoto wa miaka 11 aliyekuwa anasoma Darasa la Sita katika Shule ya Msingi ya Mbezi wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam, amedaiwa kubakwa na babu zake wawili wenye umri wa zaidi ya miaka 50. Kutokana na hali hiyo, mama wa mtoto huyo (wote majina tunayo), anatishiwa maisha na ndugu wa... ...click the title/link to read more. |
You are subscribed to email updates from Wavuti Updates To stop receiving these emails, you may unsubscribe now. | Email delivery powered by Google |
Google Inc., 20 West Kinzie, Chicago IL USA 60610 |