10/24/12 | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
[ New Posts ] : Habari Mpya Zote - HAPA CHINI!!!
Labels :

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20

Written By Mike Ntobi on Wednesday, October 24, 2012 | 11:37 PM


wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20

Link to Wavuti Updates

Posted: 24 Oct 2012 02:14 PM PDT


Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhan Dau akielezea kuhusu utendaji wa mfuko huo mbele ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), katika kikao kilichofanyika Ofisi ya Ndogo ya Bunge, Dar es Salaam Jumatano Oktoba 24, 2012. Vikao vya kamati za bunge na taasisi na mashirika ya umma vinafanyika...

...click the title/link to read more.
Posted: 24 Oct 2012 02:00 PM PDT


Aliyejiandika jinale, 'ammary' kwenye chapisho la "Salamu za Maaskofu wa KKKT kuhusiana na uchomwaji moto Makanisa" ametoa maoni yafuatayo, ambayo yanahitaji ufafanuzi kwa swali lake:             "UISLAMU ndio mfumo wa maisha kila kitu kimefundisha sio hiyo dini yako ya kupangwa na watu,wewe jiulize wape mmeamrishwa kuoa katika biblia?then...

...click the title/link to read more.
Posted: 24 Oct 2012 01:18 PM PDT




...click the title/link to read more.
Posted: 24 Oct 2012 01:17 PM PDT


KLABU ya soka ya Simba inapenda kutoa taarifa zifuatazo kwenu siku ya leo. 1.     Kuhusu Boban na Nyoso Wachezaji wawili wa Simba, Haruna Moshi Shaaban (Boban) na Juma Said Halfan (Nyoso), wamesimamishwa kuitumikia timu ya wakubwa (senior) kwa sababu na nyakati tofauti. Moshi amesimamishwa kuichezea timu ya wakubwa kutokana na vitendo vya utovu...

...click the title/link to read more.
Posted: 24 Oct 2012 01:14 PM PDT


Picha kutoka MbeyaYetu blog

...click the title/link to read more.
Posted: 24 Oct 2012 01:02 PM PDT


Imenukuliwa kutoka kwenye blogu ya Francis Godwin Mtuhumiwa wa mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha Channel Ten Daud Mwangosi leo amefikishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mfawidhi ya Wilaya kujibu shitaka lilalomkabili  huku akiwa chini ya ulinzi mkali wa askari.  Akisomewa shitaka lake na mwendesha mashtaka wa...

...click the title/link to read more.
Posted: 24 Oct 2012 12:51 PM PDT


Imeandikwa na Habari Maelezo Zanzibar 24/10/2012 SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR IMEVITAKA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA  NCHINI KUFANYA UCHUNGUZI WA KINA ILI  KUBAINI  KIINI  CHA KUTOWEKA   SHEIKH FARID HADI  AHMED NA CHANZO CHA VURUGU ZILIZOTOKEA NCHINI WIKI ILIYOPITA.. KWA MUJIBU WA TAARIFA  ILIOTOLEWA NA WAZIRI WA NCHI AFISI YA MAKAMO WA PILI...

...click the title/link to read more.
Posted: 24 Oct 2012 12:42 PM PDT


Article cross-posted from FikraPevu.com Six years ago, a young man and a teenager sat down and planned to create an online user-generated news platform. Then it looked like more of a game of gamble to tap into a small target market of information-hungry consumers than a well-researched business plan. But today, theirs has grown to become one of...

...click the title/link to read more.
Posted: 24 Oct 2012 11:49 AM PDT


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dkt. Ali Mohamed Shein, (katikati) Katibu Mkuu wa CCM Taifa Willson Mkama, Naibu katibu Mkuu CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai, (kulia) wakiwapongeza Mwenyekiti Mpya wa UVCCM Khamis Saifa Juma, (wa pili kushoto) na Makamo Mwenyekiti wa UVCCM, Mboni Mohamed...

...click the title/link to read more.
Posted: 24 Oct 2012 11:40 AM PDT


SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UUZWAJI WA NYUMBA ZA MRADI WA UJENZI WA MINDU, DAR ES SALAAM Kwa mara nyingine tena Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) leo 24 Oktoba, 2012  limezindua rasmi mauzo ya nyumba katika mradi wake mpya wa Mindu, jijini Dar es Salaam. Ujenzi wa mradi huu ulianza rasmi mwezi Novemba mwaka...

...click the title/link to read more.
Posted: 24 Oct 2012 01:26 AM PDT




...click the title/link to read more.
Posted: 24 Oct 2012 01:21 AM PDT


Since the moment I first met you, I knew that I had found a wonderful friend. Your humor always makes me laugh or smile, And your gift of wit never ceases to amaze me. When the woes of the world overwhelm me, You are there with comfort and perspective. Your sense of humor makes me smile; Your compassion and understanding makes me rejoice. There...

...click the title/link to read more.
Posted: 24 Oct 2012 01:19 AM PDT




...click the title/link to read more.
Posted: 24 Oct 2012 01:00 AM PDT


By Fariji Msonsa The Citizen Reporter Dar es Salaam via The Citizen The Tanzania Pharmaceutical Industries (TPI) Limited has told The Citizen that it suspended manufacturing and distribution of all of its pharmaceutical products following an order from the Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA), but refuted claims that it was ordered to shut...

...click the title/link to read more.
Posted: 24 Oct 2012 12:55 AM PDT


Written by Nicole Fabian-Weber via cafemom.com Like lots of 16-year-old kids, Shaakira Dorsey got into a stupid fight with a girl she knew. This fight was so stupid, in fact, that it actually was about farting. Apparently, Dorsey teased another girl after she passed gas, as lots of high school students have done in the past. The difference...

...click the title/link to read more.
Posted: 24 Oct 2012 12:55 AM PDT


WAFB 9 News Baton Rouge, Louisiana News, Weather, Sports

...click the title/link to read more.
Posted: 24 Oct 2012 12:48 AM PDT


Habari imeandikwa na Bety Alex, MERU, ARUSHA via blog IMEELEZWA kuwa machafuko mbalimbali ambayo yanaendelea nchini yakiwemo ya uchomaji moto Makanisa yataweza kukoma endapo watu wake watapambana vita vya kiroho na siyo vita vya kimwili. Hayo yameelezwa na mchungaji Japhet Nanyaro wa kanisa la TAG Patmo Nkoanekoli wilayani Meru mkoani hapa...

...click the title/link to read more.
Posted: 24 Oct 2012 12:35 AM PDT


Mtaalamu wa Mazingira wa UNDP Bw. Amani Ngusaro akitaja baadhi ya vikwazo vinavyokwamisha uboreshaji wa mazingira katika maeneo ya makazi ikiwemo uhaba wa maji na kutaka vikwazo hivyo viangaliwe upya na kuboreshwa sambamba na kutolewa kwa elimu ya mazingira na uhamasishaji katika ngazi zote. Amefafanua kuwa hata katika utekelezaji wa sera za...

...click the title/link to read more.
Posted: 24 Oct 2012 12:07 AM PDT


Habari imeandikwa na Halima Mlacha via HabariLeo KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC) imeutaka uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kulifunga jengo la ofisi ya benki ya NMB lililopo katika eneo la hospitali hiyo leo, kwa kuwa benki hiyo imepangisha kwa kampuni ambayo haimiliki jengo hilo. Agizo hilo lilitolewa Dar es...

...click the title/link to read more.
Posted: 24 Oct 2012 12:04 AM PDT


Msemaji katika Hafla ya Women in Balance Kitchen Party Gala Mhadhiri Msaidizi wa Idara ya Saikolojia katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Bw. Chris Mauki akitoa somo la Saikolojia kwa wakinamama na wasichana waliohudhuria hafla hilo iliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee VIP Hall jijini Dar. Life Style Designer of Sex and...

...click the title/link to read more.
Get our toolbar!Get our toolbar!
  • Alexaporn - XXX (+18) Search!Alexaporn - XXX (+18) Search!
 
Sell Your Products At TripleClicks!Share Links Earn Money!
cafepress.com/nicemike
Sale Online!
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger