11/09/12 | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
[ New Posts ] : Habari Mpya Zote - HAPA CHINI!!!
Labels :

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 17

Written By Mike Ntobi on Friday, November 09, 2012 | 11:26 PM

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 17

Link to Wavuti Updates

Ridhiwani Kikwete, Bakhresa, Magari, Dewji kuiongoza Serengeti Boys

Posted: 09 Nov 2012 12:07 PM PST


SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania limeteua wadau 10 kwa ajili ya kusaidia timu ya taifa ya vijana walio na umri chini ya miaka 17, Serengeti Boys itakayopambana na Congo (Brazaville) katika mechi ya raundi ya tatu ya michuano ya awali ya Mataifa ya Afrika. Uteuzi huo umefanywa na Rais wa TFF, Leodegar Tenga baada ya Kamati ya Vijana ya TFF...

...click the title/link to read more.

audio: Ripoti ya tuhuma za rushwa kwenye Kamati ya Nishati na Madini

Posted: 09 Nov 2012 01:37 AM PST


Eliakim Maswi Tafadhali bofya kifute cha pleya hapo kumsikiliza Spika wa Bunge, Anne Makinda akisoma Bungeni leo, ripoti ya Kamati Ndogo ya Bunge iliyochunguza kashifa iliyomhusisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini na Nishati, Eliakim Maswi akiwatuhumu baadhi ya Wabunge kula rushwa kutoka kwenye makampunmi ya mafuta. Baada ya kusoma ripoti, Spika...

...click the title/link to read more.

Wadau wa elimu Chato wailalamikia elimu ya awali

Posted: 09 Nov 2012 01:11 AM PST


Taarifa na Daniel Limbe, Chato LICHA ya serikali kuhamasisha uanzishwaji wa elimu ya awali katika shule zote za msingi hapa nchini kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kimaarifa watoto ambao hawajafikia umri wa kuanza elimu ya msingi,hatua hiyo imeonekana kulalamikiwa sana na baadhi ya wadau wa elimu katika wilaya ya chato mkoani geita kutokana na...

...click the title/link to read more.

Mkakati wa utangazaji Utalii kuzinduliwa Novemba 15, 2012

Posted: 09 Nov 2012 01:08 AM PST


Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki akizungumza katika dhifa hiyo kabla ya kukabidhi tuzo kwa makampuni yaliyofanya vizuri katika kuuza na kutangaza utalii wa Tanzania, wa pili kutoka kulia ni Balozi Peter Kallaghe watatu kutoka kulia ni Issa Ahmed Othman Mshauri wa Rais Zanzibar Masuala ya Utalii na kulia ni Bw Yusuf Kashangwa...

...click the title/link to read more.

Vodacom Tanzania LIVE Chat Event with Kelvin Twissa

Posted: 09 Nov 2012 12:35 AM PST




...click the title/link to read more.

Kariakoo... Ijumaa... siku hizi...

Posted: 08 Nov 2012 11:33 PM PST




...click the title/link to read more.

EWURA mpo? Price gouging stations after hurricane Sandy to be fined at least 10K

Posted: 08 Nov 2012 11:31 PM PST


New Jersey officials say investigators are looking into around 100 complaints of price gouging at gas stations, hotels and other stores that sell necessities to storm victims. Judge Andrew Napolitano said on Studio B today that businesses caught by investigators unfairly raising prices are fined heavily. If the person fined wants to appeal the...

...click the title/link to read more.

video: Emotional Pres. Barack Obama sheds tears

Posted: 08 Nov 2012 09:45 PM PST


President Barack Obama wipes away tears as he thanks members of his campaign staff and volunteers. Obama's campaign released a five-minute video of the president's address Wednesday to members of his staff at his Chicago headquarters. The short speech came a day after he won re-election. The president talks about his work as a community...

...click the title/link to read more.

Seven SEALs punished for secrecy breach

Posted: 08 Nov 2012 07:56 PM PST


WASHINGTON (AP) -- A senior defense official says seven members of the secretive Navy SEAL Team 6, including one involved in the mission to kill Osama bin Laden, have been punished for allegedly disclosing classified information. The official, who discussed the matter on condition of anonymity because of the sensitive nature of the case, says the...

...click the title/link to read more.

Sheria za Marekani: Oklahoma police fine 3 yr old for peeing in their own yard

Posted: 08 Nov 2012 07:24 PM PST


Dillan Warden, the little guy who had to go OKLAHOMA CITY, OK (KCTV/KWTV) -As the saying goes, "boys will be boys," but the mother of a 3-year-old balked at paying $2,500 for what her toddler did in his front yard.  Children who are potty training will go to the bathroom when they want to go, but for Dillan, he decided to be a big boy...

...click the title/link to read more.

Obama re-election consequences: Las Vegas CEO fires 22 Workers

Posted: 08 Nov 2012 07:05 PM PST


LAS VEGAS (CBS Las Vegas) — A Las Vegas business owner with 114 employees fired 22 workers today (Thursday, November 8, 2012), apparently as a direct result of President Obama's re-election. "David" (he asked to remain anonymous for obvious reasons) told Host Kevin Wall on 100.5 KXNT that "elections have consequences" and that "at the end of the...

...click the title/link to read more.

Sheikh Mukadam aunganishwa kwenye kesi ya Sheikh Ponda

Posted: 08 Nov 2012 06:25 PM PST


Habari imeandikwa na Happiness Katabazi  KIONGOZI wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Mukadam Abdal Swalehe (45), jana alijikuta akifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, akiunganishwa  katika kesi ya jinai Na.245/2012 inayomkabili Katibu wa Jumuiya hiyo, Sheikh Issa Ponda Issa na wenzake 49 wanaokabiliwa na makosa...

...click the title/link to read more.

Sheikh Mukadam aunanishwa kwenye kesi ya Sheikh Ponda

Posted: 08 Nov 2012 06:25 PM PST


Habari imeandikwa na Happiness Katabazi  KIONGOZI wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Mukadam Abdal Swalehe (45), jana alijikuta akifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, akiunganishwa  katika kesi ya jinai Na.245/2012 inayomkabili Katibu wa Jumuiya hiyo ,S heikh Issa Ponda Issa na wenzake 49 wanaokabiliwa na makosa...

...click the title/link to read more.

Taarifa ya Habari Novemba 8, 2012

Posted: 08 Nov 2012 06:22 PM PST




...click the title/link to read more.

Wizara ya Elimu yaingilia kati Shule iliyofungwa, Magambani 

Posted: 08 Nov 2012 06:22 PM PST


Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imeingilia kati mgogoro ulioibuka katika Shule ya Sekondari ya Bagamoyo kwa kuagiza viongozi wa Idara ya Elimu ya Wilaya ya Bagamoyo kupeleka ripoti kuhusu chimbuko la migogo hiyo ili wizara iweze kuchukua hatua haraka. Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Phillipo Mulugo, Mulugo alisema baada ya wizara yake kupata...

...click the title/link to read more.

audio & text: Hoja ya @ZittoKabwe, Michango ya Wabunge kuhusu Watanzania walioficha fedha na mali haramu nje ya nchi

Posted: 08 Nov 2012 06:10 PM PST


Audio (embedded player) Text (embedded document)

...click the title/link to read more.

Habari ya Mwanaume na Mwanamke walionasana sehemu za siri

Posted: 08 Nov 2012 06:03 PM PST


Jana siku ya Alhamisi, Novemba 8, 2012, zilitolewa taarifa kuwa wapo watu wamefikishwa katika hospitali ya Temeke, Dar es Salaam baada ya viungo vyao vya uzazi kushindwa kuachana walipokuwa wakitenda tendo la ndoa. Habari hiyo ikasambaa kwa kasi na kadiri watu walivyokuwa wakidai kuona walao picha ya tukio hilo, wapo watu waliodiriki kueneza...

...click the title/link to read more.
Get our toolbar!Get our toolbar!
  • Alexaporn - XXX (+18) Search!Alexaporn - XXX (+18) Search!
 
Sell Your Products At TripleClicks!Share Links Earn Money!
cafepress.com/nicemike
Sale Online!
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger