wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 14 |
- Taarifa ya habari Novemba 7, 2012
- Obama: President of records in history, even on Twitter, Faceboook
- Tatizo la mafuta: Kauli ya Waziri Kivuli wa Nishati na Madini @JJMnyika
- video: Hotuba ya Selasini (Mb); Mrema (Mb) katika ziara ya Rais Kikwete Kilimanjaro
- Rais Kikwete amtumia salamu za pongezi Rais Obama kwa ushindi
- photos: Obama & Biden Family and THE PEOPLE
- Does it actually matter who wins the U.S. Election?
- M/Kiti wa CCM akagua kiwanja cha Makao Makuu ya Chama
- Transfa za Walimu Tanzania @MasoudKipanya
- Did the World celebrate Obama’s re-election?
- Tanzania inavyoandika habari zake za michezo
- Nagu avunja ukimya wa tuhuma za Sumaye kuwa Lowassa alitoa fedha ashinde
- Kama hana hata Shahada ya Sheria, anakaaje mahakamani, anatoaje haki kwa mujibu wa sheria ambayo hajasomea?- Lissu ahoji
- Mabumba akiyumbisha kiti cha Spika na kuwakoroga Wabunge
Taarifa ya habari Novemba 7, 2012 Posted: 07 Nov 2012 09:52 AM PST |
Obama: President of records in history, even on Twitter, Faceboook Posted: 07 Nov 2012 09:48 AM PST A President. A celebrity. And everything in between. US President, Barack Obama has just made another World record on social networks -- Twitter and Facebook -- by having the most retweeted tweet ever on Twitter and the most liked photo on Facebook. His tweet – "Four more years" – received more than 6.86K retweets and more than 2.35K favorites... ...click the title/link to read more. |
Tatizo la mafuta: Kauli ya Waziri Kivuli wa Nishati na Madini @JJMnyika Posted: 07 Nov 2012 09:33 AM PST KAULI YA WAZIRI KIVULI WA NISHATI NA MADINI KUHUSU MATATIZO YA MAFUTA YANAYOENDELEA NCHINI Katika kipindi cha ziadi ya wiki tatu nchi imekuwa katika matatizo makubwa ya upungufu wa bidhaa za mafuta ya petroli na dizeli hali yenye athari kwa uchumi wa nchi na usumbufu na gharama za ziada kwa wananchi. Katika kipindi hicho viongozi na watendaji... ...click the title/link to read more. |
video: Hotuba ya Selasini (Mb); Mrema (Mb) katika ziara ya Rais Kikwete Kilimanjaro Posted: 07 Nov 2012 09:18 AM PST |
Rais Kikwete amtumia salamu za pongezi Rais Obama kwa ushindi Posted: 07 Nov 2012 08:14 AM PST Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameeleza furaha na shangwe yake kufuatia ushindi wa jana, Jumanne, Novemba 6, 2012 wa Rais Barack Obama wa Marekani katika Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo. Katika salamu zake za pongezi kwa kiongozi huyo wa Marekani ambaye amechaguliwa tena na wananchi wa nchi hiyo kwa kipindi... ...click the title/link to read more. |
photos: Obama & Biden Family and THE PEOPLE Posted: 07 Nov 2012 08:12 AM PST wavuti.com does NOT own the following photos. They're a cross-post from zimbio.com --- Photos of U.S. President Barack Obama delivering his victory speech after being reelected for a second term at McCormick Place November 6, 2012 in Chicago, Illinois. Obama won reelection against Republican candidate, former Massachusetts Governor Mitt... ...click the title/link to read more. |
Does it actually matter who wins the U.S. Election? Posted: 07 Nov 2012 06:53 AM PST Obama-Romney election will help decide whether America becomes a more or less inclusive society. Does it actually matter who wins the US election? It's a debate being discussed in different fora and below is a pick of two responces from a nzherald.co.nz/opinion L-R: Barack Obama; Mitt Romney (photo: assets.rollingstone.com) ... ...click the title/link to read more. |
M/Kiti wa CCM akagua kiwanja cha Makao Makuu ya Chama Posted: 07 Nov 2012 06:43 AM PST |
Transfa za Walimu Tanzania @MasoudKipanya Posted: 07 Nov 2012 01:42 AM PST |
Did the World celebrate Obama’s re-election? Posted: 07 Nov 2012 01:23 AM PST Cross-posting this article from The Assiciated Press JAKARTA, Indonesia (AP) -- From his old school in Indonesia to a Japanese beach town that happens to share his name, people around the world cheered President Barack Obama's re-election Wednesday and expressed hope that he will help allay global conflicts and economic woes. The results of... ...click the title/link to read more. |
Tanzania inavyoandika habari zake za michezo Posted: 07 Nov 2012 01:07 AM PST |
Nagu avunja ukimya wa tuhuma za Sumaye kuwa Lowassa alitoa fedha ashinde Posted: 07 Nov 2012 01:04 AM PST WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu, amevunja ukimya na kuzungumza kwa mara ya kwanza akisema hakupewa fedha na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, wala hakutumia rushwa mtandao kumuangusha Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye. Kauli hiyo ya Nagu imekuja wakati ambapo Sumaye anadai kuwa rushwa ya... ...click the title/link to read more. |
Posted: 07 Nov 2012 12:57 AM PST MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema) amemtaka Rais Jakaya Kikwete kufuta haraka uteuzi wa baadhi wa majaji, akisema hawana sifa na kwamba kinyume cha hapo, atawasilisha bungeni hoja maalumu ya kumshitaki Rais. Aidha, amemtaka Spika, Anne Makinda kutangaza bungeni uchunguzi uliofanywa dhidi yake na Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na... ...click the title/link to read more. |
Mabumba akiyumbisha kiti cha Spika na kuwakoroga Wabunge Posted: 07 Nov 2012 12:08 AM PST MWENYEKITI wa Bunge, Sylvester Mabumba amelaumiwa kwa kutumia kiti cha Spika kuyumbisha Bunge kutokana na kutoa uamuzi unaokinzana na kuwachanganya wabunge. Lawama hizo zilitolewa wabunge kadhaa akiwamo wa Mbozi Mashariki, Godfrey Zambi (CCM) wakati walipochangia mjadala wa Azimio la Bunge la kuridhia Mkataba Mpya wa Umoja wa Posta Afrika... ...click the title/link to read more. |
You are subscribed to email updates from Wavuti Updates To stop receiving these emails, you may unsubscribe now. | Email delivery powered by Google |
Google Inc., 20 West Kinzie, Chicago IL USA 60610 |