wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20 |
- Taarifa ya habari, Oktoba 31, 2012
- Mwanza: Jiwe laporomoka mlimani, Lawaangukia watu, Lamwua mtoto
- TGNP inalaani Mkuu wa Wilaya kuwakamata wasichana wenye ujauzito
- Maandamano ya ‘Waislam’ Dar: Mkuu wa Mkoa atoa tamko
- Broadband Satellite Internet lands in Tanzania
- Ujasiriamali ni ajira rasmi Duniani - Tunu Pinda
- Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu akamatwa kwa tuhuma za rushwa
- Ziara ya Rais Kikwete, Kilimanjaro: Afungua barabara Rombo, Hai
- Ligi kuu ya Vodacom sasa kuonekana kwenye mtandao
- Doc: The Tanzania Natural Gas Policy Draft -1 kutoka MEM
- Bodi ya Wakurugenzi TANESCO yamwachisha kazi William G. Mhando
- Arsenal 7:5 Reading - Goals highlights
- Sasa hapa @MasoudKipanya nd’o Kuna DaSlam; Kuna na Tangunyika!
- Watoto wa wakubwa kujazana Idara ya Afya, Jiji la Dar : Upendeleo (?)
- Fao la Kujitoa: Kauli ya Serikali iliyotamkwa Bungeni leo
- NFP Fellowships available: Organised farmers as partners in agribusiness; Optimising the performance of producers' organisation 2013
- Kupungua samaki na Athari za kufungwa Bwawa la Nyumba ya Mungu - Rodrick Mushi
- Hamad Rashid (Mb) aonja kero ya kukaa kwenye foleni ya mafuta saa 4!
- Tuma Maoni kuhusu Mabadiliko ya Katiba kwa simu ‘SMS’
- Mkuu wa Mkoa Arusha aamuru wanafunzi waswekwe mahabusu
Taarifa ya habari, Oktoba 31, 2012 Posted: 31 Oct 2012 01:42 PM PDT |
Mwanza: Jiwe laporomoka mlimani, Lawaangukia watu, Lamwua mtoto Posted: 31 Oct 2012 01:16 PM PDT Habari, picha na video via GSengo blog Watu watatu akiwemo mtoto mdogo wameumizwa vibaya mara baada ya kuangukiwa na ukuta wa nyumba kwaa jiwe lililoporomoka kutoka mlimani jijini Mwanza. Waliokumbwa na ajali hiyo ni Bw. Msalam Husein ambaye ni dereva (30) na mkewe Bi. Nadia Grecian ambaye ni mama wa nyumbani (25) pamoja na... ...click the title/link to read more. |
TGNP inalaani Mkuu wa Wilaya kuwakamata wasichana wenye ujauzito Posted: 31 Oct 2012 01:03 PM PDT TGNP Yalaani Vitendo Vya Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mhe. Muhingo Rweyemamu Vya Kuwakamata Wasichana Waliopata Ujauzito Taarifa kwa vyombo vya habari Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Shirika linalofanya kazi za kutetea masuala ya kijinsia, haki za wanawake na wasichana ikiwemo haki ya uzazi salama tumeshtushwa na kusikitishwa na kauli... ...click the title/link to read more. |
Maandamano ya ‘Waislam’ Dar: Mkuu wa Mkoa atoa tamko Posted: 31 Oct 2012 12:48 PM PDT MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM SAID MECK SADIKI ATOA TAMKO KALI KUHUSU MAANDAMANO YA WAISLAM YALIYOPANGWA KUFANYIKA SIKU YA IJUMAA MARA BAADA YA SWALA Habari imeandikwa na Adrophina Ndyeikiza-Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam 31/11/2012. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki ametoa tamko kali la kuwataka Waislam kuacha mara moja... ...click the title/link to read more. |
Broadband Satellite Internet lands in Tanzania Posted: 31 Oct 2012 12:41 PM PDT Product - YahClick Satellite Dish "Infinity Africa's move towards broadband satellite internet via the YahClick service is set to provide Tanzania with cost effective, high performance, wide reaching, and reliable internet connectivity via aerial infrastructure that utilizes the Ka-Band frequency. The most significant feature of satellite... ...click the title/link to read more. |
Ujasiriamali ni ajira rasmi Duniani - Tunu Pinda Posted: 31 Oct 2012 12:37 PM PDT Mama Tunu Pinda akikata utepe kuzindua Mradi wa Uwezeshaji Kiuchumi wa Maendeleo ya Wanawake Wajasiriamali (WEDEE) Ulio chini ya Shirika la Kazi Duniani (WEDEE) wakati wa ufunguzi wa Maonyesho ya Wanawake wajasiriamali ya MOWE yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Mke wa Waziri Mkuu Mana Tunu Pinda akitoa hotuba... ...click the title/link to read more. |
Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu akamatwa kwa tuhuma za rushwa Posted: 31 Oct 2012 12:31 PM PDT Habari kutoka TBC1 zinahabarisha kuwa Mbunge wa Jimbo la Ilala, Dar es Salaam, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mussa Hassan Zungu na watu wengine watatu wamekamatwa kwa tuhuma za kujihusisha na rushwa katika Uchaguzi wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM unaofanyika huko Dodoma. Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa... ...click the title/link to read more. |
Ziara ya Rais Kikwete, Kilimanjaro: Afungua barabara Rombo, Hai Posted: 31 Oct 2012 12:24 PM PDT |
Ligi kuu ya Vodacom sasa kuonekana kwenye mtandao Posted: 31 Oct 2012 11:19 AM PDT · Wateja kupata taarifa kupitia SMS, Facebook na Twitter. · Yatoa pongezi kwa vyombo vya habari na timu. Mdhamini Mkuu wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara, kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, imewekeza katika kuwawezesha mashabiki wa soka kupata taarifa na matukio ya mechi zote za ligi hiyo kupitia njia ya simu za... ...click the title/link to read more. |
Doc: The Tanzania Natural Gas Policy Draft -1 kutoka MEM Posted: 31 Oct 2012 11:07 AM PDT Shukurani ya nakala @ZittoKabwe ...click the title/link to read more. This posting includes an audio/video/photo media file: Download Now |
Bodi ya Wakurugenzi TANESCO yamwachisha kazi William G. Mhando Posted: 31 Oct 2012 10:58 AM PDT |
Arsenal 7:5 Reading - Goals highlights Posted: 31 Oct 2012 03:58 AM PDT |
Sasa hapa @MasoudKipanya nd’o Kuna DaSlam; Kuna na Tangunyika! Posted: 31 Oct 2012 03:27 AM PDT |
Watoto wa wakubwa kujazana Idara ya Afya, Jiji la Dar : Upendeleo (?) Posted: 31 Oct 2012 03:06 AM PDT Habari hii imenukuliwa kutoka kwenye gazeti la Jamhuri Siku chache baada ya kuibuka mjadala wa kuwapo watoto wengi wa vigogo ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), hali kama hiyo imejitokeza tena kwenye Idara ya Afya katika Jiji la Dar es Salaam na manispaa zake tatu za Temeke, Ilala na Kinondoni, JAMHURI imebaini. Baadhi ya wafanyakazi wa Idara... ...click the title/link to read more. |
Fao la Kujitoa: Kauli ya Serikali iliyotamkwa Bungeni leo Posted: 31 Oct 2012 02:40 AM PDT |
Posted: 31 Oct 2012 02:10 AM PDT Organised farmers as partners in agribusiness; Optimising the performance of producers' organisation 2013 CRM:0018384 Optimising the performance of producers' organisation Organised farmers as partners in agribusiness 16 – 27 September, The Netherlands, Wageningen - NFP Fellowships available – apply before 05 February 2013 - Dear... ...click the title/link to read more. |
Kupungua samaki na Athari za kufungwa Bwawa la Nyumba ya Mungu - Rodrick Mushi Posted: 31 Oct 2012 02:25 AM PDT Rodrick Mushi Makala hii imeandikwa na Rodrick Mushi, 0764785065/0652893938 Email: rodrickmushi@yahoo.com Kupungua kwa samaki katika Bwawa la Nyumba ya Mungu kumefanya maisha ya wakazi hao kuwa magumu kutokana na kutegemea bwawa hilo kujiingizia kipato ambacho kinawasaidia kujikimu kimaisha. Mkazi wa Kijiji cha Njia Panda Wilayani Mwanga Peter... ...click the title/link to read more. |
Hamad Rashid (Mb) aonja kero ya kukaa kwenye foleni ya mafuta saa 4! Posted: 31 Oct 2012 01:28 AM PDT Francis Godwin (kofia nyekundu) akihojiana na Mhe. Hamad huko Iringa jana. Uhaba wa mafuta ya petroli na dizeli ambao umeendelea kuukumba mji wa Iringa kwa zaidi ya siku tano sasa, umeendelea kuwatesa wananchi wa kada mbalimbali ambapo jana, Mbunge wa jimbo la Wawi katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hamad Rashid... ...click the title/link to read more. |
Tuma Maoni kuhusu Mabadiliko ya Katiba kwa simu ‘SMS’ Posted: 31 Oct 2012 01:16 AM PDT Taarifa hii imenukuliwa kutoka kwenye blogu ya ZanziNews Tume ya Mabadiliko ya Katiba imetangaza namba nne (04) za simu za mkononi ambazo wananchi kwa sasa wanaweza kuzitumia kutuma ujumbe mfupi wa maandishi ('sms') kutoa maoni yao kuhusu Katiba Mpya. Kwa mujibu wa taarifa ya Tume hiyo kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo (Jumatano, Oktoba 31,... ...click the title/link to read more. |
Mkuu wa Mkoa Arusha aamuru wanafunzi waswekwe mahabusu Posted: 31 Oct 2012 01:09 AM PDT Mwanafunzi wa Sekondari ya Kimnyaki, Arumeru, Ezekiel Memiri, alivyoshikiliwa na Askari Polisi Peter Mvula, Mkuu wa Operesheni wa Mkoa baada baada kuamuru akamatwe kwa kosa la kushinikiza maandamano ya Wanafunzi wenzake hadi Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa. Mkuu wa Mkoa, Magesa Mulongo akiongea na wanafunzi na kutoa onyo kali kwa wanafunzi... ...click the title/link to read more. |
You are subscribed to email updates from Wavuti Updates To stop receiving these emails, you may unsubscribe now. | Email delivery powered by Google |
Google Inc., 20 West Kinzie, Chicago IL USA 60610 |