10/12/12 | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
[ New Posts ] : Habari Mpya Zote - HAPA CHINI!!!
Labels :

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 18

Written By Mike Ntobi on Friday, October 12, 2012 | 11:33 PM

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 18

Link to Wavuti Updates

Maofisa wa Elimu washitakiwa kwa wizi wa Mishahara ya Walimu

Posted: 12 Oct 2012 01:30 PM PDT


Habari kwa mujibu wa gazeti la NIPASHE --- Kaimu Maofisa Elimu wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Juhudi na Ukonga, jijini Dar es Salaam, wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kushindwa kufanya uhakiki wa mishahara ya walimu 23, kutumia madaraka vibaya na kuiba Sh. milioni 11.8 zikiwa ni mali ya...

...click the title/link to read more.

Gazeti la An-Nuur Oktoba 12 - 18, 2012

Posted: 12 Oct 2012 01:20 PM PDT




...click the title/link to read more.

Afisa wa TRA akatiwa umeme kwa ‘kuiibia’ TANESCO

Posted: 12 Oct 2012 01:17 PM PDT


Taarifa via NIPASHE -- Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limemkatia umeme Afisa Forodha Mwandamizi wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), Samwel Kihimbi, baada ya kubainika kuliibia nishati shirika hilo zaidi ya mara moja. Kabla ya afisa huyo kukatiwa umeme, wafanyakazi wa TANESCO pamoja na askari polisi wa kituo cha Kawe walijikuta katika wakati...

...click the title/link to read more.

MV Skagit ilibeba abiria 447 na mizigo - Ripoti

Posted: 12 Oct 2012 01:14 PM PDT


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. A. M. Shein, (kulia) akisikiliza Ripoti ya Tume ya kuzama kwa Meli ya MV SKAGIT, iliyosomwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Abdulhakim Ameir Issa,alipofika na ujumbe wa tume hiyo Ikulu Mjini Zanzibar, Oktoba 11, 2012 Habari via Tanzania Daima -- TUME ya uchunguzi wa ajali ya kuzama kwa...

...click the title/link to read more.

Afisa Uhamiaji jijini Mwanza anusurika kuuawa na Polisi, kisa...

Posted: 12 Oct 2012 11:36 AM PDT


Habari kwa mujibu wa GSengo blog, Mwanza -- AFISA wa Uhamiaji ofisi ya Mkoa wa Mwanza Albert Buchafwe amenusurika kuuawa kwa risasi baada ya kushambuliwa na Mkuu Msaidizi wa Kituo cha Polisi Nyakato, Abubakar Zebo kwa madai kuwa walikuwa wakishambulia jambazi. Tukio hilo ambalo limethibitishwa na kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow...

...click the title/link to read more.

Taarifa ya habari Oktoba 12, 2012

Posted: 12 Oct 2012 11:28 AM PDT




...click the title/link to read more.

Taarifa ya Bunge kuhusu taarifa ya Kamati ndogo ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge

Posted: 12 Oct 2012 10:54 AM PDT


Itakumbukwa kuwa wakati wa Mkutano wa Nane wa Bunge uliofanyika kuanzia Juni – Agosti, 2012, Spika wa Bunge aliunda Kamati Ndogo ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge kuchunguza tuhuma zilizokuwepo kuwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini na baadhi ya Wabunge walijihusisha na Vitendo vya rushwa wakati wa mjadala wa Hotuba ya Bajeti ya...

...click the title/link to read more.

Waharibu mali wakidai kupewa aliyekojolea kitabu cha dini ili wamwue

Posted: 12 Oct 2012 10:38 AM PDT


Leo zimezuka vurugu kubwa jijini Dar es Salaam eneo la Mbagala Majimatitu baada ya kutokea mabishano yaliyoanza kama utani, baina ya WATOTO wawili, mmoja wa Kiislam na mwingine wa Kikristo, Emanuel Josephat (14). Watoto hao walikuwa wakibishana kuhusu imani, dini na vitabu vyake ambapo kila mmoja alishikilia kuwa kitabu cha dini yake...

...click the title/link to read more.

Kali ya Ijumaa: Swaga za Polisi anapofukuzia demu

Posted: 12 Oct 2012 01:08 AM PDT


Unajua nakuthamini zaidi ya rushwa na posho! Bira ya wewe mimi siwezi kuishi, ni sawa na kukosa bunduki eneo ra tukio. Nakuheshimu kama ninavyoheshimu rindo. Wewe ndio IGP wa moyo wangu.  Mbona upo kimya? Nina RB ya penzi rako, nijibu nifungue jarada rako ndani ya moyo wangu.  Usifanye moyo wangu ukaenda mbio kama difenda...

...click the title/link to read more.

Walimbwende wa Redds Miss Tanzania 2012 watembelea Snake Park

Posted: 12 Oct 2012 01:03 AM PDT


Warembo wanaowania taji la Redds Miss Tanzania 2012 jana walitembelea eneo la Utalii la ufugaji nyoka la mjini Arusha maarufu ARUSHA SNAKE PARK na kujionea nyoka wa aina mbalimbali, Mamba, Kenge, ndege aina ya Bundi, Tai na Tumbili. Warembo hao wapo Mikoa ya Kanda ya Kaskazini kwaajili ya kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii nchini na...

...click the title/link to read more.

Hatua alizochukua Mnyika (Mb) kuhusu matatizo ya maji Goba

Posted: 11 Oct 2012 11:46 PM PDT


NIMECHUKUA HATUA YA KUWASILISHA KWA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA SUALA LA MATATIZO YA MAJI KATIKA KATA YA GOBA ILI HATUA ZA HARAKA NA ZA KUDUMU ZICHUKULIWE Kazi ya mbunge ni kuwakilisha wananchi, kushiriki katika kutunga sheria na kuisimamia serikali ili kuwezesha maendeleo kwa pamoja na mambo mengine kuhakikisha huduma za kijamii...

...click the title/link to read more.

U.S.A first Vice-Presidential debate - Video, Audio, Transcript

Posted: 11 Oct 2012 11:43 PM PDT


Vice President Joe Biden and Rep. Paul Ryan, R-Wis., participate in the vice presidential debate, moderated by Martha Raddatz of ABC News, Thursday in Danville, Ky. (photo: NPR.org) The following is the complete United States of America Vice-Presidential debate between Vice President Joseph R. Biden Jr. and Represntative Paul D. Ryan in...

...click the title/link to read more.

Raia Mwema toleo la 262: Usipitwe na makala moto ya Zitto, Lula wa Ndali, Mbwambo, Ahmed Rajab, Jenerali Ulimwengu, Kitila Mkumbo, Chahali, Dotto, Mjengwa, Mchange

Posted: 11 Oct 2012 11:01 PM PDT


Uchunguzi wamnasa Mkurugenzi TANESCO - Waandishi Wetu Watanidharau, watanicheka, watapambana lakini nitashinda - ZITTO KABWE Kardinali Rugambwa 'mwislamu' aliyebatizwa - Deus Bugaywa Sumaye anawachezea akili Watanzania? - LULA WA NDALI MWANANZELA CNN inapoionyesha dunia ushirikina wa Watanzania…! - JOHNSON MBWAMBO Jinsi moyo alivyowasuta...

...click the title/link to read more.

Uongozi wa kiwanda cha TPI wakana kuzalisha ARVs bandia; Wananchi wataka Madabida akamatwe

Posted: 11 Oct 2012 10:54 PM PDT


Zarina Madabida akionesha tofauti za ARVs tajwa Habari imeandikwa na Halima Mlacha na Anastazia Anyimike HabariLeo  ---  UONGOZI wa kiwanda cha Tanzania Pharmaceutical Industries Limited (TPI), umekana kuzalisha ARVs bandia na kutaka waliohusika na udhalimu huo wachukuliwe hatua kali kwa sababu ni wauaji. TPI pia imesema haijapokea barua kutoka...

...click the title/link to read more.

picha: Tafrija ya NBC kwa Wajumbe wa Mkutano wa 22 wa PPF

Posted: 11 Oct 2012 10:53 PM PDT


Wakurugenzi Wakuu wakibadilishana mawazo kwenye tafrija hiyo, kushoto ni William Erio, (PPF), Mafuru, (NBC) na Nehemiah Mchechu, (NHC) Afisa wa Mfuko wa Pensheni nwa PPF, Mkoani Arusha, (Kulia), akipoz kwa picha na mwandishi habari wa Channel Ten mkoani humo, Jamila Omar, wakati wa cocktail party iliyoandaliwa na benki ya NBC kwa ajili ya...

...click the title/link to read more.

Will Bill Gates ever run for Office ?

Posted: 11 Oct 2012 10:53 PM PDT


ABU DHABI, United Arab Emirates (AP) — Microsoft founder and billionaire Bill Gates on Tuesday ruled out running for office, choosing not to join the parade of rich businessmen who have tried their hand at politics. Asked at the Abu Dhabi Media Summit about running for president, he said his current job with the Bill & Melinda Gates...

...click the title/link to read more.

ARVs bandia Tanzania: Audio ya BBC Swahili

Posted: 11 Oct 2012 10:52 PM PDT


Taarifa ya Leonard Mubali imenukuliwa kutoka kwenye kipindi cha BBC Swahili - Dira ya Dunia cha Oktoba 11, 2012. Ni mazungumzo na Waziri wa Afya, Dkt. Hussein Mwinyi;  Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya UKIMWI, Leodina Mng'ong'o na maoni ya Watumiaji wa ARVs kuhusu uwepo wa dawa bandia za ARVs Tanzania.

...click the title/link to read more.

Watoto wa Vigogo wapo Mizani ‘kuiba’ ndiyo maana ‘timu zinaogopa kuwakamata’

Posted: 11 Oct 2012 03:41 PM PDT


Habari imeandikwa na Sifa Lubasi, HabariLeo, Dodoma --- WAZIRI wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli amesema wengi wa wafanyakazi katika vitengo vya Mizani Barabarani ni watoto wa vigogo ambao wamekuwa wakipenya na kupata kazi katika vitengo hivyo wakiamini kuwa kuna ulaji mkubwa wa fedha za Watanzania. "Ndiyo maana wakati wote ninapoagiza na kutuma timu...

...click the title/link to read more.
Get our toolbar!Get our toolbar!
  • Alexaporn - XXX (+18) Search!Alexaporn - XXX (+18) Search!
 
Sell Your Products At TripleClicks!Share Links Earn Money!
cafepress.com/nicemike
Sale Online!
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger