wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20 | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
Labels :
Home » » wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20

Written By Mike Ntobi on Friday, October 12, 2012 | 12:37 AM

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20

Link to Wavuti Updates

Serekale... itusaidie, ingetufikiria, inafanya nini, hainisaidii, ituletee...

Posted: 11 Oct 2012 03:18 PM PDT




...click the title/link to read more.

MISUSED - More than 4/= Billion Tanzanian Govt. Farmers’ fund

Posted: 11 Oct 2012 03:17 PM PDT


Story by Beldina Nyakeke, The Citizen Correspondent, Musoma -- The Citizen --- The government has lost more than Sh4 billion which was remitted to Mara Region for improving its agricultural sector during the last season. The Mara regional commissioner, Mr John Tupa, said it remitted about Sh4.4 billion in the new system of agricultural inputs....

...click the title/link to read more.

Malaria risk in Tanzania: 8 percent down - Study finds

Posted: 11 Oct 2012 02:37 PM PDT


L-R: Dr Hussein Mwinyi; Dr Agnes Chuwa - NBS Managing Director (photos by Anna Nkinda – Maelezo) Story by Louis Kolumbia,  The Citizen Correspondent, Dar es Salaam -- The incidence of malaria in children aged between two months and two and a half years in Tanzania Mainland and Zanzibar has been reduced from 18 per cent in 2007/08 to 10 per cent...

...click the title/link to read more.

Belgium policy change leaves Tanzania's key education project in limbo

Posted: 11 Oct 2012 02:26 PM PDT


Story by Songa wa Songa, The Citizen Reporter, Dar es Salaam -- A change in the Belgium government's aid policy towards Tanzania has left an HIV/Aids awareness pilot project in primary schools in limbo. Funded by the Belgium Development Agency (BTC) and launched in 2009, the HIV & Aids Awareness Creation Programme Targeting Youth and...

...click the title/link to read more.

Taarifa ya Wizara ya Uchukuzi ya Uteuzi wa Wakurugenzi 

Posted: 11 Oct 2012 12:55 PM PDT




...click the title/link to read more.

ARVs feki: Kamati ya Bunge yataka tamko la Serikali la hatua zinazofuata baada ya kuwasimamisha viongozi wa MSD

Posted: 11 Oct 2012 12:54 PM PDT


Habari na Magreth Kinabo – MAELEZO  KAMATI ya Bunge inayoshughulikia masuala ya Ukimwi imeishauri serikali kutoa tamko la kuelezea ni hatua gani inaendelea kuchukua baada ya kusimamisha kazi baadhi ya viongozi wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) kufuatia kuwepo kwa dawa bandia za kupunguza makali ya UKIMWI ( ARV) katika kikao cha Bunge kitakachoanza...

...click the title/link to read more.

Anko Pati kasema ‘mke wa mtu ni sumu’ sasa Ziro anamtafuta...

Posted: 11 Oct 2012 12:06 PM PDT




...click the title/link to read more.

Maoni ya Wananchi kuhusu Ripoti za Mauaji ya Daudi Mwangosi

Posted: 11 Oct 2012 04:16 AM PDT


BAADHI ya wananchi, wakiwemo wasomi, wanasiasa na wanaharakati mbalimbali, wamekosoa ripoti ya Serikali kuhusu mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa Channel Ten mkoani Iringa, Daud Mwangosi. Ripoti hiyo imepingwa sambamba na ile ya Baraza la Habari Tanzania (MCT), wakisema kuwa ripoti hizo hazijatoa majibu kuhusiana na kifo hicho na kwamba hayo ni...

...click the title/link to read more.

Tanzania yatetea nia yake ya kutaka kuuza pembe za ndovu

Posted: 11 Oct 2012 07:12 AM PDT


Habari via VOA -- Serikali ya Tanzania inakusudia kuanzisha upya jaribio lake la kuuza pembe za ndovu katika soko la kimataifa na imeahidi kuanza majadiliano ya shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na utalii ili kupata idhini ya uuzaji wa rasilimali hiyo.   Hatua hiyo inakuja baada ya jaribio lake la kwanza kugonga mwamba wakati wa mkutano wa...

...click the title/link to read more.

Watumishi wanne wa Halmashauri wafukuzwa kazi

Posted: 11 Oct 2012 07:06 AM PDT


Habari imeandikwa na Kennedy Kisula, HabariLeo, Lindi -- HALMASHAURI ya Wilaya ya Lindi mkoani Lindi imewafukuza kazi watumishi wake wanne akiwamo Mhasibu Mwandamizi kwa makosa mbalimbali mojawapo likiwa ni kusindikiza lori lililosheheni zao la korosho zisizolipiwa ushuru katika msimu wa mwaka jana. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya...

...click the title/link to read more.

Tamko la Sikika kufuatia taarifa ya Wizara kuhusu ARV bandia

Posted: 11 Oct 2012 06:35 AM PDT




...click the title/link to read more.

Tamko la Sikika kuhusu taarifa ya Wizara kuhusu ARV bandia

Posted: 11 Oct 2012 06:35 AM PDT




...click the title/link to read more.

Watano wauawa huko Kitowo, Marangu - Moshi

Posted: 11 Oct 2012 04:55 AM PDT


WATU watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi, wameuawa kwa kupigwa risasi na polisi katika mapambano ya kurushiana risasi yaliyodumu kwa takribani dakika 20 huku askari mmoja akijeruhiwa. Tukio hilo lilitokea juzi usiku katika Kijiji cha Kitowo Wilaya ya Moshi Vijijini muda mfupi baada ya majambazi hao kuvamia duka la mfanyabiashara, Gaudence Temu...

...click the title/link to read more.

Mawaidha yanaendelea...

Posted: 11 Oct 2012 04:44 AM PDT


Mhubiri wa Kiislam (ambaye hakutaka kutaji jina) alikutwa akitoa mawaidha ya dini hiyo huku akiwa amesimama kwenye kizuizi cha Barabara ya Morogoro Magomeni Mapipa mwishoni mwa wiki. (Picha, Maelezo: Charles Lucas/MAJIRA)

...click the title/link to read more.

Mramba asema “Si kweli kuwa kulikuwepo na hasara wala fedha iliyopotea”

Posted: 11 Oct 2012 04:36 AM PDT


ALIYEKUWA Waziri wa Fedha katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Basil Mramba amedai mahakamani kwamba aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Gray Mgonja alimshauri asaini taarifa ya Serikali ya kuisamehe kodi kampuni ya Alex Stewart Government Business Assayers. Mramba alitoa madai hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakati akijitetea...

...click the title/link to read more.

Maoni ya Wananchi kuhusu Ripoti za Mauaji ya Daudi Mwangosi

Posted: 11 Oct 2012 04:16 AM PDT


BAADHI ya wananchi, wakiwemo wasomi, wanasiasa na wanaharakati mbalimbali, wamekosoa ripoti ya Serikali kuhusu mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa Channel Ten mkoani Iringa, Daud Mwangosi. Ripoti hiyo imepingwa sambamba na ile ya Baraza la Habari Tanzania (MCT), wakisema kuwa ripoti hizo hazijatoa  majibu kuhusiana na kifo hicho na kwamba hayo...

...click the title/link to read more.

Matokeo ya Chaguzi za CCM-Wazazi mkoa wa Arusha

Posted: 11 Oct 2012 04:04 AM PDT


Habari imeandikwa na Queen Lema via blog --- CHAMA cha mapinduzi mkoa wa arusha  kimemchagua mbunge  wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Bernard Murunya,  kuwa Mwenyekiti wa Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Arusha. Aidha  uchaguzi huo uliofanyika kwenye ukumbi wa makao makuu ya CCM Mkoa wa Arusha jana, Murunya aliwashinda wenzake...

...click the title/link to read more.

Unatii sheria zote za barabarani, halafu...

Posted: 11 Oct 2012 04:03 AM PDT




...click the title/link to read more.

Watoto wa vigogo na ‘dhambi’ ya kujiingiza kwenye Siasa

Posted: 11 Oct 2012 03:34 AM PDT


Ndugu zangu,  Wahenga walinena; Kuishi kwingi ni kuona mengi, na kusikia pia. Jana nilipokea meseji ya simu iliyokuwa ikisambazwa kwa watu mbali mbali, inasema hivi :  " Hatari, angalia watoto wa vigogo waliopita kwenye UVCCM ngazi ya Taifa. Kisha yakaorodheshwa majina 14 ya wenye kuitwa ' Watoto wa Vigogo'. Ikafuata rai:  "...

...click the title/link to read more.

Mtwara: Wanawake wakabidhiwa simu, pesa kupitia M-Pesa kwa ajili ya lishe

Posted: 11 Oct 2012 03:34 AM PDT


Akina mama wa kijiji cah Nanguruwe mkaoni Mtwara ambao ni wanufaika wa mradi wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani – WFP wa kuwapatia fedha wanawake wanaonyonyesha na wajawazito fedha za kununulia chakula chenye lishe wakijumuika na maofisa wa Vodacom kufurahia simu walizopatiwa zikiwa zimeunganishwa na mtandao wa Vodacom kuwawezesha kupokea...

...click the title/link to read more.
Share this article :

Related Posts :

+ Comments: + 1 Comments:

Anonymous
11:09 AM, December 22, 2012

Verу good info. Luсky me I reсently
founԁ youг blog by chаnce (stumbleuрon).
I have bookmarked it for later!
Feel free to visit my web blog ; edmonton stove repair

Post a Comment

 
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger