wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20 |
- Peter @Serukamba (Mb) @MakutanoShow: Kukataa posho ni unafiki
- Taarifa za habari, Oktoba 27, 2012
- Kilimanjaro Printers katika kashifa ya kuiba U.S $55,000 za Watalii
- Simba 3:1 Azam ; Yanga 1:0 Oljoro JKT
- picha: UVCCM-Dar wapokeana kwa kutwangana
- Serikali/Wizara ya Afya: Tahadhari ya ugonjwa wa Marburg Tanzania
- Rais Kikwete kufungua miradi ya Barabara: Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Singida
- Wawekezaji v/s Wananchi Arusha: Familia 5 hazina makazi baada ya nyumba kubomolewa
- SUMATRA yaridhia nauli za treni Dar ya 400/- na 500/-
- Mulugo ulilikoroga eeh? Yaani wana wewe, hawakuachi-iii ng’o!
- CHADEMA: Arusha - Wajeruhiwa katika kampeni; Yaunda tume kuchunguza ufisadi, migogoro; Shinyanga - Wanne mbaroni kwa tuhuma za kumchoma mkuki Mwenyekiti
- Ma. Asha Bilal awaasa Wanawake kuhusu ushirikiano
- Tanzia: Padre Salutaris Massawe - MKuu wa Consolata Fathers Tanzania
- Mashirika 70 yanajiendesha kwa hasara, POAC yaagiza yatathiminiwe
- NSSF yasema “Hatupingi fao la kujitoa”
- Cars: This is TESLA - 2012 The Year of Model S
- Some great photos submitted for the National Geographic Photo Contest 2012
- Mkurugenzi wa Halmashauri Korogwe asimamishwa kazi
- Waafrika laghai wadokoa milioni za Pauni za walipa kodi
- Some International newscast on Zanzibar unrest
Peter @Serukamba (Mb) @MakutanoShow: Kukataa posho ni unafiki Posted: 27 Oct 2012 12:34 PM PDT Mhe Serukamba akijibu moja ya maswali wakati akiongea na Fina Mango kwenye kipindi cha Makutano Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia CCM Mhe Peter Serukamba amesema suala la baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupinga posho lilikuwa ni unafiki. Serukamba aliyasema hayo katika kipindi cha Makutano kinachoendeshwa na Fina... ...click the title/link to read more. |
Taarifa za habari, Oktoba 27, 2012 Posted: 27 Oct 2012 11:46 AM PDT |
Kilimanjaro Printers katika kashifa ya kuiba U.S $55,000 za Watalii Posted: 27 Oct 2012 11:35 AM PDT WAFANYAKAZI wa kampuni ya uwakala wa kukusanya ushuru wa maegesho ya magari jijini Arusha ya Kilimanjaro Printers (KPL) wameiingiza katika kashifa nzito kampuni hiyo baada ya kutuhumiwa kusababisha upotevu (kuiba) wa fedha za kigeni za watalii wa Kirusi kiasi cha dola 55,000. Upotevu huo unadaiwa kutokana na wafanyakazi wa kampuni hiyo kubeba... ...click the title/link to read more. |
Simba 3:1 Azam ; Yanga 1:0 Oljoro JKT Posted: 27 Oct 2012 11:22 AM PDT Ni kama vile anasema, "Hapa utatoka wewe, mpira utauacha hapa hapa. Hautoki!" - Ochieng amelala kuondosha mpira miguuni mwa Kipre Tcheche, huku Amri Kiemba akiwa tayari kumsaidia. (picha ZOTE via BongoStaz blog) Muhtasari wa mechi umenukuliwa kutoka Staika Mkali blog EMMANUEL Okwi alifunga mara mbili na Felix Sunzu akaongeza jingine moja wakati... ...click the title/link to read more. |
picha: UVCCM-Dar wapokeana kwa kutwangana Posted: 27 Oct 2012 10:53 AM PDT " Habari tulizozipata hivi punde ni kwamba wanachama wa Umoja wa Vijana wa CCM, wamechapana makonde wakati wa mapokezi ya Mwenyekiti mpya wa umoja huo. Tafrani hiyo imetokea leo katika Makao Makuu ya UVCCM, ambapo moja ya makundi ambayo hayakubaliani na ushindi wa Mwenyekiti huyo mpya walikwenda na mabango yanayompinga. Ndipo... ...click the title/link to read more. |
Serikali/Wizara ya Afya: Tahadhari ya ugonjwa wa Marburg Tanzania Posted: 27 Oct 2012 09:36 AM PDT Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, imepokea taarifa kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), tarehe 20 Oktoba, 2012 kuhusu ugonjwa wa Marburg ambao umejitokeza katika nchi jirani ya Uganda. Maeneo yaliyokumbwa na ugonjwa huo ni Wilaya ya Kabale, Kanda ya Kusini Magharibi ya nchi, na wilaya hii inapakana na Rwanda. Mpaka tarehe 24 Oktoba 2012,... ...click the title/link to read more. |
Rais Kikwete kufungua miradi ya Barabara: Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Singida Posted: 27 Oct 2012 09:28 AM PDT Wizara ya Ujenzi inapenda kutoa taarifa kwa umma kwamba, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa Mgeni Rasmi katika sherehe za ufunguzi na uzinduzi wa miradi ya barabara katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Singida kati ya tarehe 30 Oktoba 2012 na tarehe 4 Novemba 2012. Miradi... ...click the title/link to read more. |
Wawekezaji v/s Wananchi Arusha: Familia 5 hazina makazi baada ya nyumba kubomolewa Posted: 27 Oct 2012 09:02 AM PDT Baadhi ya wakazi waliobomolewa nyumba zao wakiwa wamekaa nje via Libeneke la Kaskazini blog UNYAMA umejitokeza katika kijiji cha Sing'isi wilayani Arumeru Mashariki mkoani Arusha baada ya familia tano kubomolewa nyumba zao kwa inayodaiwa kuwa ni amri ya wawekezaji wa kigeni wanaomiliki mashamba makubwa wilayani humo. Hali hiyo... ...click the title/link to read more. |
SUMATRA yaridhia nauli za treni Dar ya 400/- na 500/- Posted: 27 Oct 2012 08:48 AM PDT USAFIRI wa treni ndani ya jiji la Dar es Salaam unaanza rasmi kesho huku Serikali ikiwa imetoa msimamo wa nauli zitakazotozwa kwa safari moja kuwa ni Sh 400 kwa reli ya Kati na Sh 500 kwa ya Tazara. Msimamo huo umetokana na uamuzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) kupunguza kati ya Sh 200 na Sh 300 kutoka katika nauli... ...click the title/link to read more. |
Mulugo ulilikoroga eeh? Yaani wana wewe, hawakuachi-iii ng’o! Posted: 27 Oct 2012 08:47 AM PDT |
Posted: 27 Oct 2012 08:46 AM PDT Wanne mbaroni tuhuma za kumjeruhi Mwenyekiti kwa mkuki Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limewatia mbaroni watu wanne wanaodaiwa kumjeruhi kwa kumchoma mkuki Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tawi la Mwawazo katika Manispaa ya Shinyanga, Bundara Katunge (39). Kamanda wa Polisi Mkoa huo, Evarist Mangala, aliiambia... ...click the title/link to read more. |
Ma. Asha Bilal awaasa Wanawake kuhusu ushirikiano Posted: 27 Oct 2012 08:45 AM PDT Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal akizungumza kwa niaba ya Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete katika Hafla ya Usiku wa Mwanamke Mjasiriamali ya kuchangisha fedha kwa Wanawake Wajasiriamali ikiwa ni Kipindi cha Mwezi wa Wanawake Wajasiriamali nchini wenye Kauli mbiu "Msichana Amka Ujasiriamali ni... ...click the title/link to read more. |
Tanzia: Padre Salutaris Massawe - MKuu wa Consolata Fathers Tanzania Posted: 27 Oct 2012 12:41 AM PDT Nimepokea ujumbe wa majonzi kutoka kwa Padre akinifahamisha kuhusu kifo cha Padre mwenzao. Ameniandikia ifuatavyo, " Dear Subi, pengine umesikia redioni kuhusu kupoteza maisha kwa P. Salutaris Massawe aliyekuwa mkubwa wetu hapa Tanzania. Wakubwa wote wa Shirika letu walikuwa mkutanoni Bunju/Dar na Alhamisi tarehe 25 Oktoba 2012,... ...click the title/link to read more. |
Mashirika 70 yanajiendesha kwa hasara, POAC yaagiza yatathiminiwe Posted: 27 Oct 2012 12:41 AM PDT KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), imeliagiza Shirika Hodhi la Mashirika ya Umma (CHC), kuyafanyia tathmini mashirika yote ya umma, ili kufahamu hasara inayopatikana, kwa kuwa mashirika 70 yanajiendesha kwa hasara. Pamoja na hayo, alisema Serikali inatakiwa kueleza ina hisa kiasi gani katika mashirika hayo. Agizo hilo... ...click the title/link to read more. |
NSSF yasema “Hatupingi fao la kujitoa” Posted: 27 Oct 2012 12:33 AM PDT Katika Kamati ya kudumu ya Bunge ya Mahesabu za Mashirika ya UMMA (POAC) mnamo tarehe 24/10/2012 Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt. Ramadhani K. Dau akijibu maswali ya Waheshimiwa Wabunge alitoa maelezo ya msingi kuhusu umuhimu na dhana kamili ya Hifadhi ya Jamii. Katika maelezo hayo alifafanua kuhusu madhara ya kujitoa kwenye mfuko kwa mwanachama... ...click the title/link to read more. |
Cars: This is TESLA - 2012 The Year of Model S Posted: 27 Oct 2012 12:25 AM PDT |
Some great photos submitted for the National Geographic Photo Contest 2012 Posted: 27 Oct 2012 12:09 AM PDT It's that time again for the 2012 National Geographic Photo Contest. The deadline to enter photos for the contest ends the November 30, 2012. Photographers of all skill levels - from professional to amateur - across the globe, submitted more than 20,000 entries from 130 countries in last year's competition. The photographs are judged on... ...click the title/link to read more. |
Mkurugenzi wa Halmashauri Korogwe asimamishwa kazi Posted: 27 Oct 2012 12:04 AM PDT Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Vijijini mkoani Tanga, Annah Mwahalende, amesimamishwa kazi kupisha uchunguzi na tuhuma zinazomkabili. Kwa mujibu wa taarifa ambazo NIPASHE imezipata na kuthibitishwa na viongozi wa mkoa wa Tanga, mkurugenzi huyo na barua za kusimamishwa kwake zimepelekwa katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa... ...click the title/link to read more. |
Waafrika laghai wadokoa milioni za Pauni za walipa kodi Posted: 27 Oct 2012 12:00 AM PDT Wanaishi Ulaya ndiyo maana kwao matawi ya juu... Usiwahukumu, huwezi kujua ni kwa nini walifanya hivyo... Unajua kwamba hizo ni tuhuma tu, bado hazijathibitika, kesi inaendelea... Hata kama waliiba, hao 'Wazungu' kwanza walitutesa sana na wanatuibia, wacha na sisi tuwaibie, safi sana... fye fye fye! Wizi mtupu! KUTOKA JUU: Lamulah, Albert... ...click the title/link to read more. |
Some International newscast on Zanzibar unrest Posted: 27 Oct 2012 12:00 AM PDT Zanzibar unrest reflects anger along Swahili coast CNBC - STONE TOWN, Zanzibar (Reuters) - The "spice island" of Zanzibar would seem to have little in common with Somalia, torn by Islamist rebellion, and with Kenya, where a storm is brewing over demands for the touristic coastal strip to secede. But in this historic town, a World... ...click the title/link to read more. |
You are subscribed to email updates from Wavuti Updates To stop receiving these emails, you may unsubscribe now. | Email delivery powered by Google |
Google Inc., 20 West Kinzie, Chicago IL USA 60610 |