wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 18 |
- LIVE! online: Watch the second 2012 U.S Presidential Debate
- Anthony Diallo achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM Mwanza
- Taarifa ya habari Oktoba 16, 2012
- Serikali ya Tanzania yasaka takwimu za Diaspora kujua mchango wao Kitaifa
- Kanisa jingine lachomwa moto Tanzania
- Marehemu Kamanda Barlow: Walimu waelezea uhusiano wake na Dorothy
- Alimwendea Mganga kutaka ‘dawa ya kurudisha penzi’, akaingiliwa kingono
- Halafu ajali ikitokea... ‘ni mapenzi ya mungu’ au ‘amelogwa’
- Women: Growing facial hair, Gaining weight, Difficult conceiving, WHY?
- Morogoro: Mwanafunzi wa Darasa la Pili awachoma wenzie kwa kisu
- Ha ha haaa! Ziro ana akili iliyopitiliza!
- Wanne wakamatwa na vifaa vilivyoporwa katika vurugu za Mbagala
- Maombi ya kujiunga na Mpango wa Kazi Nje Nje yanakaribishwa
- Picha za Mkutano wa Viongozi wa CHADEMA Tanzania na U.K.
- Waziri Mkuu, Pinda kusemezana na Watanzania wa London leo
- SkyLight Band yazidi kuongeza mashabiki Thai Village, Masaki, Dar
- Ashikwa na mfadhaiko na kumdhalilisha mwanafunzi katika msiba wa Barlow
- TBC - Taarifa ya habari; BBC - Aliyezusha Balozi Tsere kafukuzwa, akamatwa na Polisi
LIVE! online: Watch the second 2012 U.S Presidential Debate Posted: 16 Oct 2012 01:42 PM PDT |
Anthony Diallo achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM Mwanza Posted: 16 Oct 2012 01:05 PM PDT picha via GSengo blog WAZIRI wa zamani wa Maliasili na Utalii, na mbunge wa zamani wa Jimbo la Ilemela jijini Mwanza, Anthony Mwandu Diallo, ameibuka mshindi kwa kura 611 katika wa nafasi ya uenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, kisha kumgalagaza aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Clement Gregory Mabina. Katika uchaguzi huo uliofanyika kwenye... ...click the title/link to read more. |
Taarifa ya habari Oktoba 16, 2012 Posted: 16 Oct 2012 12:23 PM PDT |
Serikali ya Tanzania yasaka takwimu za Diaspora kujua mchango wao Kitaifa Posted: 16 Oct 2012 04:54 AM PDT Commissioner for Finance and Administration of the Tanzania Immigration Department, who is also the Chair of the National Consultative Committee of the African, Caribbean and Pacific Observatory on Migration, (ACP), Piniel Mgonja, (L), responds to the questions from the BBC Correspondent, Famao on the workshop and related issues on migration and... ...click the title/link to read more. |
Kanisa jingine lachomwa moto Tanzania Posted: 16 Oct 2012 04:36 AM PDT Saa chache baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwasihi viongozi na waumini wa dini za Kikiristo na Kiislamu nchini kuwa wavulilivu na kujiepusha na vitendo vya kulipiza visasi, Kanisa la la Pentekoste (MMPT) lililopo Buronge katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji limechomwa moto na kutetekezwa kabisa na watu wasiojulikana. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma,... ...click the title/link to read more. |
Marehemu Kamanda Barlow: Walimu waelezea uhusiano wake na Dorothy Posted: 16 Oct 2012 04:30 AM PDT Baadhi ya walimu wa Shule ya Msingi Nyamagana wamevunja ukimya na kueleza kile kinachodaiwa ni mahusiano kati ya aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, Leberatus Barlow, na mwalimu mwenzao, Dorothy Moses. Wakizungumza na NIPASHE shuleni hapo jana, pia walielezea kusikitishwa kwao na jinsi tukio hilo la mauaji ya RPC lilivyotokea mbele ya... ...click the title/link to read more. |
Alimwendea Mganga kutaka ‘dawa ya kurudisha penzi’, akaingiliwa kingono Posted: 16 Oct 2012 03:59 AM PDT Masuala ya uchawi na ushirikina Tanzania, binti anaelezea katika kipindi cha 'Heka heka' cha redio CloudsFM alivyokwenda kwa mganga katika harakati za kutafuta 'limbwata' kwa ajili ya kurejesha mapenzi ya mpenzi wake! Alichoambulia ni kubakwa mara mbili na kupoteza shilingi milioni na ushee... bado hasira, muda na...! ...click the title/link to read more. |
Halafu ajali ikitokea... ‘ni mapenzi ya mungu’ au ‘amelogwa’ Posted: 16 Oct 2012 03:11 AM PDT Wahenga walisema, "Kinga ni bora kuliko tiba" na "Jihadhari kabla ya hatari" Mkazi wa Dar es Salaam akiwa amelala juu ya shehena ya ndizi zilizopakiwa kwenye pikipiki ya matairi matatu jambo ambalo linaweza kuhatarisha usalama wake kama alivyokutwa mwishoni mwa wiki jijini. (picha, maelezo via blogu ya Ziro & Tina) ...click the title/link to read more. |
Women: Growing facial hair, Gaining weight, Difficult conceiving, WHY? Posted: 16 Oct 2012 02:42 AM PDT POLYCYSTIC OVARIAN SYNDROME A disease condition that every woman should know By Dr Fredirick L Mashili, MD. When it comes to appearance, women are often times more concerned with their looks than men. Abnormalities in a woman's body appearance and overall look may require more serious attention, considering the fact that some of... ...click the title/link to read more. |
Morogoro: Mwanafunzi wa Darasa la Pili awachoma wenzie kwa kisu Posted: 16 Oct 2012 01:11 AM PDT RAIA wa Kata ya Mafiga mjini hapa wamewatupia lawama walimu wa Shule ya Msingi ya Mafiga 'B' kwa kuzembea na kusababisha mwanafunzi wa darasa la pili kuingia darasani na kisu kila siku kisha kuwachoma wenzake. Uchunguzi wa mwahabari wetu ulibaini kuwa kufuatia kitendo hicho, wazazi wenye watoto wanaosoma shuleni hapo wanakusudia kuitisha kikao... ...click the title/link to read more. |
Ha ha haaa! Ziro ana akili iliyopitiliza! Posted: 16 Oct 2012 12:33 AM PDT |
Wanne wakamatwa na vifaa vilivyoporwa katika vurugu za Mbagala Posted: 16 Oct 2012 12:28 AM PDT WATU wanne zaidi wamekamatwa na polisi wakiwa na kompyuta na meza zilizoporwa katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Mbagala, Dar es Salaam. Kukamatwa kwa watu hao kunafanya idadi ya waliokamatwa kutokana na vurugu zilizotokea Ijumaa wiki iliyopita kufikia 126. Vurugu hizo zilambatana nwa baadhi ya watu kuharibu mali,... ...click the title/link to read more. |
Maombi ya kujiunga na Mpango wa Kazi Nje Nje yanakaribishwa Posted: 16 Oct 2012 12:00 AM PDT BAADA YA MAFANIKIO MAKUBWA YALIYOPATIKANA KATIKA MPANGO WA KAZI NJE NJE 2011, SHIRIKA LA KAZI DUNIANI KITENGO CHA UJASIRIAMALI (YOUTH ENTREPRENEURSHIP FACILITY) KWA KUSHIRIKIANA NA KITUO CHA TEHAMA CHA TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM (DIT) LINAKARIBISHA MAOMBI KUTOKA KWA VIJANA WAHITIMU WA VYUO VIKUU WENYE NDOTO NA MALENGO YA KUJIAJIRI KAMA... ...click the title/link to read more. |
Picha za Mkutano wa Viongozi wa CHADEMA Tanzania na U.K. Posted: 15 Oct 2012 11:40 PM PDT |
Waziri Mkuu, Pinda kusemezana na Watanzania wa London leo Posted: 15 Oct 2012 11:28 PM PDT Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda (Mtoto wa Mkulima) leo Alasiri ya Jumanne tarehe 16 Oktoba, 2012 anatarajiwa kuunguruma Jijini London katika mkutano wake na Watanzania waishio hapa Uingereza. Mheshimiwa Pinda ambaye yuko katika ziara fupi ya kibinafsi hapa London amerudia utaratibu wa kupenda kusemezana na Watanzania hata anapokuwa... ...click the title/link to read more. |
SkyLight Band yazidi kuongeza mashabiki Thai Village, Masaki, Dar Posted: 15 Oct 2012 10:15 PM PDT |
Ashikwa na mfadhaiko na kumdhalilisha mwanafunzi katika msiba wa Barlow Posted: 15 Oct 2012 09:47 PM PDT WAKATI vilio, simanzi na huzuni jana vikighubika jiji la Mwanza wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Liberatus Barlow, mwanafunzi wa darasa la tano amedhalilishwa kingono na mtu asiyefahamika. Mwanafunzi huyo alijikuta akifanyiwa udhalilishaji huo kwenye maungo yake sehemu ya makalio ambapo... ...click the title/link to read more. |
TBC - Taarifa ya habari; BBC - Aliyezusha Balozi Tsere kafukuzwa, akamatwa na Polisi Posted: 15 Oct 2012 12:59 PM PDT Bofya kifute cha pleya kusikiliza taarifa hiyo ya habari. Mwishoni mwa wiki iliyopita, kulikuwa na taarifa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mhe. Patrick L. Tsere amepewa barua na Serikali ya Malawi inayomtaka kuondoka nchini humo ndani ya saa 48 kutokana na maoni yanayohusiana na mipaka ya Ziwa Nyasa/Malawi aliyoyatoa redioni alipokuwa... ...click the title/link to read more. |
You are subscribed to email updates from Wavuti Updates To stop receiving these emails, you may unsubscribe now. | Email delivery powered by Google |
Google Inc., 20 West Kinzie, Chicago IL USA 60610 |