wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 14 |
- Taarifa ya habari, 3 Novemba 2012
- For Sale: A plot in Kibada, Kigamboni, Dar es Salaam
- video ya wimbo “Karate” wa J.Kassam feat. Juma Jazz
- U.S. debate: Nimejifunza mambo haya - Omary Ubuguyu
- Wamaasai Wakitumbuiza, Wamependeza.
- Ni nguvu za Kisiasa au nguvu za Rushwa - Godfrey Dilunga
- Ni nguvu za Kisiasa au nguvu za Rushwa @Godfrey Dilunga
- Mayai yanayotagwa na Umasikini @MasoudKipanya
- 9 things they don’t tell you in Guidebooks about Tanzania
- Kuna watu ni wachafu, halafu tena kuna hawa...
- Serikali yaamua kuagiza ARVs kutoka India
- Hotuba ya Mbowe akisifu juhudi za Rais Kikwete katika miundombinu Tanzania
- Is Romney’s Son gunning to steal Ohio vote by rigging voting machines?
- Rais Kikwete azindua Taasisi ya Nelson Mandela - Arusha
Taarifa ya habari, 3 Novemba 2012 Posted: 03 Nov 2012 11:35 AM PDT |
For Sale: A plot in Kibada, Kigamboni, Dar es Salaam Posted: 03 Nov 2012 09:22 AM PDT |
video ya wimbo “Karate” wa J.Kassam feat. Juma Jazz Posted: 03 Nov 2012 05:21 AM PDT |
U.S. debate: Nimejifunza mambo haya - Omary Ubuguyu Posted: 03 Nov 2012 05:18 AM PDT US DEBATE: NIMEJIFUNZA MAMBO HAYA:- Kiongozi wa US huwa anaomba ridhaa ya wananchi wamchague na kila anachosema au kuahidi kina maana kwa wapiga kura na kinaweza kumfanya ashinde au ashindwe. Unlike Tanzania Kiongozi anajua kila kitu na anachokisema ndio slogan ya chama na washabiki wake!Hadi asubuhi CNN wanatoa takwimu kuwa bado kuna 51% ya... ...click the title/link to read more. |
Wamaasai Wakitumbuiza, Wamependeza. Posted: 03 Nov 2012 05:17 AM PDT |
Ni nguvu za Kisiasa au nguvu za Rushwa - Godfrey Dilunga Posted: 03 Nov 2012 05:12 AM PDT ILIKUWA mwaka 1962, jijini Dar es Salaam, Rais Julius Nyerere kwa wakati huo alifungua semina ya Mkutano wa Vijana Duniani. Katika hotuba yake ya ufunguzi iliyopewa jina la The Second Scramble, alitetea ujamaa akisema utajiri wa nchi unapaswa kutatua kero za wananchi kwa usawa na kero za wachache. Kwa wakati huo, miaka 51 iliyopita, Tanzania... ...click the title/link to read more. |
Ni nguvu za Kisiasa au nguvu za Rushwa @Godfrey Dilunga Posted: 03 Nov 2012 05:12 AM PDT ILIKUWA mwaka 1962, jijini Dar es Salaam, Rais Julius Nyerere kwa wakati huo alifungua semina ya Mkutano wa Vijana Duniani. Katika hotuba yake ya ufunguzi iliyopewa jina la The Second Scramble, alitetea ujamaa akisema utajiri wa nchi unapaswa kutatua kero za wananchi kwa usawa na kero za wachache. Kwa wakati huo, miaka 51 iliyopita, Tanzania... ...click the title/link to read more. |
Mayai yanayotagwa na Umasikini @MasoudKipanya Posted: 03 Nov 2012 04:50 AM PDT |
9 things they don’t tell you in Guidebooks about Tanzania Posted: 03 Nov 2012 04:34 AM PDT Cross-posting this blog post from stuff.co.nz written by Kim Vinnell. --- Every day in Tanzania I come across something that surprises me, confuses me, or makes me stop and look around for someone else to share a "what the heck is that" moment with. Usually there's no one else there so I just take the little Tanzania gem and be on my way. But now... ...click the title/link to read more. |
Kuna watu ni wachafu, halafu tena kuna hawa... Posted: 03 Nov 2012 04:32 AM PDT |
Serikali yaamua kuagiza ARVs kutoka India Posted: 03 Nov 2012 02:50 AM PDT Taarifa hii imenukuliwa kutoka kwenye gazeti la HabariLeo, imeandikwa na Maulid Ahmed - Dodoma SERIKALI imeamua kuagiza dawa zote za kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI (ARVs) kutoka India, baada ya Kiwanda cha Tanzania Pharmaceutical Industries Limited (TPI) kudaiwa kuzalisha dawa feki. Aidha, imepanga kutoa tamko lake rasmi bungeni... ...click the title/link to read more. |
Hotuba ya Mbowe akisifu juhudi za Rais Kikwete katika miundombinu Tanzania Posted: 02 Nov 2012 06:00 PM PDT Mbunge wa Jimbo la Hai ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe akizungumza wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa Barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani Hai mkoa wa Kilimanjaro Oktoba 31, 2012. Ili kutizama na kusikiliza, tafadhali bofya picha hapo juu kufungua ukurasa wa youtube wenye... ...click the title/link to read more. |
Is Romney’s Son gunning to steal Ohio vote by rigging voting machines? Posted: 02 Nov 2012 06:00 PM PDT No, Romney's Son Is Not Gunning To Steal Ohio Vote By Rigging Voting Machines Story by NPR's by TAMARA KEITH Have you heard the story that's swept the liberal blogosphere in recent days about how Mitt Romney's son Tagg is going to steal the election for his dad? It's not true, but like all good conspiracy theories, it is based on kernels of... ...click the title/link to read more. |
Rais Kikwete azindua Taasisi ya Nelson Mandela - Arusha Posted: 02 Nov 2012 05:56 PM PDT |
You are subscribed to email updates from Wavuti Updates To stop receiving these emails, you may unsubscribe now. | Email delivery powered by Google |
Google Inc., 20 West Kinzie, Chicago IL USA 60610 |