10/28/12 | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
[ New Posts ] : Habari Mpya Zote - HAPA CHINI!!!
Labels :

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 19

Written By Mike Ntobi on Sunday, October 28, 2012 | 11:39 PM

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 19

Link to Wavuti Updates

There comes a time...

Posted: 28 Oct 2012 12:35 PM PDT


cross-posted from Chloe's Facebook page

...click the title/link to read more.

Mwanahabari aliyefichua, chapisha Wagiriki wenye akaunti Uswisi, akamatwa

Posted: 28 Oct 2012 12:31 PM PDT


Kama hukuiona habari iiliyotangulia, bofya hapa kuirejea, "Orodha ya Watanzania wenye akaunti Uswisi inakuja - @ZittoKabwe", ili upate mtiririko mzuri wa habari ifuatayo: --- Mwandishi wa habari mchunguzi wa Ugiriki amekamatwa kwa kuchapisha majina 2000 ya Wagiriki wanaosemekana kuwa na akaunti za benki Uswiswi. Orodha hiyo ilipelekwa kwa...

...click the title/link to read more.

Map, Math: Latest AP analysis on U.S. 2012 Election - Obama v/s Romney

Posted: 28 Oct 2012 12:00 PM PDT


AP Photo/C. Osgood A look at the race between President Barack Obama and Mitt Romney for the 270 electoral votes needed to win the White House. Obama is within reach, although North Carolina, which the Democrat carried in 2008, has begun leaning toward Romney, according to an Associated Press analysis. The analysis isn't intended to predict the...

...click the title/link to read more.

audio: Taarifa ya habari, picha: Rais Kikwete ziarani Mkoani Kilimanjaro

Posted: 28 Oct 2012 11:45 AM PDT


Rais Jakaya Mrisho Kikwete amelakiwa na viongozi mbalimbali na wananchi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro leo Oktoba 28, 2012 tayari kuanza ziara ya siku nne ya Mkoa wa Kilimanjaro akianzia Wilaya ya Same ambapo leo aliwasili katika uwanja wa stendi ya Same na kuhutubia mkutano wa hadhara. Zifuatazo ni picha...

...click the title/link to read more.

Shukran Allah - video song with lyrics and translation

Posted: 28 Oct 2012 10:29 AM PDT


A friend sent a song, "Shukran Allah" It's a Hindi song, below is the translation of the lyrics in English. The song  is from the movie Kurbaan (2009). shukran allah wallah alham dulillah - (4)  nazron se nazrein mili to  jannat si mehki fizaayein  lab ne jo lab chhoo liya to  aasmaan se barsi duaaien  aisi apni mohabbat  aisi...

...click the title/link to read more.

Ng’wanambiti agoma kujirahisi kutoa rushwa

Posted: 28 Oct 2012 10:18 AM PDT


Kila mahali ninakopita kwa barabara wazee wa feva wanataka bakshishi. Nimesafiri kwa gari nikiendesha mwenyewe toka Dar mpaka Kyela baada ya kutoka Mbinga na Songea huko Ruvuma nimekamatwa mara lukuki kwa 'makosa' ya kiusalama barabarani. Lakini mara zote hizo pamoja na kuniandikia 'Notification' nimeondoka zangu bila kulipa. Unaweza kudhani kuwa...

...click the title/link to read more.

Semina la Mwl. Mwakasege: Washington D.C, Novemba 23 - 25, 2012

Posted: 28 Oct 2012 08:44 AM PDT




...click the title/link to read more.

Watanzania: TBC ni mali ya nani?

Posted: 28 Oct 2012 07:03 AM PDT


E. Mkoko Imeandikwa na Egbert Mkoko, Grahamstown, Afrika Kusini --- NAOMBA nianze makala haya kwa kuelezea kisa kilichotokea hapa Afrika Kusini mwaka 2006 kikiihusisha shirika la utangazaji nchini humu SABC, na kutawala vyombo vya habari kwa muda wa karibu nusu mwaka, kuanzia Juni mwaka huo hadi mwezi wa Desemba. SABC iliingia katika msukosuko...

...click the title/link to read more.

TRAB rejects Konoike tax case, Now required to pay Sh2.1bn

Posted: 28 Oct 2012 05:58 AM PDT


Story by Bernard James, The Citizen Reporter, via TheCitizen.co.tz, Dar es Salaam. Roadworks contractor Konoike has failed in its attempt to overturn a taxation assessment that ultimately compels it to pay Tanzania Revenue Authority (TRA) Sh2.1 billion in unremitted value-added tax. The Tax Revenue Appeals Board (TRAB) has rejected a petition...

...click the title/link to read more.

TAKUKURU ndiyo vinara wa rushwa !

Posted: 28 Oct 2012 05:05 AM PDT


Habari hii imeandikwa na Happiness Mnale via Tanzania Daima WABUNGE wameigeuzia kibao Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwa ndiyo inaongoza kwa vitendo vya rushwa. Wakizungumza kwa jazba jana jijini Dar es Salaam katika semina ya siku moja iliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa, ikiwa ni harakati ya mapambano ya rushwa, wabunge hao...

...click the title/link to read more.

Padre Salutaris Massawe atazikwa Jumanne huko Mshindo, Iringa

Posted: 28 Oct 2012 03:46 AM PDT


Mwili wa Mkuu wa Shirika la Wamisionari wa Consolata nchini Tanzania, Padre Lello Salutaris Lucas Massawe utazikwa Jumanne ijayo katika Parokia ya Mshindo mkoani Iringa.  Padre Leonard Maliva wa Shirika la Consolata Mako makuu Iringa, alisema, Padre Massawe aliishi katika Parokia ya Consolata Mshindo, na atazikwa huko. Kabla ya kuwa mkuu wa...

...click the title/link to read more.

Mother apologises for teen’s action on Qur’an; She is terrified, lives in fear

Posted: 27 Oct 2012 11:38 PM PDT


Story by Florence Majani, The Citizen Corresponden Dar es Salaam via TheCitizen.co.tz The mother of the teen whose actions sparked outrage and religious protests across the city says she is sorry and that her boy's misdeed was the act of a foolhardy child. Ms Teresia Josephat told The Citizen on Saturday in an exclusive interview that she raised...

...click the title/link to read more.

Marehemu Kamanda Barlow na tu-Utajiri t-Wake

Posted: 27 Oct 2012 11:21 PM PDT


SIKU chache baada ya Jeshi la Polisi kutoa taarifa yake ya uchunguzi kuhusu kifo cha aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, umeibuka utata wa mali alizokuwa akimiliki, huku akidaiwa kumiliki utajiri wa kutisha likiwamo jengo la ghorofa. Habari za kiuchunguzi zilizopatikana zinaeleza kuwa mbali ya jengo hilo, Kamanda Barlow...

...click the title/link to read more.

Orodha ya Watanzania wenye akaunti Uswisi inakuja - @ZittoKabwe aanza

Posted: 27 Oct 2012 10:53 PM PDT


Hii ni nukuu kutoka kwenye ukurasa wa Facebook wa Zitto Kabwe (Mb) ikiambatana na linki ya NYTtimes.com iliyobeba habari, "List of Swiss Accounts Turns Up the Heat in Greece" inayoshabihiana na kuhusiana na nia yake ya kuchunguza na kisha kuzianika akaunti za Watanzania zilizoko nchini Uswisi:          " Kwa nchi za wenzetu magazeti ya uchunguzi...

...click the title/link to read more.

Claims: Tanzania local pilots ‘locked out by foreigners’

Posted: 27 Oct 2012 10:29 PM PDT


Story by Bernard Lugongo, The Citizen Reporter - Dar es Salaam,  via TheCitizen Local pilots have raised concern over the high number of foreign pilots in the aviation sector that they claim has left most of them jobless. According to the secretary general of the Professional Association of Tanzania Pilots (PATP), Capt Khalid Iqbal, 60 per cent...

...click the title/link to read more.

Bodi ya Mikopo ya HELSB kuvunjwa ili ijiendeshe yenyewe

Posted: 27 Oct 2012 10:27 PM PDT


Imeandikwa na Gloria Tesha via HabariLeo SERIKALI imesema inatarajia kuunda upya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSB) ili ijiendeshe yenyewe na kupunguza utegemezi wa Serikali na kuwezesha kurejesha Sh trilioni 1.1 zilizokopwa na wanafunzi. Kwa mujibu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, hivi sasa Bodi hiyo inapata asilimia...

...click the title/link to read more.

Barazani Alliance Francaise

Posted: 27 Oct 2012 10:26 PM PDT


Shukurani ya picha @Wenger Rubaya

...click the title/link to read more.

Tanzania law changes worry investors - AngloGold

Posted: 27 Oct 2012 10:25 PM PDT


ARUSHA, Tanzania (Reuters) - Tanzania should stick to existing agreements in the fast-growing mining sector or investors will lose confidence, the company which owns the country's biggest gold mine said on Saturday. Major international miners are still in talks with the government two years after it passed mining legislation that included a rise...

...click the title/link to read more.

Shule 2 vinara wa Sayansi: Kibosho (Wasichana), Ilboru (Wavulana)

Posted: 27 Oct 2012 10:24 PM PDT


SHULE mbili za Sekondari za Mikoa ya Kanda ya Kaskazini, zimeibuka kidedea katika mashindano ya Sayansi yaliyoandaliwa na taasisi inayoinua na kukuza vipaji vya Sayansi nchini (YST). Shule hizo ambazo ni Shule ya Wasichana Kibosho iliyopo mkoani Kilimanjaro na Ilboru iliyopo mkoani Arusha, zilifanikiwa kuzibwaga zaidi ya shule 100 zilizoshiriki...

...click the title/link to read more.
Get our toolbar!Get our toolbar!
  • Alexaporn - XXX (+18) Search!Alexaporn - XXX (+18) Search!
 
Sell Your Products At TripleClicks!Share Links Earn Money!
cafepress.com/nicemike
Sale Online!
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger