wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 17 |
- Uamuzi wa pingamizi la kesi ya Ubunge ya Godbless Lema ni Jumatatu
- Huku TANESCO wakikanusha kuhusu mgawo, @JJMnyika awashitaki Prof. Muhongo, Maswi kwa Spika kwa kuupotosha Umma juu ya hali tete ya umeme
- Call for applications: The Schlumberger Foundation
- Taarifa ya uteuzi wa viongozi wapya wa Idara ya Wanyamapori
- Tanzania UN Family Day yafana katika sherehe za kuadhimisha miaka 67
- Baada ya kumwua mwanaye kwa kumtumhumu kuiba sangara, asingizia uchawi
- Rais Kikwete afunga Mkutano Mkuu wa UWT
- Taarifa ya Jeshi la Ulinzi: Ujumbe wa simu kuhusu mabomu
- Magufuli, Magufuli, aagghh Aibu hii, umekimbiza maua ya wenzio!! teh!
- Tanzania disowns containers of ivory caught in Hong Kong
- Tanzanian Unit Gas Output May Drop as Program Ends
- Tanzania's Seventh Day Adventist Church cancels all public evangelistic meetings
- Cholera outbreak in Haiti, 'most likely' started at UN camp - Top Scientist
- Ust. Farid na vigogo 4 wa ‘Uamsho’, wahojiwa, kupandishwa kizimbani
- Tina anawuliza Ziro: Kama Mama ni Madha, Kaka ni ...!
- Pope Benedict XVI holds Consistory, announces canonizations
- Lowassa azindua Maonesho ya Miaka 10 ya VOCOBA
Uamuzi wa pingamizi la kesi ya Ubunge ya Godbless Lema ni Jumatatu Posted: 22 Oct 2012 09:40 AM PDT Aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema (katikati) akiwa na Mawakili, Alute Mughway (kushoto) aliyesimamia kesi iliyomvua Ubunge na Mbunge wa Singida Mashariki ambaye pia ni wakili katika kesi ya kupinga kuvuliwa Ubunge wake, Tundu Lissu, katika msiba wao baba yao Alute na Lissu aliyefariki hivi kaibuni jijini Dar es salaam na kisha... ...click the title/link to read more. |
Posted: 22 Oct 2012 09:23 AM PDT Kambi ya Upinzani Bungeni imewashitaki Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, Naibu Waziri, George Simbachawene, pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Eliakim Maswi kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda, ikitaka wawajibike kutokana na kupotosha ukweli katika kuelezea hali tete ya umeme nchini. Waziri Kivuli wa Nishati na Madini, John... ...click the title/link to read more. |
Call for applications: The Schlumberger Foundation Posted: 22 Oct 2012 09:45 AM PDT Call for applications: The Schlumberger Foundation is accepting applications for the 2013–2014 Faculty for the Future Fellowships. Deadline for new applications: 16 November 2012; for renewals: 9 November 2012. The Schlumberger Foundation Faculty for the Future programme awards fellowships to women from developing and emerging economies to pursue... ...click the title/link to read more. |
Taarifa ya uteuzi wa viongozi wapya wa Idara ya Wanyamapori Posted: 22 Oct 2012 08:54 AM PDT Prof. Songorwa Prof. Kidegheshon Profesa Alexander Nyangero Songorwa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori (Wildlife Division) kuziba nafasi iliyokuwa wazi. Kabla ya kuteuliwa Profesa Nyangoro alikuwa Profesa Mshiriki katika Usimamizi wa Wanyamapori, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Morogoro. Pia ndiye... ...click the title/link to read more. |
Tanzania UN Family Day yafana katika sherehe za kuadhimisha miaka 67 Posted: 22 Oct 2012 08:51 AM PDT Mchezaji wa timu ya UN akiruka sarakasi baada ya kurudisha goli kwa timu ya Wizara ya Mambo ya nje katika kipindi cha pili cha mchezo huo. Kikosi cha timu ya Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa katika picha ya pamoja. Kikosi cha timu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Mechi ya Kirafiki kati ya timu ya... ...click the title/link to read more. |
Baada ya kumwua mwanaye kwa kumtumhumu kuiba sangara, asingizia uchawi Posted: 22 Oct 2012 08:45 AM PDT Habari imeandikwa na Pascal Michael, Butiama Mkazi mmoja wa kitongoji cha Mkuyuni katika kijiji cha Nyamisisi, Kata ya Kukirango, Wilayani Butiama, Mkoani Mara Pendo Masamaki amemwua mwanaye baada ya kumpa adhabu ya kumywesha maji majagi matatu na kumchapa viboko kwa kumtuhumu kuiba kipande cha samaki aina ya sangara. Tukio hilo limetokea siku... ...click the title/link to read more. |
Rais Kikwete afunga Mkutano Mkuu wa UWT Posted: 22 Oct 2012 08:35 AM PDT |
Taarifa ya Jeshi la Ulinzi: Ujumbe wa simu kuhusu mabomu Posted: 22 Oct 2012 08:13 AM PDT JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA Taarifa kwa Vyombo vya Habari 22 Oktoba, 2012 Zipo taarifa ambazo katika wiki hii zimetumwa kwa njia ya simu za mikononi (SMS) zikitahadharisha wananchi wasiokote kitu chochote ambacho wanamashaka nacho, kuwa kuna mabomu yamerushwa toka Malawi. Kwamba mabomu hayo yapo zaidi ya 30 na yenye uzito... ...click the title/link to read more. |
Magufuli, Magufuli, aagghh Aibu hii, umekimbiza maua ya wenzio!! teh! Posted: 22 Oct 2012 05:31 AM PDT |
Tanzania disowns containers of ivory caught in Hong Kong Posted: 22 Oct 2012 04:01 AM PDT The following news story seems to be an update in response to CNN's, "4 tons of ivory caught in Hong Kong; Containers came from Tanzania, Kenya" --- TANZANIAN wildlife authorities have disowned a consignment of elephant tusks seized in Hong Kong that were reported to have been shipped from the country. The Wildlife Officer in the Ministry... ...click the title/link to read more. |
Tanzanian Unit Gas Output May Drop as Program Ends Posted: 22 Oct 2012 03:42 AM PDT Cross-posting this from: Bloomberg.com Gas output at Globeleq Inc.'s Tanzanian unit may drop 30 percent in December after a temporary program to increase daily capacity ends, said Sebastian Kastuli, commercial manager at Songas Ltd. Production may decline to 70 million standard cubic feet a day, which is the company's installed capacity, from... ...click the title/link to read more. |
Tanzania's Seventh Day Adventist Church cancels all public evangelistic meetings Posted: 22 Oct 2012 03:23 AM PDT Dear Adventist Church Leaders, Following the Statement of the government to ban all religious public meetings for thirty days with effect from today October 21, 2012, Tanzania Union Administration of the Seventh Day Adventist Church Directs that we adhere to this directive by canceling all public evangelistic meetings which were falling within... ...click the title/link to read more. |
Cholera outbreak in Haiti, 'most likely' started at UN camp - Top Scientist Posted: 21 Oct 2012 11:37 PM PDT Cross-posting this from The BBC, by Mark Doyle, BBC International Development Correspondent - Haiti and Boston New evidence has emerged about the alleged role of United Nations troops in causing a cholera epidemic in the Caribbean nation of Haiti. A top US cholera specialist, Dr Daniele Lantagne, said after studying new scientific data that... ...click the title/link to read more. |
Ust. Farid na vigogo 4 wa ‘Uamsho’, wahojiwa, kupandishwa kizimbani Posted: 21 Oct 2012 09:38 PM PDT UPDATE saa saba na dakika kumi mchana (majira ya Afrika Mashariki): Katika taarifa yake ya saa saba mchana, leo Jumatatu, Oktoba 22, 2012, TBC imeripotikuwa Ustaadh Farid pamoja na raia wengine wamepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Mwanakwerekwe, Zanzibar. Ripota wa TBC, Musa Fumu ametaarifu kuwa Farid amepandishwa mesomewa mashitaka... ...click the title/link to read more. |
Tina anawuliza Ziro: Kama Mama ni Madha, Kaka ni ...! Posted: 21 Oct 2012 09:32 PM PDT |
Pope Benedict XVI holds Consistory, announces canonizations Posted: 21 Oct 2012 09:25 PM PDT Pope Benedict XVI held an Ordinary Public Consistory today, during which he created 22 new Cardinals and announced the date of the canonization of 7 Blessed, including Marianne Cope and Kateri Tekakwitha. The Holy Father created 18 new Cardinal-electors, bringing the number of voting Cardinals to 125. Among them were: - Edwin Frederick... ...click the title/link to read more. |
Lowassa azindua Maonesho ya Miaka 10 ya VOCOBA Posted: 21 Oct 2012 09:23 PM PDT Mh. Lowassa akitoa hotuba yake ambapo aliwapongeza wana VICOBA kwa kuweza kujiajiri, akikumbushia kwua tatizo la ajira nchini bado ni kubwa na ni bomu linaweza kulipuka wakati wowote. Maonesho hayo yataendelea mpaka Jumamosi ijayo, Oktoba 27, 2012. Picha via Othman Michuzi; Habari ya maandishi imeandikwa na Anastazia Anyimike via... ...click the title/link to read more. |
You are subscribed to email updates from Wavuti Updates To stop receiving these emails, you may unsubscribe now. | Email delivery powered by Google |
Google Inc., 20 West Kinzie, Chicago IL USA 60610 |