wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20 |
- Taarifa ya habari Novemba 6, 2012
- Watch 2012 U.S Presidential Election Day LIVE coverage online
- Vurugu za kidini: Serikali yaifungia Sekondari ya Magambani
- Taarifa ya habari Novemba 6, 2012
- Rais Kikwete akagua miradi 19 katika wiki moja - Taarifa ya Ikulu
- Sherehe ya kufunga maonesho ya MOWE 2012 Jijini Dar es Salaam
- Wanafunzi wote wasinzia darasani, nusu saa tu baada ya mtihani kuanza
- Umesimamishwa na Polisi wakati ukiendesha? Zijue haki na Wajibu wako
- Cairo-to-Dar expedition coming soon via Siag Travel Agent of Egypt
- Paka na kikombe... kaazi kweli kweli
- CCM yalaani shambulio la tindikali dhidi ya Sheikh Fadhili Soraga
- Tanzia: Askofu Mkuu wa Shinyanga, Aloysius Balina
- Kwa hasira ya ukosefu wa mafuta, Mbeya walifunga barabara, Halafu...
- M-pesa kunufaisha zaidi Watanzania
- Zanzibar: Sheikh Soraga ajeruhiwa kwa kumwagiwa tindikali usoni
- Meshack Maganga: Kwenye Ujasiramali ng’ombe wa Masikini huzaa - II
- Hatimaye Serikali yathibitisha, yatamka: TPI ilitengeneza ARVs bandia
- Is this a real lion or a toy? One Tanzania seeks to find out...
- Rushwa ya ununuzi bidhaa: Bandari, Halmashauri vinara; JKT yafungiwa
- Mauaji ya Barlow: Mtuhumiwa alihudhuria mazishi, akamatwa na vielelezo
Taarifa ya habari Novemba 6, 2012 Posted: 06 Nov 2012 09:13 AM PST Zaidi ya kaya 25 katika kijiji cha Musanja kata ya Murangi wilayani Butiama mkoa wa Mara hazina makazi baada ya nyumba zao zaidi ya 40 kuharibiwa vibaya na mvua kubwa ambayo imenyesha katika eneo hilo ikiambatana na upepo mkali na kusababisha uhalibifu wa chakula. ...click the title/link to read more. |
Watch 2012 U.S Presidential Election Day LIVE coverage online Posted: 06 Nov 2012 09:47 AM PST image courtesy: Google/YouTube Starting at 8pm ET, most news stations will bring you LIVE coverage of the 2012 U.S Presidential election between the incumbent President, Barack Obama (Democratic) na Mitt Romney (Republican). The stations will also bring you coverage from key House, Senate and Governor races. Join Americans for election night... ...click the title/link to read more. |
Vurugu za kidini: Serikali yaifungia Sekondari ya Magambani Posted: 06 Nov 2012 09:22 AM PST Serikali wilayani Bagamoyo leo imetangaza kuifunga Shule ya Sekondari Bagamoyo maarufu kama Magambani kwa muda usiojulikana kutokana na madai ya kuzuka ghasia za kidini. Kwa mujibu wa vyanzo vya habari, imeelezwa kwamba ulifanyika uchaguzi wa Kiongozi wa wanafunzi shuleni hapo ambapo wagombea walikuwa ni wawili, mmoja wa dini ya Kikristo na... ...click the title/link to read more. |
Taarifa ya habari Novemba 6, 2012 Posted: 06 Nov 2012 09:13 AM PST |
Rais Kikwete akagua miradi 19 katika wiki moja - Taarifa ya Ikulu Posted: 06 Nov 2012 09:08 AM PST TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amerejea Dar es Salaam mchana wa leo, Jumanne, baada ya kumaliza ziara ya siku tisa katika mikoa minne ambako amekagua, kuanzisha ama kuzindua miradi 19 ya maendeleo na kutembea... ...click the title/link to read more. |
Sherehe ya kufunga maonesho ya MOWE 2012 Jijini Dar es Salaam Posted: 06 Nov 2012 09:07 AM PST Mkurugenzi wa Shirika la kazi nchini Tanzania (ILO) Bw. Alexio Musindo akitoa hotuba yake siku ya kufunga maonyesho ya wajasiria mali MOWE 2012 yaliyokuwa yakifanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Balozi wa Malawi nchini Tanzania Bi. Flossie Gomile Chidyaonga akitoa hotuba yake kwa wajasiria mali wa MOWE 2012. ... ...click the title/link to read more. |
Wanafunzi wote wasinzia darasani, nusu saa tu baada ya mtihani kuanza Posted: 06 Nov 2012 07:06 AM PST Mohamedi Mtoi Picha zinawaonesha wanafunzi waliokuwa katika chumba cha darasa wakifanya mtihani wa Taifa wa kidato cha pili ulioanza jana nchini kote Tanzania. Wanafunzi hawa walianza kusinzia mmoja mmoja ilipogonga nusu saa tu baada ya muda wa kuanza mtihani wa Hisabati ambao ulipangiwa saa mbili. Wanafunzi walionekana hoi huku wengi... ...click the title/link to read more. |
Umesimamishwa na Polisi wakati ukiendesha? Zijue haki na Wajibu wako Posted: 06 Nov 2012 06:12 AM PST Asante mdau F.M kwa kushirikisha wana wavuti.com taarifa hii. UMESIMAMISHWA NA POLISI.pdfFile Size: 1579 kbFile Type: pdfDownload File ...click the title/link to read more. This posting includes an audio/video/photo media file: Download Now |
Cairo-to-Dar expedition coming soon via Siag Travel Agent of Egypt Posted: 06 Nov 2012 06:04 AM PST Some of the Cairo-to-Cape adventurers cheering on arrival at the Ngorongoro rim before going down to the crater floor with officials from NCAA and TTB By Geofrey Tengeneza. Siag Travel Agent of Egypt is in the process of organizing an annual Cairo-to-Dar expedition with effect from January next year. This was disclosed by its Chairman and... ...click the title/link to read more. |
Paka na kikombe... kaazi kweli kweli Posted: 06 Nov 2012 03:49 AM PST |
CCM yalaani shambulio la tindikali dhidi ya Sheikh Fadhili Soraga Posted: 06 Nov 2012 03:42 AM PST Chama Cha Mapinduzi kinasikitishwa na kitendo cha kinyama alichofanyiwa Sheikh Fadhili Soraga cha kumwagiwa tindikali sehemu ya uso na kifuani. Sheikh Soraga ni mtu maarufu hapa Zanzibar kwani huwa anashiriki katika shughuli mbali mbali za kidini hapa nchini, yeye ni Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar. Sheikh Soraga amefanyiwa unyama huo na watu... ...click the title/link to read more. |
Tanzia: Askofu Mkuu wa Shinyanga, Aloysius Balina Posted: 06 Nov 2012 03:35 AM PST Salamu za Rais Kikwete za rambirambi kwa kifo cha Askofu Balina Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Novemba 6, 2012, amelitumia Kanisa Katoliki Tanzania salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha Askofu wa Jimbo Katoliki la Shinyanga, Mhashamu Baba Askofu Aloysius Balina aliyefariki dunia majira... ...click the title/link to read more. |
Kwa hasira ya ukosefu wa mafuta, Mbeya walifunga barabara, Halafu... Posted: 06 Nov 2012 03:19 AM PST |
M-pesa kunufaisha zaidi Watanzania Posted: 06 Nov 2012 02:03 AM PST Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania, Rene Meza Katika kuendeleza azma yake ya kuwawezesha wananchi kubadili maisha kupitia teknolojia ya simu za mkononi, kampuni ya Vodacom Tanzania sasa inawawezesha wateja wake kutumia huduma ya M-pesa kwa faida zaidi katika kila muamala wa utumaji wa pesa. Kupitia uwezeshaji huo sasa mteja wa Vodacom anaetuma... ...click the title/link to read more. |
Zanzibar: Sheikh Soraga ajeruhiwa kwa kumwagiwa tindikali usoni Posted: 06 Nov 2012 01:40 AM PST Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga katika kiti cha magurudumu Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga akitolewa katika Chumba cha Huduma ya Mwanzo katika Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya kurushiwa Tindi kali na watu wasiojulikana wakati akifanya mazowezi huko katika Kiwanja cha Mwanakwerekwe. Katibu wa Mufti wa... ...click the title/link to read more. |
Meshack Maganga: Kwenye Ujasiramali ng’ombe wa Masikini huzaa - II Posted: 05 Nov 2012 11:32 PM PST Mwendelezo wa makala ya Meshack Maganga-Iringa. Katika sehemu ya kwanza ya makala hii, nilielezea mitazamo mbalimbali na misemo atumiayo binadamu kujikweza au kujishusha,mojawapo ni methali isemayo "Ng'ombe wa masikini hazai" nilieleza kwamba iwapo Ng'ombe wa masikini atatunzwa lazima azae tena naweza kuzaa mapacha. Nilieleza kwa kifupi... ...click the title/link to read more. |
Hatimaye Serikali yathibitisha, yatamka: TPI ilitengeneza ARVs bandia Posted: 05 Nov 2012 10:35 PM PST LICHA ya wamiliki wa kiwanda cha Tanzania Pharmaceutical Industries Limited (TPI) kukana kutengeneza na kusambaza dawa bandia za kupunguza makali ya UKIMWI, serikali imethibitisha kuwa kiwanda hicho ndicho kilitengeneza dawa hizo aina ya TT-VIR 30 yenye toleo Na OC.01.85. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa... ...click the title/link to read more. |
Is this a real lion or a toy? One Tanzania seeks to find out... Posted: 05 Nov 2012 10:33 PM PST |
Rushwa ya ununuzi bidhaa: Bandari, Halmashauri vinara; JKT yafungiwa Posted: 05 Nov 2012 10:23 PM PST MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA), imetajwa kuongoza kwaviashiria vya rushwa katika ununuzi wa bidhaa na huduma unaosimamiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA). Mkurugenzi Mtendaji wa PPRA, Ramadhani Mlinga alisema hayo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ukaguzi wa ununuzi katika taasisi za umma uliofanyika hadi... ...click the title/link to read more. |
Mauaji ya Barlow: Mtuhumiwa alihudhuria mazishi, akamatwa na vielelezo Posted: 05 Nov 2012 10:03 PM PST POLISI mjini Mwanza imebaini kuwa mmoja wa watuhumiwa wa mauaji ya aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, alikwenda kuaga mwili wa Kamanda huyo katika uwanja wa Nyamagana sambamba na wananchi wengine. Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, Lily Matola jana alimtaja mtuhumiwa huyo kuwa ni Abdallah Petro 'Ndayi' (32)... ...click the title/link to read more. |
You are subscribed to email updates from Wavuti Updates To stop receiving these emails, you may unsubscribe now. | Email delivery powered by Google |
Google Inc., 20 West Kinzie, Chicago IL USA 60610 |