wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 11 |
- Taarifa ya Habari Oktoba 13, 2012; Matokeo ya Chaguzi za CCM-Mkoa
- Top Model Redds Miss Tanzania 2012 - Mmoja wa hawa atavishwa taji
- Innocent Kalogeris achaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa CCM-Mogororo
- Kituo Kikuu cha Mabasi sasa kuhamishiwa Mbezi Luis
- Special Offer this Sunday: Tigo Mama Africa Circus 2012
- Vifo vyenye utata Tanzania: LHRC yaishitaki rasmi Serikali huko ICC
- Kupasha ngoma moto
- Suala la ARVs bandia Tanzania: Watumiaji watishia kushitaki
- Watoto 12 waliompiga paka, wapoteza fahamu
- Tanzia: Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza auawa
- Developing story: Malawi gives Tanzanian ambassador 48 hrs to leave
Taarifa ya Habari Oktoba 13, 2012; Matokeo ya Chaguzi za CCM-Mkoa Posted: 13 Oct 2012 12:25 PM PDT Dondoo za taarifa hii: Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi kuhusu kifo cha Kamanda Liberatus Barlow. Rais Kikwete ametembelea eneo la Mbagala kulikotokea vurugu jana. Zaidi ya watu 100 wamehojiwa kuhusiana na vurugu za Mbagala jana, 36 wanashikiliwa na Polisi. Chaguzi za viongozi wa CCM ngazi za mkoa zimefanyika katika mikoa mbalimbali... ...click the title/link to read more. |
Top Model Redds Miss Tanzania 2012 - Mmoja wa hawa atavishwa taji Posted: 13 Oct 2012 10:02 AM PDT WAREMBO 30 wanaowania taji la Redds Miss Tanzania 2012 kesho Oktoba 13, 2012 wanatarajia kupandaa katika jukwaa la Naura Spring Hotel jijini Arusha kuwania taji la Top Model ambapo mshindi atapata tiketi ya kuingia nusu fainali ya Mashindano ya Miss Tanzania mwaka huu. Shindano hilo la aina yake na lililopewa uzito kama fainali zenyewe... ...click the title/link to read more. |
Innocent Kalogeris achaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa CCM-Mogororo Posted: 13 Oct 2012 09:21 AM PDT Habari na picha kwa mujibu wa Juma Mtanda via blog, Morogoro --- Chama cha Mapinduzi, CCM, Mkoa wa Morogoro kimempata Mwenyekiti wake Mpya Ndugu, Innocent Kalogeris ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini. Kalogeris alishinda nafasi hiyo kwa kupata kura 779 dhidi ya Mwenyekiti aliyemaliza muda wake, Petro Kingo aliyepata kura 291 na... ...click the title/link to read more. |
Kituo Kikuu cha Mabasi sasa kuhamishiwa Mbezi Luis Posted: 13 Oct 2012 09:05 AM PDT Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Saidi Meck Sadiki amesema ujenzi wa kituo kipya cha mabasi yaendayo mikoani kinatarajiwa kujengwa eneo la Mbezi Ruis. Akizungumza na NIPASHE, alisema serikali imeanza mkakati wa kuwahamisha wakazi wa eneo hilo ili kupisha ujenzi wa kituo kipya cha mabasi kwani kituo cha Ubungo kinachotumika hivi sasa, kitatumika kwa... ...click the title/link to read more. |
Special Offer this Sunday: Tigo Mama Africa Circus 2012 Posted: 13 Oct 2012 02:15 AM PDT This Sunday at the 8pm showing of Tigo Mama Africa Circus, Buy one ticket and Get one for free!!! Celebrating Mwalimu Nyerere Day. Entertainment for the whole family. THE SHOW THAT WILL BE HELD AT MWENGE NEW WORLD CENIMA @ MANCOM CENTRE YOUR MOST WELCOME & DONT MISS OUT. PRICE: ADUTS RING SIDE:30,000 ADUTS BALCONY 20,000 CHILDREN RING... ...click the title/link to read more. |
Vifo vyenye utata Tanzania: LHRC yaishitaki rasmi Serikali huko ICC Posted: 13 Oct 2012 02:05 AM PDT MAUAJI ya mwandishi wa habari wa kituo cha runinga cha Channel Ten, Daudi Mwangosi, na ya raia wengine yamezidi kuichafua Serikali ya Tanzania, na sasa imefunguliwa mashitaka katika Mahakama ya Uhalifu ya Kimataifa (ICC) iliyoko The Hague, Uholanzi. Mbali ya mashitaka hayo yaliyopelekwa huko tangu Septemba 28, mwaka huu, Tanzania pia imeshitakiwa... ...click the title/link to read more. |
Posted: 13 Oct 2012 02:01 AM PDT |
Suala la ARVs bandia Tanzania: Watumiaji watishia kushitaki Posted: 13 Oct 2012 01:37 AM PDT BAADHI ya wananchi wanaoishi na Virusi vya UKIMWI (VVU) mkoani Rukwa wametishia kuwasiliana na wanasheria wao ili waweze kuwashtaki mahakamani wote waliobainika kuhusika kusambazwa kwa Dawa za Kupunguza Makali ya Ukimwi (ARVs) ambazo ni bandia ili washtakiwe na kuchukuliwa hatua kali za kisheria. Wamewafananisha wote hao kuwa ni sawa na wauaji na... ...click the title/link to read more. |
Watoto 12 waliompiga paka, wapoteza fahamu Posted: 13 Oct 2012 01:30 AM PDT |
Tanzia: Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza auawa Posted: 13 Oct 2012 12:39 AM PDT UPDATE: Video (youtube via GSengo) ya taarifa ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. UPDATE: (audio) - Kauli ya Kamanda Mwema kuhusu kifo cha Kamanda Barlow UPDATE: - Kwa mujibu wa blogu ya FPLUSS na taarifa za marafiki wa Facebook: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza RPC Liberatus Barlow ameuwa usiku wa kuamkia leo na watu wanaosadikiwa... ...click the title/link to read more. |
Developing story: Malawi gives Tanzanian ambassador 48 hrs to leave Posted: 12 Oct 2012 02:51 PM PDT |
You are subscribed to email updates from Wavuti Updates To stop receiving these emails, you may unsubscribe now. | Email delivery powered by Google |
Google Inc., 20 West Kinzie, Chicago IL USA 60610 |