03/22/14 | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
[ New Posts ] : Habari Mpya Zote - HAPA CHINI!!!
Labels :

Wema Sepetu na Diamond - Mapenzi ya Kitoto

Written By Mike Ntobi on Saturday, March 22, 2014 | 1:02 PM


"Kama ni msh**enzi ndo wangu, tahira wangu, hafai ndo tayari wangu".
"...Hii ni kauli ya Wema Sepetu kuhusu Diamond baada ya kumfuma akiwa na Victoria Kimani"

Kupitia You heard ya XXL Clouds FM March 14, 2014 zilitoka stori kwamba Wema Sepetu amekwenda na kumfanyia fujo Diamond Platnumz studio. 

Hiyo ilitokana na kuona video ya Diamond akiwa na Victoria Kimani studio, msichana ambae amewahi kutajwa kuwa mapenzini nae. 

Baada  ya  Stori  hizo, Jana Wema Abraham Sepetu alipost picha ( hiyo  hapo juu )  kwenye Instagram ikimuonesha Diamond akiwa amelala na ana alama ya lips za midomo iliyokuwa na lipstick nyekundu na kuandika yake. 



Nasib Abdul - a.k.a. "Diamond Platnumz"

“Da love of my life.... Dats wat he is.... Our life, our rules.... Sipendi watu wanavyoingilia my love life kabisa.... I am his nd he is mine... dats jus it.... Kama ni mshenzi ndo wangu, tahira wangu, hafai ndo tayari wangu.... Love him jus like dat.... 

Mapenzi huwa hayaingiliwi hata siku moja.... Nd dey say wapenzi wakigombana chukua jembe ukalime, hawakukosea at all... With all due respect stop talking shit bout my baby.... 

Cuz at da end of da day he is da one I love nd I aint scared to.say it.... Nd I aint gon.stop... Call me stupid, crazy or whatever"
Get our toolbar!Get our toolbar!
  • Alexaporn - XXX (+18) Search!Alexaporn - XXX (+18) Search!
 
Sell Your Products At TripleClicks!Share Links Earn Money!
cafepress.com/nicemike
Sale Online!
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger