Martin Luther King (Snr & Jnr) with Grandson. |
Wachungaji wa-3 walikuwa wakielezana matatizo yao ili waombeane:
1. Wa kwanza: Tatizo langu kila nikitoka kwenye ibada lazima niibe SADAKA na ZAKA naomba mniombee niache hii tabia.
2. Wa pili: Napenda wanawake kila mwanamke natamani nilale nae,nishalala na wanakwaya karibu wote,niombeeni niache tabia hii.
3. Wa tatu: Akaanza kulia wenzake wakamuuliza wewe vipi mbona unalia?akawaambia tatizo langu ni umbea yaani mliyosema hapa yote lazima nikasimulie kanisani niombeeni niache umbea,hahahhaa.
NAWATAKIA SIKU NJEMA.