Written By Mike Ntobi on Tuesday, November 27, 2012 | 11:50 PM
Kevin Bridges.
Dealing with even more of your nonsense problems in the way only he can, Surgery is in session with the Scottish stand-up turned AskMen Agony Uncle, Kevin Bridges.
"At the very furthest extremes, both parties would have us living in dirt floor huts, reading books by candlelight."
First things first: I think we reached our saturation point for all things election-related sometime around two months ago, and so for whatever degree of fatigue this brings you, I apologize. But I also specifically waited until after the election before sharing my thoughts, a) because it’s not my or AskMen’s job to influence anyone’s politics and b) to hopefully avoid an onslaught from rabid Obama supporters looking to defend their candidate. It’s over; he won. There’s nothing left to support or defend.
MSANII WA VICHEKESHO NA MUZKI SHARO MILIONEA AMEFARIKI LEO HUKO MUHEZA TANGA KWA AJALI YA GARI AMBAPO NDUGU YAKE WA KARIBU SNURA MUSHI AMETHIBITISHA TUKIO HILO KWA NJIA YA SIMU .....
Naye Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Afande Constatine Masawe, amethibitisha kutokea kwa kifo cha wa Sharobaro, kufuatia ajali ya gari katika kijiji cha Lusanga, Muheza, mkoani Tanga ambako ndio nyumbani kwao.......
"MPAKA SASA MWILI UPO HOSPITALI TEULE YA MUHEZA ,TANGA"
Friends4Ever imepokea habari hizi kwa mstuko na masikitiko makubwa kwani nyota ya Sharo Milionea ndiyo ilikuwa inaanza kung'ara katika anga za muziki pamoja na matangazo ya biashara, akiwa kayapumulia pumzi mpya wa ubunifu na weledi katika kupeleka ujumbe kwa watazamaji ambao wakubwa na wadogo walimpenda.
Mola aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi - Amina TUTAZIDI KUTOA UPDATE:
Namkariri Kamanda wa Polisi Tanga akisema “leo majira ya saa mbili usiku kwenye barabara ya Segera Muheza mtu mmoja alietambulika kwa jina la Hussein Ramadhani Mkieti au Sharo Milionea akiwa anaendesha gari namba T478 BVR Toyota Harrier akitokea Dar es salaam kwenda Muheza alipofika eneo la Maguzonizonga wilayani Muheza hilo gari lake liliacha njia na kupinduka mara kadhaa na kusababisha kifo chake, mwili wa marehemu umehifadhiwa kwenye hospitali Teule ya wilaya ya Muheza”
Kamanda amesema hakuna kona kali sana wala ubovu wa barabara kwenye sehemu aliyopata ajali Sharo Milionea, katikati ya Segera na Muheza ambapo gari imehifadhiwa mahali salama kwa sababu haitembei.
BUY THIS EBOOK NOW! Instant Download Price: $9.99. The whole purpose of revolutionary violence is to destroy at its very roots the institutionalized system of greed which is also the institutionalized system of violence. Today, with the phoney cry of “law and order” the rulers of the imperialist nations attempt to throw the onus of violence on those who are protesting the system under which they live. But the onus is noton them, for violence is the near-monopoly of the state apparatus.
wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 14 Huduma zinatotolewa kwenye banda la VodaCom kwenye mk...
Rec
Commt
Deal
INSTANTLY INCREASE YOUR SALES by plugging your products and services into "TRIPLECLICKS!!!" Do you have a merchandise to sell your products? It's Free to list. Pay a fee ONLY when you sell. Sell your product worldwide. Put the marketing muscle of over 100,000 SFI affiliates to work for you, promoting and selling your products in over 190 countries. FREE to Register. Reach millions of potential customers worldwide on the Web. Plug into a new world of customers NOW! at: SIGN UP TODAY FREE!