BREAKING NEWS: BURIANI HUSSEIN RAMADHANI MKIETI aka "SHARO MILIONEA" au "SHARO BARO" | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
Labels :
Home » » BREAKING NEWS: BURIANI HUSSEIN RAMADHANI MKIETI aka "SHARO MILIONEA" au "SHARO BARO"

BREAKING NEWS: BURIANI HUSSEIN RAMADHANI MKIETI aka "SHARO MILIONEA" au "SHARO BARO"

Written By Mike Ntobi on Tuesday, November 27, 2012 | 3:48 AM





MSANII WA VICHEKESHO NA MUZKI SHARO MILIONEA AMEFARIKI LEO HUKO MUHEZA TANGA KWA AJALI YA GARI AMBAPO NDUGU YAKE WA KARIBU SNURA MUSHI AMETHIBITISHA TUKIO HILO KWA NJIA YA SIMU .....

Naye Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Afande Constatine Masawe, amethibitisha kutokea kwa kifo cha wa Sharobaro, kufuatia ajali ya gari katika kijiji cha Lusanga, Muheza, mkoani Tanga ambako ndio nyumbani kwao.......

"MPAKA SASA MWILI UPO HOSPITALI TEULE YA MUHEZA ,TANGA"

Friends4Ever imepokea habari hizi kwa mstuko na masikitiko makubwa kwani nyota ya Sharo Milionea ndiyo ilikuwa inaanza kung'ara katika anga za muziki pamoja na matangazo ya biashara, akiwa kayapumulia pumzi mpya wa ubunifu na weledi katika kupeleka ujumbe kwa watazamaji ambao wakubwa na wadogo walimpenda.

Mola aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi - Amina
TUTAZIDI KUTOA UPDATE:

Namkariri Kamanda wa Polisi Tanga akisema “leo majira ya saa mbili usiku kwenye barabara ya Segera Muheza mtu mmoja alietambulika kwa jina la Hussein Ramadhani Mkieti au Sharo Milionea akiwa anaendesha gari namba T478 BVR Toyota Harrier akitokea Dar es salaam kwenda Muheza alipofika eneo la Maguzonizonga wilayani Muheza hilo gari lake liliacha njia na kupinduka mara kadhaa na kusababisha kifo chake, mwili wa marehemu umehifadhiwa kwenye hospitali Teule ya wilaya ya Muheza”

Kamanda amesema hakuna kona kali sana wala ubovu wa barabara kwenye sehemu aliyopata ajali Sharo Milionea, katikati ya Segera na Muheza ambapo gari imehifadhiwa mahali salama kwa sababu haitembei.

HII NI SAUTI YA KAMANDA POLISI - TANGA

Share this article :

Related Posts :

+ Comments: + 9 Comments:

7:44 AM, November 28, 2012

Ni pigo kubwa sana kwetu........ Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

7:45 AM, November 28, 2012

Ni pigo kubwa sana kwetu........ Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

Anonymous
6:30 PM, November 28, 2012

Touche. Sound arguments. Keep up the good spirit.
My web page Mike Geary scammer

Anonymous
7:54 PM, December 15, 2012

Glory (1989) - This historical film portrays the 54th Massachusetts Volunteer Infantry, which was the first all-black official United States regiment.
" a small piece of the manifestation from what happened on the Pettus Bridge. So the two frogs went to Mississippi River to look for Odie mother-in-law, which ask her to help untie the spell both of them.
Here is my site ... Booty In Burkina Faso

Anonymous
12:26 AM, December 21, 2012

Piece of writing writing is also a fun, if you be acquainted with afterward you can write or
else it is difficult to write.
Also visit my web-site ; Eugenio Ehrhard

Anonymous
1:15 AM, December 22, 2012

You аctuаlly mаke іt ѕeem rеally eаsy ωіth уour ргesentаtiοn hοweѵer Ι finԁ this matter to be аctuаlly somеthing that I belieνе
Ι'd never understand. It kind of feels too complicated and very large for me. I am having a look forward on your subsequent submit, I'll try to get the dangle of
it!

Feel frеe tο ѕurf to mу ωeblog: casino games
my site - casino online

Anonymous
3:22 AM, December 22, 2012

Good pоst. I will bе eхperiencіng mаny оf these issues as well.
.

My ωeb-site ... online casinos
Also visit my weblog ; online casinos

Anonymous
2:56 AM, December 24, 2012

Ahaa, its good dialogue on the topic of this piece of writing here at this weblog, I have
read all that, so at this time me also commenting here.
Here is my homepage :: Buy Cheapest Viagra Online

Anonymous
9:26 AM, January 06, 2013

Frank enough; there are quite a good number
of used car dealers that boast of offering widest range of makes and models at reasonable prices anywhere.
Like many car owners throughout North America, you understand that owning a used Honda is a great choice.
Many online stores offer reliable and affordable deals for high quality
used cars and auto parts as well.
Take a look at my web page : landers used cars arkansas

Post a Comment

 
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger