10/19/12 | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
[ New Posts ] : Habari Mpya Zote - HAPA CHINI!!!
Labels :

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20

Written By Mike Ntobi on Friday, October 19, 2012 | 11:23 PM

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20

Link to Wavuti Updates

Audio, Video: Taarifa za habari Oktoba 19, 2012

Posted: 19 Oct 2012 12:15 PM PDT


Bofya kifute cha pleya hapo kuisikiliza taarifa ya habari ya TBC ilyosomwa saa mbili, usiku wa leo. Jeshi la polisi limetumia mabomu ya machozi katika maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam kutawanya makundi ya Waislam waliokuwa na lengo la kutaka kuandamana kushinikiza wenzao waliokamatwa kuachiwa, hali iliyosababisha tafrani na maduka yote...

...click the title/link to read more.

Understanding Credit Card Numbers

Posted: 19 Oct 2012 12:03 PM PDT


image: homeaway.com Credits: This article was cross-posted from MakeUseOf.com --- You may have heard before that credit card numbers follow a certain pattern and structure so that they can be validated before a transaction is accepted.  Why would this knowledge be useful?  If you run a small business that doesn't process credit card payments...

...click the title/link to read more.

Gazeti la An-Nuur, Oktoba 19-25, 2012

Posted: 19 Oct 2012 11:31 AM PDT




...click the title/link to read more.

TANESCO: Mameneja 29 wamesimamishwa kazi; Hakuna mgawo; Mazungumzo ya kununua umeme kutoka Ethiopia yanaendelea

Posted: 19 Oct 2012 11:26 AM PDT


Mameneja 29 wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wameshimamishwa kazi baada ya kuhusishwa kuhujumu utendaji wa shirika hilo kwa kuunganisha umeme kinyume cha utaratibu, wizi wa mafuta ya transfoma na nyaya za umeme. Meneja Mawasiliano wa TANESCO, Badra Masoud, alisema hayo jana jijini hapa wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu...

...click the title/link to read more.

Arusha: Akamatwa na “Rifle” iliyotumika kwenye uhalifu

Posted: 19 Oct 2012 10:26 AM PDT


  TUKIO LA KUKAMATWA KWA MTU ALIYEPATIKANA NA SILAHA AINA YA RIFLE MNAMO TAREHE 13/10/2012 MUDA WA SAA 12:30 ASUBUHI, KATIKA KITONGOJI CHA NAKILONGOSI KIJIJI CHA KAMWANGA WILAYANI LONGIDO, ASKARI WA JESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA KWA KUSHIRIKIANA NA ASKARI WA HIFADHI YA TAIFA YA KILIMANJARO (KINAPA) WALIMKAMATA MTU MMOJA AITWAYE LONG'IDA S/O...

...click the title/link to read more.

Job opportunity: Production Manager

Posted: 19 Oct 2012 09:45 AM PDT


Our client a leading is a food processing company manufacturing innovated therapeutic product to treat several type of malnutrition within the region. The company sells its products to Tanzanian Humanitarian stakeholders and also and mainly in Kenya, Burundi, Somalia, Zambia, DRC to UN agencies, Ministries of Health, NGO's or Foundations. The...

...click the title/link to read more.

Job opportunity: Maintenance officer

Posted: 19 Oct 2012 09:41 AM PDT


Our client is a food processing company manufacturing innovated therapeutic product to treat several type of malnutrition within the region. The company sells its products to Tanzanian Humanitarian stakeholders and also and mainly in Kenya, Burundi, Somalia, Zambia, DRC to UN agencies, Ministries of Health, NGO's or Foundations. The maintenance...

...click the title/link to read more.

Rais Kikwte amaliza ziara ya Oman na kurejea Tanzania

Posted: 19 Oct 2012 10:05 AM PDT


Rais Kikwete akilakiwa na Makamu wa Rais Dkt Bilal leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini Oman. (Picha: IKULU) Rais Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi waliojitokeza kumpokea leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili...

...click the title/link to read more.

Kesi ya Rose Kamili v/s Dkt. Slaa: Pingamizi Mahakama Kuu lakataliwa

Posted: 19 Oct 2012 08:59 AM PDT


Habari kwa mujibu wa Happiness Katabazi, via blog Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali kwa gharama pingamizi lilowasilishwa mbele yake na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willbrod Slaa  lililokuwa likiomba mahakama hiyo ifute kesi ya madai iliyofunguliwa na 'mkewe' Rose Kamili Slaa nee Sukum,...

...click the title/link to read more.

Ripoti za vitendo vya vurugu Tanzania

Posted: 19 Oct 2012 05:01 AM PDT


Mkazi huyu wa jijini Dar es Salaam, akitafuta mahala pa kujihifadhi yeye na watoto wake, kufuatia mabomu ya machozi yaliyokuwa yakirushwa na poliis wa kutuliza ghasia kwenye maeneo ya Magomeni, Kinondoni na Kariakoo jijini ili kutawanya makundi ya watu waliokuwa kwenye maeneo ya Misikiti mara baada ya sala ya Ijumaa (picha: Khalfan Said "K-VIS"...

...click the title/link to read more.

Madai ya Dkt. Ulimboka, Ikulu yasema “Haya madai ni upuuzi”

Posted: 19 Oct 2012 04:56 AM PDT


SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Nchini, Dkt. Stephen Ulimboka, kusisitiza kwamba alitekwa na mtu anayefanya kazi Ikulu, Ramadhan Ighondu, Ikulu imehamanika na kujitetea kwamba madai hayo ni ya kipuuzi.          *Tafadhali bofya hapa kurejea kuisoma nakala ya taarifa kamili aliyoitoa Dkt. Ulimboka. Jana Mkurugenzi wa...

...click the title/link to read more.

Mbadala wa MV Kilombero...

Posted: 19 Oct 2012 04:37 AM PDT


Wavuvi katika Mto Kilombero mkoa wa Morogoro wakitumia mtumbwi kuvusha raia wa kigeni kutoka upande wa Ulanga kwenda wilaya ya Kilombero baada ya kivuko cha MV Kilombero No 2 kuleta hitilafu juzi. Picha na Juma Mtanda

...click the title/link to read more.

Binti achomwa kisu na Mama kwa tuhuma za ‘kutembea’ na Baba

Posted: 18 Oct 2012 07:44 PM PDT


Mfanyakazi wa ndani, Angel Lema (22) amechomwa kisu kwa tuhuma za kuwa na uhusiano wa kimapenzi na baba mwenye nyumba anakofanya kazi. Angel anayefanya kazi za ndani katika kijiji cha Leganga wilayani Arumeru mkoani Arusha, inadaiwa alifanyiwa unyama huo na mama mwenye nyumba baada ya kumhisi 'kutembea' na mumewe. Akizungumzia tukio hilo jana,...

...click the title/link to read more.

Chaguzi za CCM: Mabina apinga ushindi wa Diallo; Rushwa yavunja uchaguzi Pwani

Posted: 18 Oct 2012 07:32 PM PDT


Mabina apinga ushindi wa Diallo Habari imeandikwa na David Azaria, HabariLeo, Mwanza ALIYEKUWA Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Clement Mabina ameyakataa matokeo yaliyompa ushindi aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Anthony Diallo na kutangaza kukata rufaa Makao Makuu ya chama hicho tawala akipinga kupoteza wadhifa huo. Mabina alitangaza...

...click the title/link to read more.

Abortion: Uruguay Legalizes; N. Ireland opens doors to First clinic

Posted: 18 Oct 2012 06:56 PM PDT


On the eighth floor of a glass plated Belfast office, next to a dentist and a solicitor, sits the first abortion clinic to operate on the island of Ireland. It will be the most heavily regulated abortion clinic in the UK. Northern Ireland law prohibits surgical abortions, so the doctors will give patients a pill, and if there are no...

...click the title/link to read more.

Kilima cha Oldonyo Sambu, Arusha

Posted: 18 Oct 2012 06:46 PM PDT


Picha zote ni kutoka kwenye blogu ya "Kichwangumu"

...click the title/link to read more.

Who deserves your love and affection?

Posted: 18 Oct 2012 06:37 PM PDT


A friend of mine sent me an email with these quotes, I found them too good not to share. "My primary relationship is with myself - all others are mirrors of it. As I learn to love myself, I automatically receive the love and appreciation that I desire from others. If I am committed to myself and to living my truth, I will attract others...

...click the title/link to read more.

Wiki ya Umoja wa Mataifa: UNDP yaipongeza Tanzania

Posted: 18 Oct 2012 06:18 PM PDT


Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa nchini (UNDP) Bw. Phillippe Poinsot akielezea jinsi shirika hilo linavyoshirikiana na serikali ya Tanzania katika kufanikisha miradi mbali mbali ya maendeleo katika kuhakikisha nchi inapiga hatua kwenye kukuza uchumi. Umoja wa Mataifa umeanza kuadhimisha wiki mahsusi kwa ajili ya Umoja...

...click the title/link to read more.

Mwanafunzi afariki dunia baada ya kupigwa na radi

Posted: 18 Oct 2012 06:12 PM PDT


Mwanafunzi  wa Kidato cha Kwanza  katika Shue ya Secondari ya Chamriho iliyoko wilayani Bunda mkoani Mara amefariki dunia baada ya kupigwa na radi huku wenzake watatu wakinusurika.  Radi hiyo pia imeiteketeza kwa moyo nyumba walimokuwemo vijana hao. Tukio hilo ambalo limeleta maafa  na kuacha makubwa, limetokea katika kijiji cha Nyang'aranga...

...click the title/link to read more.

Maonesho ya Sanaa ‘Sober House’ Alliance Francaise yazinduliwa

Posted: 18 Oct 2012 06:04 PM PDT


Kamishna kutoka Tume ya Kuratibu na kudhibiti dawa za Kulevya nchini Bw. Christopher Shekiondo akizindua rasmi maonyesho ya sanaa ya Sober House jijini Dar Shekiondo amesema kwa niaba ya tume ya kudhibiti dawa hizo Zanzibar na kwa Serikali kwa ujumla wanatambua mchango wa wadau mbalimbali uliosaidia vijana kuachana na tabia hiyo na kuahidi...

...click the title/link to read more.
Get our toolbar!Get our toolbar!
  • Alexaporn - XXX (+18) Search!Alexaporn - XXX (+18) Search!
 
Sell Your Products At TripleClicks!Share Links Earn Money!
cafepress.com/nicemike
Sale Online!
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger