wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20 |
- Taarifa ya habari, Oktoba 25, 2012
- Wananchi wapinga nauli ya Shilingi 700/- kwa treni iendayo haraka Dar
- Jeshi la Polisi lataja majina ya watuhumiwa wa mauajii ya Kamanda Barlow
- Madai ya “kutekwa” Ust. Farid: Tume ya Haki za Binadamu yatoa Tamko
- Washambuliwa, Wajeruhiwa: Sh. Mkuu-Tunduru; Katibu Mkuu Bakwata-Arusha
- CHADEMA - ARUSHA: Nassari (Mb) anusurika kukung’utwa; MOSHI: Madiwani wakung’utana; SHINYANGA: Mwenyekiti achomwa mkuki
- Kesi ya Viongozi wa ‘Uamsho’: Wasomewa mashitaka mapya, wanyimwa dhamana
- Rahma T. Ali: Nimepotelewa “Wallet”
- Rais Kikwete aongoza kikao kwa Mawaziri na maafisa Waandamizi wa Serikali
- Mastercard Scholarships for Top Tanzanian Students
- Job opportunity: Coordinator Event Management and PR at GIZ
- Afrika Hatugombanii Matambiko... Maggid Mjengwa
- Kweli, Si kweli? Watanzania wachambwa: Kiingereza, Wizi, Viongozi kujipendelea
- Mwanamke auwawa na mumewe; Polisi wadaiwa kumtorosha mtuhumiwa
- Waliogomea Shahada za UCLAS sasa kutunukiwa na UDSM
- Miaka 67 ya UN na changamoto chungu tele
- Jama! Polisi akamatwa akigombea UVCCM-NEC
- video: Haruna Masebu azungumzia tatizo la mafuta lililojitokeza
- Kesi ya DECI: Mtuhumiwa, Mch. Mtares akiri BOT iliwakataza kupokea fedha
- Call for applications: EABL University Scholarship for Undergraduates
Taarifa ya habari, Oktoba 25, 2012 Posted: 25 Oct 2012 01:25 PM PDT |
Wananchi wapinga nauli ya Shilingi 700/- kwa treni iendayo haraka Dar Posted: 25 Oct 2012 12:56 PM PDT WADAU wa usafiri wa Reli nchini wamepinga mapendekezo ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) na Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) la kutaka nauli ya usafiri wa umma wa treni jijini Dar es Salaam kuwa Sh 700 na 800. Aidha wamesema ili kupunguza gharama za uendeshaji wameiomba serikali kutoa ruzuku ili kusaidia kufikia lengo la kuleta... ...click the title/link to read more. |
Jeshi la Polisi lataja majina ya watuhumiwa wa mauajii ya Kamanda Barlow Posted: 25 Oct 2012 12:42 PM PDT *In English, see: 10 arrested over killing of Mwanza police boss (picha via blogu ya GSengo) JESHI la Polisi limewataja watuhumiwa 10, na bado linaendelea kuwatafuta watuhumiwa wengine, ambao inadai walishiriki kumuua aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow. Kati ya watu hao watano wametiwa mbaroni Mwanza na watu... ...click the title/link to read more. |
Madai ya “kutekwa” Ust. Farid: Tume ya Haki za Binadamu yatoa Tamko Posted: 25 Oct 2012 12:31 PM PDT Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imeishauri Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuwatafuta, kuwakamata wale wote walioshirikia katika vitendo vya vurugu iliyotokea wiki iliyopita; Na, kuvunja vikundi vyote vya kihalifu vilivyoanza kushamiri Zanzibar. Aisha, Tume imeitaka Serikali kujipanga kikamilifu na kuhakikisha kutokurudiwa tena kwa... ...click the title/link to read more. |
Washambuliwa, Wajeruhiwa: Sh. Mkuu-Tunduru; Katibu Mkuu Bakwata-Arusha Posted: 25 Oct 2012 12:30 PM PDT *In English, see: Bakwata official injured in hand grenade explosion Sheikh mkuu Wilayani Tunduru Alhaji Waziri Chilakweche akiwa hospitali Rajab Abdalah (17) Imeandikwa na Steven Augustino,Tunduru Watu wanaodhaniwa kuwa ni Waislamu wenye msimamo Mkali wa Dini wamemvamia na kumpiga Shekh Mkuu wa Baraza Kuu la... ...click the title/link to read more. |
Posted: 25 Oct 2012 11:37 AM PDT MBUNGE ANUSURIKA KUPIGWA NA WANANCHI MBUNGE wa Jimbo la Arumeru, mashariki, Joshua Nasari amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi ambao walichukizwa na kitendo chake cha kuhamasisha wafuasi wa Chama chake, CHADEMA, kuwashambulia wanachama wa CCM na kumjeruhi Katibu kata wa CCM, kata ya Usariver, baada ya kuzuiliwa asifanye kampeni za uchaguzi wa... ...click the title/link to read more. |
Kesi ya Viongozi wa ‘Uamsho’: Wasomewa mashitaka mapya, wanyimwa dhamana Posted: 25 Oct 2012 11:36 AM PDT * In English, see: New charges in clerics' riot case Baadhi ya Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO wakiwa wanatoka katika Mahakama Kuu ya Zanzibar Vuga baada ya kufunguliwa mashtaka manne mapya. (Picha: Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar) Kiongozi wa Jumjuiya ya Uamsho Visiwani Zanzibar, Sheikh Farid Hadi, (kushoto), akionyesha alama ya... ...click the title/link to read more. |
Rahma T. Ali: Nimepotelewa “Wallet” Posted: 25 Oct 2012 11:26 AM PDT A.aleykum kaka Michuzi jr, Mimi Rahma T. Ali, mwananfunzi wa International Medical and Technological University (IMTU), naomba unisaidie kuweka tangazo langu katika blog yako. Nimepoteza wallet yangu maeneo ya Muhimbili hospitali. Wallet hiyo ilikuwa na fedha kidogo (15,000 Tsh) na "documents" zangu muhimu zifuatazo. 1. ATM cards mbili (2 ) za... ...click the title/link to read more. |
Rais Kikwete aongoza kikao kwa Mawaziri na maafisa Waandamizi wa Serikali Posted: 25 Oct 2012 11:22 AM PDT |
Mastercard Scholarships for Top Tanzanian Students Posted: 25 Oct 2012 11:04 AM PDT Good People - Here is a great opportunity for deserving Top Tanzanian students offered by the Mastercard Foundation: www.mastercardfdnscholars.org == I have done some homework on this awesome funding opportunity - which just came online this Fall semester 2012! While I am more focused on helping recruit #TopTzStudents, the scholarship is... ...click the title/link to read more. |
Job opportunity: Coordinator Event Management and PR at GIZ Posted: 25 Oct 2012 04:38 AM PDT As an international cooperation enterprise for sustainable development with worldwide operations, the federally owned Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit (GIZ) GmbH supports the German Government in achieving its development-policy objectives. GIZ is looking to fill the position of Coordinator Event Management and PR Duty... ...click the title/link to read more. |
Afrika Hatugombanii Matambiko... Maggid Mjengwa Posted: 25 Oct 2012 04:34 AM PDT Ndugu zangu, Kuwasha moto ni jambo jepesi sana, lakini, kuuzima moto, yaweza kuwa ni kazi ngumu sana. Ona, moto ulioanza kwenye nyumba moja ya nyasi kijijini, waweza kusambaa haraka na hata kuteketeza kijiji kizima. Na tangu utotoni tumetahadharishwa hatari ya kucheza na moto. Naam, binadamu usicheze na moto, labda iwe kwenye... ...click the title/link to read more. |
Kweli, Si kweli? Watanzania wachambwa: Kiingereza, Wizi, Viongozi kujipendelea Posted: 25 Oct 2012 01:23 AM PDT Awali ya yote namshukuru mwenye twitter ID ya "Mabala The Farmer" @Decenttz kwa kuni-tag kwenye tweet-video ambayo imepachikwa hapo chini. Kwa ufupi, katika video hiyo iliyowekwa kwenye mtandao wa YouTube, Novemba 14, 2010 na hadi sasa ninapoiweka 'post' hii, imeshatizamwa mara 81 tu, msikilize anayejitambulisha kwa jina la Marie Francis,... ...click the title/link to read more. |
Mwanamke auwawa na mumewe; Polisi wadaiwa kumtorosha mtuhumiwa Posted: 25 Oct 2012 01:22 AM PDT Habari imeandikwa na Pascal Michael, Rorya MKAZI mmoja wa Kijiji cha Kogaja kata ya Goribe wilayani Rorya mkoani Mara Bw. Hamisi Omenda (33) amedaiwa kumuua kikatili mke wake Bi. Levina Hamisi (27) kwa kumkatakata kwa panga na kisha kutoroka, huku Polisi wakidaiwa kushiriki katika utoro huo kwa kuandaa mazingira ya kutoroka. Polisi wa kituo cha... ...click the title/link to read more. |
Waliogomea Shahada za UCLAS sasa kutunukiwa na UDSM Posted: 25 Oct 2012 01:12 AM PDT Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kitakuwa na mahafali ya 42 tarehe 27 Oktoba 2012 na Novemba 3, 3012. Jumla ya wahitimu 3,643 watatunukiwa shahada na stashahada wakati wahitimu 902 wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Ardhi (UCLAS) watatunukiwa shahada. UCLAS kwa sasa ni sehemu ya UDSM. Hayo yalisemwa na Makamu Mkuu wa wa UDSM, Profesa Rwekaza... ...click the title/link to read more. |
Miaka 67 ya UN na changamoto chungu tele Posted: 25 Oct 2012 01:10 AM PDT Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Raphael Muhuga aliyemwakilisha Mkuu wa Majeshi ya Tanzania katika sherehe za maadhimisho ya miaka 67 ya Umoja wa Mataifa tangu kuzaliwa kwake. Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Samwel Sitta akiwasili katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo katika Kilele... ...click the title/link to read more. |
Jama! Polisi akamatwa akigombea UVCCM-NEC Posted: 25 Oct 2012 12:43 AM PDT WAKATI Mkutano Mkuu wa Nane wa Uchaguzi wa Umoja wa Vijana (UVCCM) ukimalizika, mmoja wa wagombea wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho nafasi sita Tanzania Bara, Stanley Mdoe, ametiwa mbaroni na Polisi akibainika kuwa askari Polisi. Askari huyo mwenye namba F 7961 wa cheo cha Konstebo, anatoka kituo cha Polisi Mvomero, Morogoro ambaye... ...click the title/link to read more. |
video: Haruna Masebu azungumzia tatizo la mafuta lililojitokeza Posted: 25 Oct 2012 12:40 AM PDT Mamlaka ya mapato nchini pamoja na mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji zimekubaliana kusitisha usafirishaji wa shehena za mafuta ambazo zilipaswa kusafirishwa nje ya nchi na badala yake shehena hizo sasa zitalipiwa ushuru na kutumika hapahapa nchini ikiwa ni moja ya jitihada za Serikali za kulinusuru Taifa kutoka katika tatizo la... ...click the title/link to read more. |
Kesi ya DECI: Mtuhumiwa, Mch. Mtares akiri BOT iliwakataza kupokea fedha Posted: 25 Oct 2012 12:39 AM PDT Mkurugenzi wa Taasisi ya Kusimamia na Kuendesha Upatu (DECI), Mchungaji Jackson Mtares amekiri kuwa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) iliwakataza kupokea fedha kutoka kwa mwanachama yeyote wa taaasisi hiyo. Mtares alieleza hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakati akitoa ushahidi katika kesi ya kuendesha shughuli za upatu bila kibali... ...click the title/link to read more. |
Call for applications: EABL University Scholarship for Undergraduates Posted: 25 Oct 2012 12:45 AM PDT |
You are subscribed to email updates from Wavuti Updates To stop receiving these emails, you may unsubscribe now. | Email delivery powered by Google |
Google Inc., 20 West Kinzie, Chicago IL USA 60610 |