08/16/12 | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
[ New Posts ] : Habari Mpya Zote - HAPA CHINI!!!
Labels :

Welcome to Man U..., VAN PERSIE.. Bye Arsenal...!

Written By Mike Ntobi on Thursday, August 16, 2012 | 8:29 PM

ROBIN VAN PERSIE


Siku Van Persie alipotangazwa kujiunga na Man U, Reaction 
ilikuwa tafauti kwa wengi. Siku kifaa kinachowaumiza vichwa 
machampion wa Soccer huko Ulaya, Robin Van Persie 
kilipoamua kuvaa Jessie ya Man U, huku Wenger akibaki 
mdomo wazi haamini kuwa ni kweli AMEMUUZA mshambuliaji 
wake...!  Kumbe hata majuu wanahusudisha mkwanja kama 
ilivyo Bongo. Lakini, wenzetu sasa mkwaja wao ni wa uhakika sio 
sisi vijisenti tu, mchezaji kauzwa....!

Ajali Mbaya... "Sababu UZEMBE WA DEREVA", Hadi lini Jamani?

Mama mmoja akishangaa Ajali ya Gari Dogo
 lilivyopondeka vibaya.
Mtu mwingine akishangaa
ajali hiyohiyo.

AJALI HII IMETOKEA JUMAPILI ILIYOPITA, 12th AUGUST, Msata. WALIKUA WATU 
WATATU, WAKITOKEA TANGA KWENDA DAR-ES-SALAAM KWENYE SEND-OFF YA
FIANCEE WA KAKA YAO, MMOJA KAUMIA KICHWA, MKEWE KAVUNJIKA MKONO MARA 
TATU. 
Kaka mwingine kaumia kichwa..., ajali ilivyotokea ni kwamba basi lilikua linakata kona 
upande wao (GARI DOGO)..., dereva wa basi akashindwa kurudisha basi line yake 
matokeo yake ndo akagongana na ilo gari dogo...!!!


Get our toolbar!Get our toolbar!
  • Alexaporn - XXX (+18) Search!Alexaporn - XXX (+18) Search!
 
Sell Your Products At TripleClicks!Share Links Earn Money!
cafepress.com/nicemike
Sale Online!
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger