wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 14 |
- Huduma zinatotolewa kwenye banda la VodaCom kwenye mkutano wa Huduma za Fedha
- Hoja ya Mdee (Mb) aliyoiwasilisha Bungeni ya kusitisha ugawaji wa ardhi
- Education: Taleban v/s Children
- Education: Taliban v/s Children
- Taarifa: Waziri Mwakyembe aivunja Bodi ya Bandani na kuunda mpya
- Eti, Serikali imeridhia utaratibu huu?
- Mchanganuo wa gharama za uzinduzi wa Jiji la Arusha; Kweli?
- Japan yasaini msaada wa Sh. Milioni 380 kwa miradi mipya Lindi, Mtwara
- Maamuzi ya pingamizi la rufaa ya kesi ya Lema: Ndiyo, zilikuwepo kasoro
- Maamuzi ya pingamizi la kesi ya Rufaa ya Lema: Ndiyo, zilikuwepo kasoro
- ADB to finance more infrastructure projects in Tanzania
- Correct: Tanzanian Bank saves Cyprus from Insolvency
- This is dangerous! Residents cling behind a moving ‘daladala’
- Simu za Makamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania
Huduma zinatotolewa kwenye banda la VodaCom kwenye mkutano wa Huduma za Fedha Posted: 08 Nov 2012 06:13 AM PST Mfanyakazi wa Vodacom Irene Salim(kushoto) akitoa maelezo ya simu za mkononi kwa washiriki wa mkutano wa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi (Mobile Money Summit) ulioanza jijini Dar es Salaam jana,wa pili kushoto ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu. Baadhi ya washiriki wa mkutano wa huduma za kifedha kupitia simu za... ...click the title/link to read more. |
Hoja ya Mdee (Mb) aliyoiwasilisha Bungeni ya kusitisha ugawaji wa ardhi Posted: 08 Nov 2012 04:25 AM PST MAELEZO YA HOJA BINAFSI JUU YA KUSITISHA UGAWAJI WA ARDHI HADI TATHMINI KINA ITAKAPOFANYIKA KUJUA KIASI CHA ARDHI KILICHO MIKONONI MWA WAGENI [Chini ya Kanuni ya 54(1) na (2)] Mheshimiwa Spika, Kwa mujibu wa Kanuni namba 54(1) , (2) na (3) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la 2007 naomba kutoa hoja binafsi ya kuitaka serikali kusitisha... ...click the title/link to read more. |
Education: Taleban v/s Children Posted: 08 Nov 2012 04:19 AM PST |
Education: Taliban v/s Children Posted: 08 Nov 2012 04:19 AM PST |
Taarifa: Waziri Mwakyembe aivunja Bodi ya Bandani na kuunda mpya Posted: 08 Nov 2012 03:31 AM PST Mheshimiwa Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb.), Waziri wa Uchukuzi, amefuta uteuzi wa Wajube wote wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) kuanzia juzi tarehe 06 Novemba, 2012 na kuteua Wajumbe wengine wanane (8) wanaounda Bodi hiyo. Waziri amechukua uamuzi huo kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 6(2) cha... ...click the title/link to read more. |
Eti, Serikali imeridhia utaratibu huu? Posted: 08 Nov 2012 03:28 AM PST |
Mchanganuo wa gharama za uzinduzi wa Jiji la Arusha; Kweli? Posted: 08 Nov 2012 01:38 AM PST |
Japan yasaini msaada wa Sh. Milioni 380 kwa miradi mipya Lindi, Mtwara Posted: 08 Nov 2012 12:45 AM PST Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada mbele ya Waziri wa TAMISEMI, Hawa Ghasia pamoja na viongozi wa mkoa wa Lindi na Taasisi ya Women in Social Entrepreneurship (WISE) ya mkoa huo wametiliana saini mkataba wa makubaliano kati ya Ubalozi wa Japan na Taasisi ya WISE wa msaada wa ujenzi wa bweni la wasichana sekondari ya Ngapa ya Lindi... ...click the title/link to read more. |
Maamuzi ya pingamizi la rufaa ya kesi ya Lema: Ndiyo, zilikuwepo kasoro Posted: 08 Nov 2012 12:02 AM PST Taarifa kutoka kwa wadau mbalimbali zinatufahamisha kuwa, 'Ruling' ya mapingamizi yaliyowekwa ili kuzuia rufaa ya aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema isisikilizwe tayari imetoka na mapingamizi mawili yametupiliwa mbali huku pingamizi moja likikubaliwa. Kinachohitajika sasa kwa mawakili wa Godbless Lema ni kutimiza masharti ya... ...click the title/link to read more. |
Maamuzi ya pingamizi la kesi ya Rufaa ya Lema: Ndiyo, zilikuwepo kasoro Posted: 08 Nov 2012 12:02 AM PST Taarifa kutoka kwa wadau mbalimbali zinatufahamisha kuwa, 'Ruling' ya mapingamizi yaliyowekwa ili kuzuia rufaa ya aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema isisikilizwe tayari imetoka na mapingamizi mawili yametupiliwa mbali huku pingamizi moja likikubaliwa. Kinachohitajika sasa kwa mawakili wa Godbless Lema ni kutimiza masharti ya... ...click the title/link to read more. |
ADB to finance more infrastructure projects in Tanzania Posted: 07 Nov 2012 11:11 PM PST Story by a Correspondent The African Development Bank Bank is in the final stages of processing financing for the Arusha-Holili/Taveta-Voi Corridor, which at completion will facilitate cross-border trade and support the integration agenda of the East African Community. The corridor is meant to not only serve part of central and north-western... ...click the title/link to read more. |
Correct: Tanzanian Bank saves Cyprus from Insolvency Posted: 07 Nov 2012 10:31 PM PST - Corrects Bank Origin To Tanzania FRANKFURT (MNI) – The Cypriot government has managed to push back the threat of near-term insolvency thanks to the purchase of E240 million in government bonds by a bank in Tanzania, the German daily Die Welt reports. According to the newspaper, the bonds were initially to be repaid by November 4, which would... ...click the title/link to read more. |
This is dangerous! Residents cling behind a moving ‘daladala’ Posted: 07 Nov 2012 10:18 PM PST The four Dar es Salam residents above cling precariously behind a moving Gongo la Mboto-bound city commuter bus, proof that transport across the country's commercial capital is still a big problem despite the introduction of city trains. (Photo by Robert Okanda) ...click the title/link to read more. |
Simu za Makamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania Posted: 07 Nov 2012 08:17 PM PST Arusha ACP Liberatus Sabas 0713 269 232 Dodoma ACP David Misime 0754 470 959 Manyara ACP Akilimali Mpwapwa 0658 777 778 Mwanza SACP Ernest J. Mangu 0754 262 861 Kagera ACP Philip Kalangi 0754 746 958 Mbeya ACP Diwani Athumani 0787 323 444 Kigoma ACP Frasser Kashai 0787 453 156 Kilimanjaro ACP Robert Boaz 0784 864 212 Tabora ACP Anthon Ruta... ...click the title/link to read more. |
You are subscribed to email updates from Wavuti Updates To stop receiving these emails, you may unsubscribe now. | Email delivery powered by Google |
Google Inc., 20 West Kinzie, Chicago IL USA 60610 |