Watu wawili wamekutwa wamegandiana kutokana na kuvunja amri ya sita (kufanya mapenzi) kwenye gesti moja huko temeke jijini dar es salaam masahibu hayo yamewakuta wawili hao baada ya baada ya njema mmojakuchukua mke wa mtu ambaye inasemekana amefungwa kitamaduni kana kwamba yeyote atakayejaribu kumgusa kinyume na taratibu basi atanasa na hivyo ndivyo ilivyokuwa iliyoiba mke wa mtu na kwenda naye kula raha nyumba ya wageni hapo temeke
Hadi kufikia sasa watu hao wapo hospitalini ya temeke ambapo jitihada za kuwatenganisha kwa wataalam zimeshindikana,Na mme wa mwanamke ameibuka na kudai alipwe milioni 5 za Kitanzania ili aweze kuwachanisha hao wawili.

Huu ni umati wa watu waliofurika kuwashuhudia wawili hao waliofungishwa ndoa ya pili baada ya kujiiba awali, na sasa mume aliamua kumtega mke wake.
Baada ya watu hao kufikishwa Hospitalini hapo, ilifuata mkakati mzito wa kuficha taarifa hizo ili zisivute hisia za watu wengi. Lakini kama ujuavyo Bongo - Darisalama - Jiji la Umbea,.... watu walipata habari na ilileta tafrani kidogo kabla kuanzisha mkakati wa kuficha habari hizo ili angalau kuzuia mkusanyiko wa watu uliokuwepo na waliokuwa wakiongezeka dakika baada ya dakika.