JACK WA CHUZ |
"BONGO MOVIE HAITUFUNDISHI UKAHABA.....HIYO NI TABIA YA MTU".....JACK WA CHUZ
MSANII wa filamu bongo Jackline Pentzel maarufu ‘Jack wa Chuz’, amefunguka na kueleza kuwa ndani ya tasnia yao hakuna mwanamke changudoa au muhuni na kama yupo basi huyo alikuwa na tabia hiyo hata kabla hajaingia katika fani hiyo.
Kauli ya msanii huyo inaweza kuwa na ukweli ndani yake kwani wasanii wengi wametoka sehemu mbalimbali ndani ya taifa hili, hivyo inawezekana uchangudoa alikuwa nao kitambo lakini hakuna anayefundishwa tabia hiyo akiingia bongo movie.