10/20/12 | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
[ New Posts ] : Habari Mpya Zote - HAPA CHINI!!!
Labels :

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 13

Written By Mike Ntobi on Saturday, October 20, 2012 | 11:12 PM

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 13

Link to Wavuti Updates

Taarifa ya habari; Serikali yasitisha mihadhara yote ya Kidini Tanzania kwa siku 30

Posted: 20 Oct 2012 11:29 AM PDT


Hilo ni agizo la Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Emanuel Nchimbi, akisitisha mihadhara yote ya nje kwa nchi nzima hadi hapo watakapoweka njia bora wa jinsi ya kuendesha mihadhara hiyo, utaratibu wake na nani anayeifuatilia kuona inaendeshwa kwa misingi ya sheria na taratibu, inafikiwa.  Pia, ameuonya dhidi ya kushabikia...

...click the title/link to read more.

Universities don’t change curriculum, they just repackage courses

Posted: 20 Oct 2012 11:26 AM PDT


East African Community states have been pushing to harmonise higher education suffered as they integrate into one trading bloc.  But the process has over the past few years hit setbacks due to the different education systems. A regional higher education forum between the East African Business Council and university administrators is to be held in...

...click the title/link to read more.

Nifanyeje ili nivume kwenye vyombo vya habari?

Posted: 20 Oct 2012 11:01 AM PDT




...click the title/link to read more.

Mtume hatetewi kwa dhulma na ujinga

Posted: 20 Oct 2012 10:16 AM PDT


(picha via MjengwaBlog.com) Uislamu Na Shari'ah Zake Imekusanywa Na: 'Uthmaan Beecher Imefasiriwa Na: Abu Suhayl Shukrani njema zinamstahili Allaah, rahmah na amani zimuendee Mtume wetu Muhammad, na aali zake na maswahaba zake na Waislamu wote. Ama baada ya hayo, Hakuna Muislamu ambaye anaweza kukubaliana na kutukanwa, kudhalilishwa,...

...click the title/link to read more.

Nape Nnauye: Napongeza mjadala wa Obama na Romney, Lakini...

Posted: 20 Oct 2012 09:58 AM PDT


Ni update yake kwenye ukurasa wake wa facebook.com ambayo haijapita bure bure...

...click the title/link to read more.

Mwingine ajifungua akifanya mtihani

Posted: 20 Oct 2012 09:57 AM PDT


Mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Kagemu iliyopo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, nusura ajifungue kwenye chumba cha mtihani baada ya kushikwa na uchungu wakati akiendelea na mtihani yake. Kwa mujibu wa maelezo ya mwanafunzi huyo, Stella Charles (20), ni kwamba alifanikiwa kukimbizwa hospitalini na kujifungua mtoto wa kike...

...click the title/link to read more.

Waadilifu waliosababisha Nyerere...Je?

Posted: 20 Oct 2012 09:55 AM PDT




...click the title/link to read more.

Jaribio la kuiba silala JWTZ Bohari kuu; JWTZ ‘wamlabua’ Polisi

Posted: 20 Oct 2012 09:44 AM PDT


JWTZ v/s Polisi:  Nimefahamishwa kuwa, askari walioavalia sare za  JWTZ walishuka kwenye lori lao na 'kumlabua' askari aliyekuwa akiongoza magari kwenye eneo la Ubungo, Dar es Salaam kwa kuwachelewesha kwenye foleni kwa muda mrefu. Taarifa kutoka chanzo kingine cha habari zikaongeza kusema kuwa Wanajeshi waliohusika 'kulabua' walikamatwa baadaye...

...click the title/link to read more.

Dar sex Workers: Over 30 percent “are HIV+”

Posted: 20 Oct 2012 09:02 AM PDT


About 31 per cent of 7,500 female sex workers (FSWs) aged between 15 and 35 years in Dar es Salaam are HIV-positive, according to a new report by the ministry of Health and Social Welfare. Titled "HIV Behavioural and Biological Surveillance Survey Among Female Sex Workers in Dar es Salaam, 2010", the survey also indicated that sex workers were at...

...click the title/link to read more.

Uchaguzi Mkuu UWT-CCM: Shy-Rose Bhanji imebidi wamtulize la sivyo...

Posted: 20 Oct 2012 09:00 AM PDT


Inaelezwa kuwa katika uchaguzi huo, Sophia Simba ametetea kiti chake cha uongozi cha Uenyekiti wa UWT. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT, wakiwasili mjini Dodoma kwa uchaguzi unaofanyika Jumamosi Oktoba 20, 2012 (picha, maelezo: K-VIS blog) Makamu wa Rais, Dkt. Ali Mohammed Shein, (Kulia), Makamu wa Mwenyekiti wa CCM, (Bara), Pius...

...click the title/link to read more.

Hakuna ugumu wa kurudi Misri - Maggid Mjengwa

Posted: 20 Oct 2012 08:37 AM PDT


Ndugu zangu,  Yanayotokea katika nchi yetu kwa sasa yanatutaka tufikiri kwa bidii. Kama nchi kuna safari tumeifunga. Na tulivyo Waafrika, tu mahodari wa kufunga safari, lakini si mahodari wa kupanga safari. Kufunga na kupanga safari ni vitu viwili tofauti.   Ndugu zangu,  Ni vigumu leo kwa Wana wa Israel kuamua kurudi tena Misri, hata kama,...

...click the title/link to read more.

SMZ yapiga marufuku urushwaji wa matangazo ya “Uamsho”

Posted: 19 Oct 2012 11:33 PM PDT




...click the title/link to read more.

Vipeperushi vya vitisho kwa Wakristo, Viongozi vyasambazwa Zanzibar

Posted: 19 Oct 2012 11:08 PM PDT


Habari hii imenukuliwa kutoka ZanziNews blog --- Vipeperushi vinavyotishia uhai wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar vimepeperushwa mjini hapa kufuatia ghasia zinazoendelea kwa siku ya tatu mfululizo.   Kipeperushi kimojawapo kinasema: "CCM kosa letu kuwatia mbwa msikitini. Sasa tunasema kuwa basi tena litakalokuwa na liwe kwa sisi CCM...

...click the title/link to read more.
Get our toolbar!Get our toolbar!
  • Alexaporn - XXX (+18) Search!Alexaporn - XXX (+18) Search!
 
Sell Your Products At TripleClicks!Share Links Earn Money!
cafepress.com/nicemike
Sale Online!
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger