wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20 | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
Labels :
Home » » wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20

Written By Mike Ntobi on Tuesday, October 16, 2012 | 12:08 AM

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20

Link to Wavuti Updates

TBC - Taarifa ya habari; BBC - Aliyezusha Balozi Tsere kafukuzwa, akamatwa na Polisi

Posted: 15 Oct 2012 12:59 PM PDT


Bofya kifute cha pleya kusikiliza taarifa hiyo ya habari. Mwishoni mwa wiki iliyopita, kulikuwa na taarifa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mhe. Patrick L. Tsere amepewa barua na Serikali ya Malawi inayomtaka kuondoka nchini humo ndani ya saa 48 kutokana na maoni yanayohusiana na mipaka ya Ziwa Nyasa/Malawi aliyoyatoa redioni alipokuwa...

...click the title/link to read more.

Kiongozi wa ‘MRC’ Kenya akamatwa, yatokea mauaji ya Polisi na raia

Posted: 15 Oct 2012 12:27 PM PDT


Habari hii imeandikwa na Josephat Kioko Zaidi ya watu thelathini wanachama wa Vufuvugu la Mombasa Republican Council –MRC wameshtakiwa katika mahakama moja ya Mombasa nchini Kenya, wakidaiwa kujihusisha na vitendo vya Uchochezi. Miongoni mwa watu hao ni mwenyekiti wa MRC Omar Khamis Mwamnuadzi, na alikamatwa katika Oparesheni ambapo watu WANNE...

...click the title/link to read more.

Jamhuri yashindwa kuthibitisha kesi ya dawa za kulevya; Mintanga aachwa huru

Posted: 15 Oct 2012 12:00 PM PDT


Alhaji Shaaban Mintanga (kulia) afuatilia hukumu yake Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Alhaji Shaaban Mintanga akiwa chini ya ulinzi wakati wa kusikilizwa kwa kesi yake siku zilizotangulia Habari ifuatayo ni kwa mujibu wa blogu ya Tina & Ziro Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemuachia huru aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Ngumi...

...click the title/link to read more.

Rais wa Zanzibar, Dkt. Shein afanya mabadiliko ya Baraza

Posted: 15 Oct 2012 11:46 AM PDT


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Ali Mohammed Shein amefanya mabadiliko katika Baraza la Mapinduzi. Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Abdulhamid Yahya Mzee imesema katika mabadiliko hayo, Rais Dkt Shein amemteua Shawana Bukheti Hassan kuwa mjumbe wa Baraza la Mapinduzi. Rais Dkt...

...click the title/link to read more.

Rais Kikwete aanza safari rasmi ya kikazi katika Taifa la Kifalme la Oman

Posted: 15 Oct 2012 07:25 AM PDT


Rais Kikwete akizungumza na mwenyeji wake Sultani wa Oman, Qaboos bin Said Al Said katika kasri la Sultani jijini Muscat leo (Picha: Freddy Maro) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete anaanza ziara rasmi ya Kiserikali ya siku nne katika Taifa la Kifalme la Oman, ikiwa ni ziara ya kwanza ya Kiserikali kufanywa...

...click the title/link to read more.

House for rent in Mbezi Louis, Dar es Salaam

Posted: 15 Oct 2012 07:11 AM PDT




...click the title/link to read more.

Askofu Mkuu wa Kanisa la TAG atoa tamko kuhusu choko choko za udini

Posted: 15 Oct 2012 07:03 AM PDT


Oktoba 12 mwaka huu, matukio mabaya na yenye kutia doa sifa ya amani umoja na Utengemano wa Taifa la Tanzania, yalijitokeza huko Mbagala Jijini Dar es Salaam, wakati watu wenye jazba wanaoaminika kuwa ni Waislamu wenye msimamo mkali walipovamia makanisa saba ...na kuyachoma moto eti kwa kulipiza kisasi cha mtoto aliyekojolea kuran katika utani wa...

...click the title/link to read more.

Kwa nini mwenge ulizimiwa mkoani Shinyanga?

Posted: 15 Oct 2012 06:23 AM PDT




...click the title/link to read more.

Taarifa ya @JJMnyika kwa umma kuhusu Madini, Mafuta na Gesi

Posted: 15 Oct 2012 06:15 AM PDT


MONDAY, OCTOBER 15, 2012TAARIFA KWA UMMA: Madini, Mafuta na Gesi Spika wa Bunge Anna Makinda ndani ya wiki moja atumie madaraka na mamlaka yake kutangaza kwa umma kamati nyingine ya kudumu ya Bunge itayoshughulikia masuala ya gesi asili kabla na wakati wa mkutano wa tisa wa Bunge uliopangwa kuanza tarehe 30 Oktoba 2012 kufuatia hali tete na tata...

...click the title/link to read more.

Jussa, ‘Muungano wa Mkataba’; Warioba, ‘Toa mfano’ 

Posted: 15 Oct 2012 06:09 AM PDT


Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (aliyesimama) akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (hawapo pichani) wakati wa mkutano uliotishwa na Tume hiyo jana jumapili tarehe 14. Oktoba, 2012 katika Ukumbi wa Mikutano wa Baraza hilo mjini Zanzibar, uliolenga kukusanya maoni ya Wajumbe hao kuhusu mchakato wa...

...click the title/link to read more.

...

Posted: 15 Oct 2012 05:50 AM PDT


[...]

...click the title/link to read more.

...

Posted: 15 Oct 2012 05:50 AM PDT


[...]

...click the title/link to read more.

...

Posted: 15 Oct 2012 05:49 AM PDT


[...]

...click the title/link to read more.

...

Posted: 15 Oct 2012 05:49 AM PDT


[...]

...click the title/link to read more.

...

Posted: 15 Oct 2012 05:49 AM PDT


[...]

...click the title/link to read more.

...

Posted: 15 Oct 2012 05:47 AM PDT


[...]

...click the title/link to read more.

...

Posted: 15 Oct 2012 05:46 AM PDT


[...]

...click the title/link to read more.

..

Posted: 15 Oct 2012 05:46 AM PDT


[...]

...click the title/link to read more.

Vodacom Foundation yaendesha kambi ya matibabu Mkuranga, Pwani

Posted: 15 Oct 2012 05:33 AM PDT


Mkuu wa kitengo cha Vodacom foundation akizungumza na wakina mama wa wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani, waliojitokeza kupata matibabu katika kambi maalum iliyoadhiliwa na Chama cha madaktari wanafunzi Tanzania, na kufadhiliwa na Vodacom Foundation. Mmoja wa wakazi wa wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani akijiandikisha kupata huduma za Afya, katika...

...click the title/link to read more.

Oktoba 21, 2012 Diamond Jubilee VIP Hall ni "Women In Balance Kitchen Party Gala"

Posted: 15 Oct 2012 05:24 AM PDT


Mkurugenzi wa Women in Balance Dina Marios akizungumza na wageni waalikwa. Mkurugenzi wa Women in Balance Dina Marios amefafanua hatua ya awali ya maandalizi ya kufanyika kwa tukio la mafunzo ya'Kitchen Party Gala' kwa kina mama jinsi ya kuishi ndani ya ndoa ili kujenga familia bora litakalofanyika mnamo tarehe 21 mwezi huu. Dima amesema tukio...

...click the title/link to read more.
Share this article :

Related Posts :

+ Comments: + 3 Comments:

Anonymous
2:45 PM, October 27, 2012

Hi there just wanted to giνe уοu a quick heаds up.
The teхt in your аrtісle seеm tο be running
οff thе screen in Opeгa. I'm not sure if this is a format issue or something to do with internet browser compatibility but I thought I'ԁ рost to let уou knoω.
The ѕtyle anԁ design look greаt
thοugh! Hope уou get the prоblem fіxed sοon.

Mаny thаnκs
my web page :: galaxynote2.fr

Anonymous
4:05 PM, November 10, 2012

This is my first timе visit at herе and i
am in fact іmpreѕsed to read all аt alone plаce.
Review my weblog binary option hedging

Anonymous
3:42 AM, November 26, 2012

Hi colleagueѕ, its fantastic piеce of wrіting cοncеrning
tutoringand fully explаined, κeep it uρ all the time.
My web page :: Forexbroker.info

Post a Comment

 
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger