MGANGA AFUMWA LIVE AKINGONOKA NA MTEJA WAKE ETI NI DAWA...! [Picha] | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
Labels :
Home » » MGANGA AFUMWA LIVE AKINGONOKA NA MTEJA WAKE ETI NI DAWA...! [Picha]

MGANGA AFUMWA LIVE AKINGONOKA NA MTEJA WAKE ETI NI DAWA...! [Picha]

Written By Mike Ntobi on Sunday, December 22, 2013 | 9:30 AM


Hivi kweli kabisa wewe mwana-dada, umetoka nyumbani kwenu, unafunga safari kwenda kwa mganga wa kienyeji "SANGOMA" ili tu mambo yako yanyooke.... eti unamtaka mme wa mtu, so, inabidi dawa yako dada tuiweke kwa ndani kabisa ya hiyo Libido yako, ukimtaka mwanaume yeyote hakatai.

Sasa maajabu ya mwaka, jinsi ya kuiingiza hiyo dawa huko ndani, ni lazima tutumie hii DUDU yangu , ntapaka dawa hapo kwa mbele halafu ntaingiza dawa taratibu.

Wakati naingiza dawa huko ndani wewe utakuwa unaendelea kukatika kiuno taratibu ukinuia kwamba "MGANGA ONGEZ SPIDI ILI DAWA IINGIE NDANI ZAIDI", Sawa? Binti anajibu sawa mganga nimekuelewa.

JAMANI EEE...! 
NYIE WAGANGA ACHENI KUWALAGHAI WAKINA MAMA HAKUNA DAWA YA KUFANYA NGONO HATA MOJA ACHENI KABISA HUO MCHEZO..!

NA NYIE WAKINAMAMA MNAOPENDA KWENDA KWA WAGANGA EMBU JALINI NA UTU WENU SIO MNAGAWA TU KWA WAGANGA BILA KUPIMA OMBI LA MGANGA, HAKUNA TIBA YA MAPENZI
Share this article :

Related Posts :

Post a Comment

 
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger