wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20 |
- Taarifa habari Oktoba 10, 2012
- M-Pesa hits 3 million subscribers; Tsh 35 billion transactions daily and growing
- Mauaji ya Daudi Mwangosi: Taarifa ya Tume ya Haki za Binadamu
- Maelezo ya Waziri wa Afya kuhusu Dawa Bandia za ARV
- Miss Tanzania 2000 Jacqueline Ntuyabaliwe amejaaliwa mapacha
- Yule DC aliyesema Mwanasheria ana ‘Digrii ya chupi’ apandishwa rasmi kizimbani
- Nukuu za Mwalimu Julius K. Nyerere
- Pata mafunzo ya Ujasiriamali BURE kutoka RafikiElimu Foundation
- Filbert Bay ashinda uchaguzi wa CCM Karatu
- Kafumu: a Crying Voice-personal reflections “Sauti Inayolia-Tafakuri Binafsi”
- Boti za Bongo
- Maisha ya baadaye, hayaandaliwi baadaye - Meshack Maganga
- Nani “CCM–B”, CHADEMA au CUF? - Makala ya Mhe. Juma Duni Haji
- Polisi wawapiga mahabusu hadi mmoja akazimia; Waligoma kushuka karandinga
- Bandarini, Posta, Eapoti... tabia moja
- TANESCO inaidai ZECO Bilioni 25/=
- Mkuu wa Mkoa aamuru Mwanafunzi aruhusiwe kufanya mtihani
- Some new details of September 11 consulate attack in Libya
- Jua kali. Injini imechemsha, imefeli. ‘Nipumzikepo’ Usingizzzzzz
- Rais Mwinyi naye apanda kizimbani kutoa ushahidi wa kesi ya kuibiwa Mil. 37/-
Taarifa habari Oktoba 10, 2012 Posted: 10 Oct 2012 12:43 PM PDT |
M-Pesa hits 3 million subscribers; Tsh 35 billion transactions daily and growing Posted: 10 Oct 2012 12:35 PM PDT M-Pesa hits 3million subscribers, Tsh35billion transactions daily and growing…. Dar es Salaam, 10th October, 2012 … Millions of Tanzanians continue to choose M-Pesa for money transactions on a daily basis. The current number of active M-Pesa subscriptions stands at 3million. Launched in 2008, the M-Pesa service continues to grow and serve the... ...click the title/link to read more. |
Mauaji ya Daudi Mwangosi: Taarifa ya Tume ya Haki za Binadamu Posted: 10 Oct 2012 09:48 AM PDT Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Jaji Kiongozi (Mstaafu) Amiri Ramadhan Manento akionyesha taarifa kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusu Muhtasari wa wa Taarifa ya tume yake ya Uchunguzi wa tukio lililopelekea kifo cha Mwandishi wa habari wa kituo cha Chanel Ten Daudi Mwangosi... ...click the title/link to read more. |
Maelezo ya Waziri wa Afya kuhusu Dawa Bandia za ARV Posted: 10 Oct 2012 09:09 AM PDT Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hussein Mwinyi akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu hatua zilizochukuliwa na Serikali kufuatia kubainika kwa matumizi ya dawa bandia za kupunguza makali ya UKIMWI zenye jina la Biashara TT –VIR 30. MAELEZO YA WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII MHE. DKT HUSSEIN A. MWINYI... ...click the title/link to read more. |
Miss Tanzania 2000 Jacqueline Ntuyabaliwe amejaaliwa mapacha Posted: 10 Oct 2012 08:59 AM PDT Jacqueline Ntuyabaliwe Kwa wapenzi wafuatiliaji wa Miss Tanzania 2000, habari kutoka kwa Sports Lady, Dina Ismail zinasema -- MISS Tanzania 2000 Jacquiline Ntuyabaliwe amefanikiwa kujifungua salama watoto mapacha wa kiume. Taarufa zilizopatikana zinaeleza kwamba mrembo huyo pamoja na watoto wake hao hali zao zinaendelea vyema. ...click the title/link to read more. |
Yule DC aliyesema Mwanasheria ana ‘Digrii ya chupi’ apandishwa rasmi kizimbani Posted: 10 Oct 2012 08:51 AM PDT Habari kwa mujibu wa blogu ya Lukwangule -- M AHAKAMA ya Hakimu Mkazi wilaya ya Korogwe leo imemkataa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kumwakilisha Mkuu wa wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo katika kesi ya madai ya Shilingi Milioni 96 dhidi yake. Katika kesi hiyo Na. 7/ 2012 mlalamikaji ni Mwanasheria wa Halmashauri ya Mji Korogwe, Najum Tekka anayedai... ...click the title/link to read more. |
Nukuu za Mwalimu Julius K. Nyerere Posted: 10 Oct 2012 08:47 AM PDT |
Pata mafunzo ya Ujasiriamali BURE kutoka RafikiElimu Foundation Posted: 10 Oct 2012 08:36 AM PDT Taasisi Isiyokuwa ya Kiserikali ya RafikiElimu FOUNDATION kupitia Mradi wake ELIMU YA UJASIRIAMALI MIJINI & VIJIJINI "EUMIVI-Project" inapenda kuwatangazia vijana wote wa kitanzania wenye umri wa kati ya miaka kumi na tano ( 15 ) hadi Arobaini na Tano ( 45 ) nafasi za kushiriki katika mafunzo ya ujasiriamali. Mafunzo yatakayo tolewa ni pamoja... ...click the title/link to read more. |
Filbert Bay ashinda uchaguzi wa CCM Karatu Posted: 10 Oct 2012 06:37 AM PDT KATIBU Mkuu wa kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) Filbert Bayi amefanikiwa kukata tiketi ya kushiriki mkutano mkuu wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwakilisha Wilaya ya Karatu. Bayi amefanikiwa kukata tiketi hiyo kupitia uchaguzi uliofanyika hivi karibuni baada ya kupata kura 264, ambapo ataungana na Mary Sulley(545), Ori Pembe (460),... ...click the title/link to read more. |
Kafumu: a Crying Voice-personal reflections “Sauti Inayolia-Tafakuri Binafsi” Posted: 10 Oct 2012 04:50 AM PDT Wakati Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, akikituhumu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba kinanuka rushwa, kada mwingine wa chama hicho ameandika kitabu kinachoeleza namna rushwa ilivyoota mizizi nchini kuanzia kwenye siasa, ofisi za umma na jamii kwa ujumla. Kitabu hicho kimeandikwa na aliyekuwa Kamishna wa Madini na Mbunge wa Igunga wa CCM,... ...click the title/link to read more. |
Posted: 10 Oct 2012 04:37 AM PDT |
Maisha ya baadaye, hayaandaliwi baadaye - Meshack Maganga Posted: 10 Oct 2012 04:19 AM PDT Maisha ya Mwanadamu ni mawazo yake. Kila mwanadamu anaishi mawazo yake. Sisi sote ni matokeo ya mawazo yetu, tunavyojiwazia ndivyo tunavyokuwa. Tunatenda kutokana na yale tuyawazayo, hatuwezi kufanya nje ya yale tuyawazayo. Sisi sote ni mawazo yetu, kuishi kwetu ni mawazo yetu, mafanikio yetu ni mawazo yetu, uchumi wa taifa letu ni mawazo yetu.... ...click the title/link to read more. |
Nani “CCM–B”, CHADEMA au CUF? - Makala ya Mhe. Juma Duni Haji Posted: 10 Oct 2012 01:54 AM PDT Madhumuni ya Chama cha wananchi CUF kama yalivyo katika Katiba yake ni, "Kuwaunganisha watanzania wakatae uonevu,kudhalilishwa,kunyanyaswa,kubaguliwa au maovu mengine yanayoweza kufanywa dhidi ya heshima ya utu wa binaadama, yawe yanayotendwa na Serikali, kikundi cha watu walio na uwezo kwa ajili ya mabavu yao au kwa ajili ya kujinufaisha kwao... ...click the title/link to read more. |
Polisi wawapiga mahabusu hadi mmoja akazimia; Waligoma kushuka karandinga Posted: 10 Oct 2012 01:00 AM PDT Habari hii ni kwa mujibu wa Fadhili Abdallah, HabariLeo, Kigoma --- POLISI mkoani Kigoma wamewapa kipigo mahabusu kutoka Gereza la Bangwe mjini Kigoma waliogoma kushuka kwenye karandinga, hivyo kusababisha vurugu kubwa kwenye Mahakama ya Mkoa mjini hapa. Kutokana na kipigo hicho, mahabusu Maneno Kichako alipigwa na kuumizwa na hatimaye kupoteza... ...click the title/link to read more. |
Bandarini, Posta, Eapoti... tabia moja Posted: 10 Oct 2012 12:45 AM PDT |
TANESCO inaidai ZECO Bilioni 25/= Posted: 10 Oct 2012 12:42 AM PDT Habari imeandikwa na Khatib Suleiman, HabariLeo, Zanzibar --- SHIRIKA la Umeme la Zanzibar (ZECO), limesema linadaiwa Sh bilioni 25 ikiwa ni malimbikizo ya madeni ya kununua nishati ya umeme kutoka kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Akizungumza na waandishi wa habari Gulioni jana, Meneja Mkuu wa ZECO, Ali Hassan Mbarouk alisema deni hilo... ...click the title/link to read more. |
Mkuu wa Mkoa aamuru Mwanafunzi aruhusiwe kufanya mtihani Posted: 09 Oct 2012 09:24 PM PDT Habari imeandikwa na Woinde Shizza via via blog -- Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mullongo jana alifanikiwa kuzima jaribio la mkuu wa shule ya sekondari Peace house iliyopo eneo la Kisongo jijini Arusha la kumzuia kutofanya mtihani wa kidato cha nne mwanafunzi, Willbard Moshi aliyekuwa amefukuzwa kwa madai ya utovu wa nidhamu. Mulongo alimwamuru... ...click the title/link to read more. |
Some new details of September 11 consulate attack in Libya Posted: 09 Oct 2012 09:02 PM PDT via The Associated Press, WASHINGTON -- Senior State Department officials provided a more detailed picture Tuesday of the consulate attack in Benghazi, Libya, that killed U.S. Ambassador Chris Stevens and three other Americans. A look at how they say the attack took place: Sept. 10-11, 2012 Stevens arrives in Benghazi and holds meetings on and... ...click the title/link to read more. |
Jua kali. Injini imechemsha, imefeli. ‘Nipumzikepo’ Usingizzzzzz Posted: 09 Oct 2012 08:55 PM PDT Mkazi wa Jiji la Dar es Salaam (jina halikufahamika) anayejishughulisha na uokotaji wa chupa za plastiki akijipumzisha kwa kulalia mfuko wenye chupa hizo baada ya kuchoshwa na mizunguko, kama alivyokutwa kando ya Barabara ya Nyerere Gerezani, Dar es Salaam jana. (Picha, Maelezo - Charles Lucas/gazeti la MAJIRA) ...click the title/link to read more. |
Rais Mwinyi naye apanda kizimbani kutoa ushahidi wa kesi ya kuibiwa Mil. 37/- Posted: 09 Oct 2012 08:52 PM PDT Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi jana alipanda kizimbani katika kesi ya wizi wa kuaminika wa Sh milioni 37.4 inayomkabili Abdallah Mzombe (39), ambaye alikuwa mfanyakazi wake huku wanahabari wakizuiwa kusikiliza. Mzombe alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam Agosti 21 akidaiwa kuwa katika siku tofauti... ...click the title/link to read more. |
You are subscribed to email updates from Wavuti Updates To stop receiving these emails, you may unsubscribe now. | Email delivery powered by Google |
Google Inc., 20 West Kinzie, Chicago IL USA 60610 |
+ Comments: + 2 Comments:
Ӏ have learn a fеw just right stuff herе.
Ϲertainly ωorth bookmarking foг revisiting.
I wonder hoω a lot attempt yоu ρlace to make this sort of excellent informative ωeb site.
My web page: sell broken iphone
Hi there, all is going perfectly here and ofcourse every one
is sharing data, that's actually excellent, keep up writing.
My site ; flac download
Post a Comment