wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20 |
- Taarifa ya habari - Oktoba 30, 2012
- Wajinyonga hadi kufa - Mtoto wa STD III; Mzee; Mapenzi yaua - Mwanafunzi kwa mkuki; Mke kwa kisu; Mchumba kwa kisu!
- Naridhishwa na Kazi ya Tume ya Katiba - Rais Kikwete
- Gmail is getting better! Introducing the new compose
- Aha, kumbe! Ninyi mnaomnanga Mulugo ni mahasimu wake kisiasa? Mna maslahi binafsi!
- Maofisa Wakuu Waandamizi wa Polisi katika ziara ya mafunzo Ujerumani
- ‘Hakuna mtu kusema Ziwa lote ni lake’ - Bernard Membe (W)
- Arusha: Ratiba ya Rais Kikwte; Atazindua mnara kuwa nembo ya Jiji hilo
- Urusi: Ulamaa auawa na wenye ‘siasa kali’; Bahrain yazuia maandamano ili kukabiliana na Washia, Wasunni
- Tamko la Sarah Msafiri (Mb Viti Maalum CCM) kuhusu tuhuma za rushwa
- UN inviting all Tech & Innovation stakeholders for an UNCTAD report launch
- Kenya: Watatu wafariki kutokana na vurugu baada ya Mwanasiasa kuuawa
- Violent conflicts in East Africa linket to climate change - U.S. study
- Kabla na baada ya Madaraka...
- Pasipo na Upendo hakuna Amani
- VodaCom Foundation yatoa Milioni 20/- kuwezesha watoto yatima
- Ujumbe/Wito wa @MichaelDalali: Je! Wajua kuwa ni jukumu lako...
- Sikiliza vikao vya Bunge ‘LIVE ONLINE’ kupitia Arusha Mambo FM
- Mwanasheria aliyemshitaki DC wa Korogwe, ahamishiwa Nzega
- Fungua-aaa Tuooo-ne, kilichomo-oo humo ndani!
Taarifa ya habari - Oktoba 30, 2012 Posted: 30 Oct 2012 12:20 PM PDT |
Posted: 30 Oct 2012 10:52 AM PDT Mwili wa Mwanafunzi wa darasa la tatu, Shule ya Msingi Iwambi, Jijini Mbeya Kervin Patrick (8) jinsia ya kiume ukiwa umefunikwa baada ya kufariki dunia kutokana na kujinyonga kwa kutumia kamba ya viatu katika bomba ya maji nje ya nyumba yao. (Picha: Ezekiel Kamanga, Mbeya) MbeyaYetu blog: WANAFUNZI WA DARASA LA TATU AJINYONGA KWA KUTUMIA KAMBA... ...click the title/link to read more. |
Naridhishwa na Kazi ya Tume ya Katiba - Rais Kikwete Posted: 30 Oct 2012 10:21 AM PDT Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa anaridhishwa na mwenendo mzima wa kazi ya Tume ya Kukusanya na Kuratibu Maoni ya Wananchi Kuhusu Katiba. Aidha, Rais Kikwete amewataka wajumbe wa Tume hiyo kuwakumbusha wananchi kutokutoa maoni kwa kutumwa na watu wengine bali watoe maoni yao wenyewe kwa kadri... ...click the title/link to read more. |
Gmail is getting better! Introducing the new compose Posted: 30 Oct 2012 10:17 AM PDT Cross-posting this from the Gmail blog, posted by Phil Sharp, Product Manager Google is introducing a completely redesigned compose and reply experience that does just that. Faster How many times have you been writing an email and had to reference something in another message? Saving a draft, opening the old email, and then reopening your... ...click the title/link to read more. |
Aha, kumbe! Ninyi mnaomnanga Mulugo ni mahasimu wake kisiasa? Mna maslahi binafsi! Posted: 30 Oct 2012 09:35 AM PDT Maafisa wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, wametoboa siri hatua ya Naibu Waziri wa wizara hiyo, Philipo Mulugo, kukosea kutaja Zimbabwe badala ya Zanzibar kama kisiwa kilichounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakizungumza na NIPASHE jana, walisema pamoja na kwamba aliteleza kutaja Zimbabwe akimaanisha Zanzibar, kimsingi suala hilo... ...click the title/link to read more. |
Maofisa Wakuu Waandamizi wa Polisi katika ziara ya mafunzo Ujerumani Posted: 30 Oct 2012 09:17 AM PDT Mmoja wa Maofisa wa Polisi akielekeza jambo kwa Kamanda Wa Kikosi cha Usalama Barabarani, SACP Mohamed Mpinga (tatu shoto), ACP Kilonzo kutoka makao makuu ya jeshi la Polisi (mwenye miwani) pamoja na ASP Msuyale ( wa tatu mstari wa nyuma) wote kutoka nchini Tanzania, kuhusiana na mambo ya usalama barabarani. Maofisa hao wakuu waandamizi wa... ...click the title/link to read more. |
‘Hakuna mtu kusema Ziwa lote ni lake’ - Bernard Membe (W) Posted: 30 Oct 2012 09:11 AM PDT Wazee wa Katumbasongwe wakinyoosha mikono kujitambulisha umri wao wakati wa Mkutano wao na Waziri Membe uliofanyika jana Wilayani Kyela, Mkoani Mbeya. Waziri Membe alikuwa Mkoani humo kwa ziara ya siku mbili ambapo alitembelea maeneo na makazi ya wananchi waishio ufukweni mwa Ziwa Nyasa. Mhe. Bernard K. Membe (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na... ...click the title/link to read more. |
Arusha: Ratiba ya Rais Kikwte; Atazindua mnara kuwa nembo ya Jiji hilo Posted: 30 Oct 2012 09:03 AM PDT Picha via Libeneke la Kaskazini blog Imenukuliwa kutoka kwenye blogu ya Libeneke la Kaskazini Katika ziara yake itakayoanza Novemba Mosi mwaka huu mkoani Arusha, pamoja na shughuli nyingine, Rais Kikwete anatarajiwa kuzindua mnara maarufu uliopo mkoani humo kuwa nembo rasmi ya jiji hilo. Hayo yalisemwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa... ...click the title/link to read more. |
Posted: 30 Oct 2012 08:35 AM PDT |
Tamko la Sarah Msafiri (Mb Viti Maalum CCM) kuhusu tuhuma za rushwa Posted: 30 Oct 2012 08:24 AM PDT TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Sarah Msafiri (Mb Viti Maalum CCM) ITAKUMBUKWA katika kikao cha Bunge la Bajeti 2012/2013 ziliibuka tuhuma mbalimbali zikiwemo za baadhi ya wabunge wajumbe wa Kamati ya Nishati na Madini kufanya Biashara ya Matairi Tanesco, tuhuma za Wabunge kuomba Rushwa kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, na tuhuma za... ...click the title/link to read more. |
UN inviting all Tech & Innovation stakeholders for an UNCTAD report launch Posted: 30 Oct 2012 08:16 AM PDT The UN Information Center takes the pleasure to invite you to the launch of the UN Conference on Trade and Development (UNCTAD) second Technology and Innovation Report 2012, titled Innovation, technology and South-South Collaboration. The Technology and Innovation Report is a flagship report of UNCTAD dealing with policy issues related to... ...click the title/link to read more. |
Kenya: Watatu wafariki kutokana na vurugu baada ya Mwanasiasa kuuawa Posted: 30 Oct 2012 04:30 AM PDT Habari imeandikwa na Nurdin Selemani Ramadhani via RFI Kiswahili Watu watatu wamepoteza maisha nchini Kenya katika Mji wa Kisumu kufuatia kuzuka kwa machafuko kutokana na kuuawa kwa mwanasiasa maarufu katika eneo hilo kitu ambacho kilizusha hasira kwa wafuasi wake walioingia barabarani na kuanzisha fujo. Watu hao watatu wanatajwa kupoteza maisha... ...click the title/link to read more. |
Violent conflicts in East Africa linket to climate change - U.S. study Posted: 30 Oct 2012 03:30 AM PDT Article by Kevin J. Kelley, Special Correspondent via TheEastAfrican.co.ke Hotter than normal temperatures raise the risk of violent conflict in East Africa, while increased rainfall makes such disturbances less likely, according to a new study conducted by the US National Academy of Sciences. For both climate variables, there is about a 30 per... ...click the title/link to read more. |
Posted: 30 Oct 2012 03:26 AM PDT |
Posted: 30 Oct 2012 03:18 AM PDT Imeandikwa na Shoo, G.A.P. Ninaandika kwa masikitiko sana, jinsi ambavyo Watanzania tumelichukulia swala la machafuko yaliyotokea na kufikia hatua ya makanisa kuchomwa moto, misikiti kunajisiwa na askari, vurugu na matamko mengi mbalimbali. Wapo wanaofanya mzaha, wapo walioanzisha ligi waziwazi na kwenye mitandao, wapo wanaonyamaza kimya lakini... ...click the title/link to read more. |
VodaCom Foundation yatoa Milioni 20/- kuwezesha watoto yatima Posted: 30 Oct 2012 03:12 AM PDT Meneja wa huduma za jamii wa Vodacom Foundation Mwamvua Mlangwa, akikabidhi mfano wa hundi ya fedha kiasi cha shilingi Milioni 20, kwa Mkurugenzi wa kituo cha Tanzania Mitindo House, Khadija Mwanamboka, Kwa ajili ya kuanzisha chuo cha mafunzo ya Mitindo kwa Watoto yatima. Dar es Salaam, Zaidi ya watoto yatima 50 waishio katika mazingira... ...click the title/link to read more. |
Ujumbe/Wito wa @MichaelDalali: Je! Wajua kuwa ni jukumu lako... Posted: 30 Oct 2012 01:25 AM PDT Unajua mchango wako wa maoni unaweza kubadili kile ambacho kisinge badilika? Unajua jukumu la kuwa na Katiba bora ni la kila Mtanzania? Leo amua kubadili nchi yako kwa kutumia japo dakika 5-10 ufanye jambo lenye tija kwa Taifa letu sasa na baadaye na kuacha kuishia kulalama pasina kuchukua hatua. Ingia hapa:... ...click the title/link to read more. |
Sikiliza vikao vya Bunge ‘LIVE ONLINE’ kupitia Arusha Mambo FM Posted: 30 Oct 2012 01:17 AM PDT |
Mwanasheria aliyemshitaki DC wa Korogwe, ahamishiwa Nzega Posted: 30 Oct 2012 01:12 AM PDT Habari imeandikwa na Mwandishi wa GPL aliyepo Korogwe MWANASHERIA wa Manispaaa ya Korogwe, mkoani Tanga, Najum Tekka ambaye amemshitaki Mkuu wa Wilaya hiyo Mrisho Gambo, amehamishwa na kupelekwa wilayani Nzenga, Tabora. Tekka amehamishiwa Nzega huku akiwa ameacha kesi aliyoifungua katika Mahakama ya Wilaya ya Korogwe akidai kuwa mkuu huyo wa... ...click the title/link to read more. |
Fungua-aaa Tuooo-ne, kilichomo-oo humo ndani! Posted: 30 Oct 2012 01:07 AM PDT |
You are subscribed to email updates from Wavuti Updates To stop receiving these emails, you may unsubscribe now. | Email delivery powered by Google |
Google Inc., 20 West Kinzie, Chicago IL USA 60610 |
+ Comments: + 2 Comments:
I relish, lead to I discovered exactly what I was looking for.
You've ended my four day long hunt! God Bless you man. Have a nice day. Bye
Also visit my webpage Pennystockdreamteamreview.Org
Ηi thеre! I just ωant tо offer уou a huge thumbs up foг your great informatiοn you haѵe heгe
οn this post. І am cоming bаck to your sitе for moгe soon.
My webpage home business idea and opportunity
Post a Comment