AUNTY EZEKIEL AALIKWA LUNCH NYUMBANI KWA BI SALMA MGIDO, AKIWA NA MUMEWE SUNDAY DEMONTE. | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
Labels :
Home » » AUNTY EZEKIEL AALIKWA LUNCH NYUMBANI KWA BI SALMA MGIDO, AKIWA NA MUMEWE SUNDAY DEMONTE.

AUNTY EZEKIEL AALIKWA LUNCH NYUMBANI KWA BI SALMA MGIDO, AKIWA NA MUMEWE SUNDAY DEMONTE.

Written By Mike Ntobi on Sunday, November 25, 2012 | 8:07 PM

Maharusi Mr & Mrs Sunday Demonte wakiwa katika pose 
nyumbani kwa Salma Mgido mapema leo kwaajili ya chakula
cha mchana.

Aunty akiwa amepakata mtoto Seif wa da Katija Mashallah.



Kitu cha ndafu na madiko diko kibao

Rahma Aunty Ezekiel na Mumewe Sunday wakikata ndafu
huku waigizaji wenzake Aunty akiwemo, Ray, JB na Cloud
walioenda harusini wakishuhudia tukio.

Ray akishuhudia kwa ukaribu tukio hilo.

Bi Salma Mgido (mwenye pink) akiweka mambo sawa.

Mr & Mrs Demonte na Ray wakipata msosi.


Wageni waalikwa akiwemo mwenyekiti wa Jumuyia
ya watanzania Dubai (mwenye kanzu ya blue) katika
shughuli hiyo.

Cloud katika picha ya pamoja na Janja.

Cloud na Janja wakibadilishana mawazo.

Ray katika pose na shabiki wake.

Le Familia, katika pozi ya picha, Mashallah.

JB katika pose. 

Katija, mumewe aka muarabu na mkewe na Ray katika pose.



Mumewe Katija, wanae na Sunita pia walikuwepo.


Bi Salma mama wa shughuli.....!!!


Share this article :

Related Posts :

Post a Comment

 
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger